Swali kwa form 4 2012 tu;

Kwa form 4 ambaye hajazungusha!
Jibu swali lifuatalo.... Ntakupa zawadi!
'je Tanzania ilipata uhuru mwaka gani?'

Gazeti la Uhuru kumbe unaulizia! Mi nakumbuka ilipopata gazeti la Mzalendo tu!
 
Tanzania ilipata uhuru mwaka 2015 Ila Tanganyika ilipata uhuru mwaka 1961
 
hii post si ilitakiwa iwe jukwaa la elimu?
Au una maana kuwa members wengi wa humu ni waliomaliza form 4 juzi?
Au wengi wao elimu yao ni form 4?
au unataka kusema aliyechora zombie yuko humu?
Mkuu una madongo ya chini chini sana
ila wenyewe hawajakuelewa na wanachangia
kazi ipo
chit chat oyeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…