Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,781
Kwema wadau?
Siku moja (juzi juzi tu) nilisikia habari furani kwenye redio, ila sikuwa na muda mzuri wa kufatilia, Eti, "Korea kusini wamebadilisha muda wao ili uendane na muda wa Korea Kasikazini, ili kuonesha kurudi katika mahusiano mazuri, je kijiografia hii ikoje?
Naomba ufafanuzi kwenu wajua mambo!