Na imani ulimaanisha billion 25 za kitanzania na sio dolla billion 25
Heh, kumbe mleta mada ana chuki na jamaa toka siku nyingi, duh mnafukunyua threads za zamani zinaumbua mtu hapa. Lakini ukweli ufisadi kwenye su na serikalini ni mkubwa sana ila ufukuliwe bila chuki.Ulishamtabiria haya, kwahiyo yawezekana mfumo umembadilisha hakuna cha ajabu hapo.Hata Messi akija Majimaji hataweza kubadilisha timu..
https://www.jamiiforums.com/politics-palace/779641-why-i-feel-sorry-for-new-tpdc-boss.html
Acheni unafiki, mtu hana hata mwaka kazini mlitaka afanyeje.
Yule bwana anafanya kazi kitaalam,ni msomi wa kiwango cha dunia,mambo ya kiswahili hawezi.