waafrika! means hata wewe hujitambui..?Siyo kwa wafrika huwa hawajitambuiwi jinsi ya kuwatumia wananchi wao
Huku tupo busy na wapinzani utatusamehe. Ndiyo maana bara letu linaitwa black continent, mpaka angalau lianze kuitwa blue continent siyo leo mkuu.Hivi mnapokwenda Western Europe na Northern America, hamuoni wivu mnapokuta maendeleo makubwa ya nchi hizo? Huwa mnajenga image/taswira gani kwenye vichwa vyenu kuhusu nchi mnazoziongoza? Watu wake?
Tafadhali sana kijana sisi tunajenga kwenye himaya zetu ndio tunakotaka maendeleo yawepo,usiludie tena kuleta maswali ya kichochezi tutakuchukulia hatua kaliHivi mnapokwenda Western Europe na Northern America, hamuoni wivu mnapokuta maendeleo makubwa ya nchi hizo? Huwa mnajenga image/taswira gani kwenye vichwa vyenu kuhusu nchi mnazoziongoza? Watu wake?
Yaani acha hizo..Hivi mnapokwenda Western Europe na Northern America, hamuoni wivu mnapokuta maendeleo makubwa ya nchi hizo? Huwa mnajenga image/taswira gani kwenye vichwa vyenu kuhusu nchi mnazoziongoza? Watu wake?
Wanatafuta change of venue, avoiding monotony!Yaani acha hizo..
Yaani UAE (dubai, abu dhabi etc) zimeanza mageuzi ya kiuchumi miaka ya karibuni...kama 20 tu hivi.
Sasa hivi wallahi wazungu wanapatamani na wanamia huko balaa.
Christmas na mwaka mpya ni moja ya "hotest destinations" za dunia kipindi hicho.