Afadhali sie tusio na dini!
Comrade your bigger than this,otherwise there is something hidden!Hivi kwa nini ndugu zangu waislamu huwa wanachinja maiti kabla ya kuzika? Nimeuliza ninao wafahamu wakasema kuwa wanakata koo ili kama maiti alichukuliwa msukule wanamuua ili wakose wote yaani mchawi na wafiwa. Kwangu mimi sikuridhika na hilo jibu naomba kama kuna mtu anayefahamu anieleweshe zaidi.
Hivi kwa nini ndugu zangu waislamu huwa wanachinja maiti kabla ya kuzika? Nimeuliza ninao wafahamu wakasema kuwa wanakata koo ili kama maiti alichukuliwa msukule wanamuua ili wakose wote yaani mchawi na wafiwa. Kwangu mimi sikuridhika na hilo jibu naomba kama kuna mtu anayefahamu anieleweshe zaidi.
Afadhali sie tusio na dini!
hakuna mtu mwenye akili timamu akaulizwa swali kuhusu dini yake,akasoma dua mbaya au kumtusi au kumjibu majibu ya hovyo,kumwambia mwenzenu ategemee kusomewa albadiri na maneno kama hayo kunaonyesha hamna nidhamu ya kutosha kwa watu wenye imani tofaut na za kwenu,na pengine mna mitazamo hasi kuhusu wenzenu jambo ambalo sio jema,me ntarudi kukuelekeza vizuri juu ya jambo hilo ulilouliza...
Hivi kwa nini ndugu zangu waislamu huwa wanachinja maiti kabla ya kuzika? Nimeuliza ninao wafahamu wakasema kuwa wanakata koo ili kama maiti alichukuliwa msukule wanamuua ili wakose wote yaani mchawi na wafiwa. Kwangu mimi sikuridhika na hilo jibu naomba kama kuna mtu anayefahamu anieleweshe zaidi.
Duh ngoja waje wenyewe watakuparura kwa mitusi na kejeli kibao.