swali kwa mbowe , slaa, zitto na wafuasi wenzangu wa chadema na watanzania wote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

swali kwa mbowe , slaa, zitto na wafuasi wenzangu wa chadema na watanzania wote

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KISANTILITEDI, Nov 24, 2010.

 1. K

  KISANTILITEDI Member

  #1
  Nov 24, 2010
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Dr slaa na chadema wangetangazwa kuwa wameshinda uchaguzi wa oct mwaka huu na tume ya jaji makame na nec, kisha ccm wakakataa kuachia madaraka, je ni kile kitabu kinaitwa katiba ya jamhuri ya muunganoo wa tanzania kingewasaidia?
   
 2. oba

  oba JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  I dont think so, mabadiliko ya katiba hayaepukiki
   
 3. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2010
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hakika! Labda mapinduzi ya kiimla yafanyike. Kwani una maana au unakusudia nini?
   
 4. K

  KISANTILITEDI Member

  #4
  Nov 24, 2010
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  hivi ukinyanganywa haki yako kwa ubabe utafanyeje? na je mtu akikuonea huku kuna sheria ya inamtetea utafanyaje? utalilia sheria mpya? na kuna maswali mengine mengi ya kujibiwa ila hilo hapo juu naombeni majibu
   
 5. B

  Bull JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2010
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa Chadema hawaja komaa kisiasa, bado wengi wao wamemaliza masomo karibuni hwana experience ya kazi ya aina yoyote, kuanzia Mchungaji wao Slaa (Experience ya mahubiri kanisani)

  Mbowe Work (experience DJ mbowe night club)

  Uchakachuaji wa kura ulianza zamani na vyama vilivyo komaa walipambana na ccm miaka yote ambay wao chadema walikuwa wanjipendekeza

  Jaribu kujiuliza uchaguzi wa 2005, mbowe alikuwa wa kwanza na wa tz wote walilaani kitendo chake, je uchakachuaji umeanza 2010 ??
   
 6. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,058
  Likes Received: 4,630
  Trophy Points: 280
  Helloo are u sleeping...!!!!!!!!!? dreaming.....!!!!!? fisadi family....? less brainy....? are u.... blind to the truth how madudu meeeeeengi ya nchi yetu yanayofanywa...? watu wengine, this hypocrisy itatufikisha pabaya, think.......!!! think...........!!!!!!! u take & talk things sooo lightly kwenye masuala ya msingi, badilika tunakupenda
   
 7. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Bull amekiri kuwa anasumbuliwa na ukabila na udini. Kwa hiyo mweke kwenye kundi la ignore list.
   
 8. mutisya mutambu

  mutisya mutambu Senior Member

  #8
  Nov 24, 2010
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  kitabu kile kisingesidia chochote! peoples........................ power ! ingefanya kazi,kwani kwenye majimbo waliyokuwa
  wanagoma kutoa matokeo,halafu kumbe chadema wameshinda,maana yake nini? si ndo huko unakokuita kugoma
  kuacha madaraka,lakini nini kilifanya kazi,unaposikia peoples power bwana usifanye mchezo,ogopa!
   
 9. B

  Bluebird Member

  #9
  Nov 25, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  And your point is???? Wakati Watanzania wanadai uhuru, waulize wanaoelewa watakuambia kuwa wakoloni walishinikiza kuwa hawa "savages" hawana experience na kwa hiyo hawataweza kujitawala wenyewe - and this happens everywhere in politics when there is a call for change of direction. I guess what you should understand is that CDM hawajasema kuwa wanayo experience kuliko CCM ila wanachosema ni kuwa CCM is not doing it for the poor people and they believe they have people who are honest enough to do it better. Pengine hii ni moot point kwa sasa kwa sababu uchaguzi umepita lakini don't be saying kwamba CCM wasichallengiwe kuachia nchi kwa sababu wanaoipewa hawana experience ya kuongoza nchi kama CCM. The only way kwa opposition kupata experience in a setting like Tanzania's is becoming a ruling party themselves and when they come to us voters, all they claim to have is "honesty and integrity". For me and most of opposition supporters, this is enough because it is much better than what the ruling clowns are giving us right now.
   
