LAETUS Member Joined Jul 24, 2022 Posts 43 Reaction score 73 Jul 10, 2023 #1 Habari Wana JF, Nina swali hapa ,hivi Kuna kifo kinawezatokea(binadamu kuaga dunia), bila sababu maalum kama vile za ugonjwa au ajali?
Habari Wana JF, Nina swali hapa ,hivi Kuna kifo kinawezatokea(binadamu kuaga dunia), bila sababu maalum kama vile za ugonjwa au ajali?
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,498 Reaction score 27,756 Jul 10, 2023 #2 Hakuna msiba usio na sababu boss
LAETUS Member Joined Jul 24, 2022 Posts 43 Reaction score 73 Jul 10, 2023 Thread starter #3 fundi bishoo said: Hakuna msiba usio na sababu boss Click to expand... Aanh ,Na vp kuhusu "natural deaths"?
fundi bishoo said: Hakuna msiba usio na sababu boss Click to expand... Aanh ,Na vp kuhusu "natural deaths"?
darubin ya mbao JF-Expert Member Joined Aug 3, 2016 Posts 2,187 Reaction score 4,552 Jul 10, 2023 #4 Uchakavu wa viungo ukizidi unakufa tu ndio sababu yenyewe hiyo
badison JF-Expert Member Joined May 29, 2015 Posts 1,449 Reaction score 2,818 Jul 10, 2023 #5 Kifo halali cha mwanadamu ni akifikisha miaka 120. Tofauti na hapo kuna 2.
LAETUS Member Joined Jul 24, 2022 Posts 43 Reaction score 73 Jul 10, 2023 Thread starter #6 darubin ya mbao said: Uchakavu wa viungo ukizidi unakufa tu ndio sababu yenyewe hiyo Click to expand... Ko niki maintain diet fresh tu ..miaka mia njenje😂
darubin ya mbao said: Uchakavu wa viungo ukizidi unakufa tu ndio sababu yenyewe hiyo Click to expand... Ko niki maintain diet fresh tu ..miaka mia njenje😂
Mynd177 JF-Expert Member Joined Dec 3, 2022 Posts 3,167 Reaction score 5,642 Jul 10, 2023 #7 Ngoja wajuvi wa dini waje!..
LAETUS Member Joined Jul 24, 2022 Posts 43 Reaction score 73 Jul 10, 2023 Thread starter #8 Mynd177 said: Ngoja wajuvi wa dini waje!.. Click to expand... Nawasubiria kwa hamu ....
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,109 Reaction score 1,249,103 Jul 11, 2023 #9 kifo ni fumbo