Swali kuhusu bosi mpya wa TPDC

Fitna kibao! Soma na wewe kama unataka hiyo nafasi siyo kulia lia ...
 
Hivi una uhakika ni hicho kiasi cha pesa ulichoandika? USD 25 billions? Unajua mradi wa kujenga reli Standard Gauge kwa kilometer 2,500 ni USD 7 billions? Hiyo LNG plant tu ndio iwe USD 25 billions? Kweli?


Yuko sahihi na hizi pesa ni za wawekezaji siyo zetu tungekua tunawekeza kwa kutumia budget yetu ingekua shughuli kidogo.
 
Tatizo wana JF mnapost mada isiyokuwa na chanzo cha habari (source). Huyo Boss mpya wa TPDC ni nani? Mimi namjua Yona Kilighane kama ameingia Mzungu tueleze mtoa mada.

Uko nyuma sana na Tanzania tena hujui kinachoendelea. Kilighane amemaliza muda wake siku zimepita.
 

CAG Mara ngapi amesema TPDC INA madudu je? Hatua zipi zimechukuliwa
 


safari zimepigwa marufuku rasmi
 
Mkuu tikianza kuwashughulikia watu wa namna hii ni muda ndio tukae sawa.
 
Dr James mataragio nguli wa mafuta na gesi duniani tumemtoa wenyewe huko usa alipokuwa anafanya kazi
Hawa ndio akina balali, ndulu type

Asilete uzandiki,kama hataki kuhamishia familia hapa,fukuza.Bora kuajiri mzungu atakayeishi hapa lkn tuone tija, mambo ya kunyenyekeana hakuna awamu hii.
 

...waulizeni utawala uliopita ndio walimweka huyu jamaa....kama tayari wafanyakazi wa chni yake wanamlalamikia basi tayari keshakwama....huwezi kuishi kwa tofauti kubwa namna hii na wale walio chini yako alafu ukawa na tija...ukizingatia mazingira ya kikazi ya US na TZ ni sawa na mbingu na dunia....Kuna mambo yanafanyika TZ huyaoni nchi nyingine kabisa...
 

Mishahara na marupurupu ya watumishi wa umma ni lazima upunguze na matumizi yathibitiwe ili serikali ipite kodi. Tangu scopo ifutwe baada ya ubinafsishwaji mashirika watu wanapiga pesa wanavyotaka. Nidhamu imetoweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…