 10. K

  KISANTILITEDI Member

  #10
  Nov 25, 2010
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  umejibu nilivyokuwa nataka, je kwanini viongozi wantumia nguvu kubwa hivyokudai kitabu (katiba) badala ya maendeleo ya wa tz...waangalie wasipoteze hiyo peoplse power na kitabu wasikipate. cha msingi wapiganie maendeleo na peopes power ikiwa nyuma yao itakuwa jambo la neeema sana..kwwanza noona sasa ivi chadema walalilie mazingira mazuri ya biashara, fursa sawa za elimu na mengine mengi katiba waje waibadilishe pindi watakapopata madaraka maana sasa ivi hata cccm wakibadilisha katiba haitakuwa kama chadema wanavyotaka, na je chadema ikiwa madarakani itageuza katiba kama wanayoidai sasa ivi? mimi naona kukimbia bungeni siyo muhimu kama kujenga ushawishi bungeni na kubadilishia hiyo katiba huko huko bungeni....chadema sasa tufanye kweli...tusiwe washabiki tuwe watu wakutafakari na kutenda yaliyo sahihi
   
 11. K

  KISANTILITEDI Member

  #11
  Nov 25, 2010
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  ukiwauliza wanchi walio wengi wachague moja kati ya haya mawili maendeleo kwanza au katiba kwanza.? je chadema imeelimisha uma umuhimu wa hiyo katiba wanyoililia? maana mimi kama mtanzania hiyo katiba umuhimu wake mpaka sasa hivi najua ni wanasiasa wanataka kubadilika na wanasheria wantaka uhuru zaidi .hayo mengine sijui umuhimu wake?maana hiyo katiba mpya inalilia sana nec kubadilishwa na kutokuwa chini ya mwenye hisa a.k.a rais. lakini tukumbuke kiu ya watanzania wengi ni maendeleo. Chadema mkapiganie haki zetu SADC, EAC na pia bungeni kwa kutumia mawaziri vivuli.. toeni hoja zenye maslahi kwa maendelo ya hapo kwa kwa hapo kwa wanachi na pia kwa maendeleo endelevu ya wanachi...pili kama hatumtambui rais tunaomba chadema watutangazie kura walizopata zzilizoko kwenye fomu za mawakala wao. sisi tutamuapisha rais wetu mioyoni mwetu tutamsikiliza dr slaa anachosema tutatekelza kwa kutumia peopless power....viongozi chadema tafakarini sana hili
   
 12. v

  vickitah Senior Member

  #12
  Nov 25, 2010
  Joined: Jun 18, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nadhani maendeleo na mabadiliko ya katiba yanaenda pamoja maana maendeleo wakati mafisadi ameshika nchi na wanatumia katiba kukataa kuiachia ni suala gumu. Ukiwa na katiba nzuri utapata pia viongozi bora na maendeleo pia yatakuja vizuri tu'
   
 13. K

  KISANTILITEDI Member

  #13
  Nov 25, 2010
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  hiyo nguvu ya kudai katiba je haiwezi kudai maendeleo? katiba ni ustaarabu tuu unaweza kukataliwa ..kinachoweza kuitunza katiba ni power iliyopo mfano utiifu wa wananchi , utiifu wa jeshi utiifu wa viongozi hata pia uttiifu wako binafsi..mimi naona tudai mazingira ya usawa ya maendeleo? mimi nadhani chadema waboreshe system yao ya ndani kwanza ni hii ruzuku waliyonayo ili kuimarisha chama kwanza ili 2015 iweze kutoa viongozi bora zaidi, hivi iweje uchaguzi bawacha ushindikane? na bavicha? cha msingi kabla ya kudai haki ya nchi ni bora warekebishe haki na uwazi ndani ya chama. pia nafasi hiyo ndogo waliyonayo bungeni wapigie kelele maendeleo pia wafanye operesheni sangara za kueleza watu jinsi ya kujiletea maendeleo sambamba na umuhimu wa katiba mpya. a.k.a ustarabu mpya. isiwe tunangania katiba mpya kumbe tunangania chumba cha mayai ya fisadi papa kuanguliwa..Tahadhari chadema kuna watu wengi wandai haki na wana uchu sana na haki lakini ujue kuna mafisadi mapapa yanatamia mayai yao. hivyo lazima wanachama muwe waangalifu na nchi yetu tuhakikishe inadondokea kwa watu safi ndani ya chama chetu....viongozi wa chadema nawatakia hekima na busara hata kama mlichemsha katika baadhi ya maamuzi yenu (huo ni ubinadamu) lakini jibadilisheni mfanye kazi mliyoaminiwa na wananchi. pia asali ni tamu lakni ule kidogo kwa afya yako usile ukanogewa kisha nyuki akakukuta maana utakufa wakikungata
   
Loading...