Swali kwa dada zangu wa JF

Swali kwa dada zangu wa JF

Nitakataa, hakuna cha bure kiasi hicho aisee. Alafu million 2 ni pesa ndogo sana kujirisk namna hiyo.
Sio bure.
unapokea m 2 zako
mnakulana
baada ya hapo kila mmoja anachukua 50 zake.
 
Mwanaume anakujia na maneno mengiii, ooh nakupenda na blah blah zingine kibao ila mwisho wa siku unakopwa papuchi na stress juu.
Hence bora uchukue 2m zako au sio.
 
Back
Top Bottom