Sikio la muazini
JF-Expert Member
- Jun 17, 2026
- 248
- 469
Hata anayegawa Bure pia huo ni umalaya.Umalaya ni mtu yeyote anayegeuza mwili wake hasa sehemu zake za siri kama chanzo kikuu cha mapato kwa njia ya kujamiiana
So mtu akiwa anatoa tu mwili bila kulipwa siyo malaya?Umalaya ni mtu yeyote anayegeuza mwili wake hasa sehemu zake za siri kama chanzo kikuu cha mapato kwa njia ya kujamiiana
Hebu niambie tofauti ya ukahaba umalaya na ukicheche japo kwa ufupiSo mtu akiwa anatoa tu mwili bila kulipwa siyo malaya?
Tutofautishe umalaya, ukahaba na ukicheche.
Umalaya ni mtu yeyote anayegeuza mwili wake hasa sehemu zake za siri kama chanzo kikuu cha mapato kwa njia ya kujamiiana
..."mtu yeyote"...Hebu niambie tofauti ya ukahaba umalaya na ukicheche japo kwa ufupi
Inasikitishaje wakati malaya anapata mapato na uroda?Inasikitisha sana
Kwa ufupi, wanawake wanatembea na mgodi 🔥Inasikitishaje wakati malaya anapata mapato na uroda?
Aiseee I!Kwani kuna malaya kakamatwa sehemu?Hebu niambie tofauti ya ukahaba umalaya na ukicheche japo kwa ufupi
Lakini,mgodi lazima utulize kitenesi ili uvunwe kwa upole na kispoti.Kwa ufupi, wanawake wanatembea na mgodi 🔥
Ni neno pana, hujawahi ona neno lenye maana zaidi ya moja kwenye lugha? In short neno malaya linaendana na tamaa, uroho nkHata anayegawa Bure pia huo ni umalaya.
Mwalimu Nyerere pia alishasema hata kwenye siasa Kuna viongozi wenye Tabia za "Ki malaya Malaya"
Sasa hapo n jukumu lao mabinti kutembea na wenye pesa mana hao hawawezi kukomoa, Sasa unatembea na mlalahoi Lazima aipige kuichakaza 😂Lakini,mgodi lazima utulize kitenesi ili uvunwe kwa upole na kispoti.
Kahaba ni jasusi zaidi ya Malaya..hilo ni li Promax Malaya..linatumika kila kona kwa mwili wake na connections zote.Hebu niambie tofauti ya ukahaba umalaya na ukicheche japo kwa ufupi
Huo ni ukahabaUmalaya ni mtu yeyote anayegeuza mwili wake hasa sehemu zake za siri kama chanzo kikuu cha mapato kwa njia ya kujamiiana
Ni neno pana nimegusia angle moja kuuSo mtu akiwa anatoa tu mwili bila kulipwa siyo malaya?
Tutofautishe umalaya, ukahaba na ukicheche.