Habari zenu wakuu
Wakati ule wa analog ilikuwa kama huna hela ya kununua antena,waweza tumia hata tubelight mbovu,rim ya baiskeli,sinia la alumminium na ukaweza kutizama chanels mbalimbali.
Lakini huwa najiuliza...mbona ukiwa na lnb huwezi kufunga kwenye nguzo na kuiweka juu na ikakamata chanel?je lile dish huwa lina kitu gani cha zaidi?na je inawezekana kuweka chombo chochote kama dish badala ya dish original?
Naomba ufafanuzi wataalamu