Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,214
- 7,724
... hata wapenda mishangazi nao wanatembea na migodi!Kwa ufupi, wanawake wanatembea na mgodi 🔥
WANAUME WANAOJIUZA KWA MISHANGAZI!
... hata wapenda mishangazi nao wanatembea na migodi!Kwa ufupi, wanawake wanatembea na mgodi 🔥
Wanasema kupelekea moto!Dah! Noma kinomanoma!Sasa hapo n jukumu lao mabinti kutembea na wenye pesa mana hao hawawezi kukomoa, Sasa unatembea na mlalahoi Lazima aipige kuichakaza 😂
Kwani mwanaume anayelelewa na mshangazi siyo malaya? Au ni lazima awe mwanamke tu?..."mtu yeyote"...
Ukahaba ni biashara,Hebu niambie tofauti ya ukahaba umalaya na ukicheche japo kwa ufupi
Vyote dhima kuu ni vitendo vya ngono kwa lengo kuu la kibiasharaHuo ni ukahaba
Uko sahihiHuo ni ukahaba
Kwa katiba ya zamani iliyoandaliwa mitaa ya Ohio Daslam,upo sawa.Ila kwa katiba hiihii mbovu ya 1977 ni kosa la jinai kulombeka au kulomba kiholekaholela.Ngaja niiweke sawa. Umalay siyo kosa!
Ndiyo maana nikasisitiza ni yeyote.Kwani mwanaume anayelelewa na mshangazi siyo malaya? Au ni lazima awe mwanamke tu?
Sisemi kwa mujibu wa katiba, bali kwa kuangalia kwa akili tu ya kawaida bila kutumia hisia.Kwa katiba ya zamani iliyoandaliwa mitaa ya Ohio Daslam,upo sawa.Ila kwa katiba hiihii mbovu ya 1977 ni kosa la jinai kulombeka au kulomba kiholekaholela.
Inaweza ikawa sawa.Ila,tuangalie afya kwa ujumla hasa moyo na usafi wa damu.Sisemi kwa mujibu wa katiba, bali kwa kuangalia kwa akili tu ya kawaida bila kutumia hisia.
Hapo nakubali 👍.Inaweza ikawa sawa.Ila,tuangalie afya kwa ujumla hasa moyo na usafi wa damu.
Kwa maana hiyo hata mwanaume mwenye mwanamke zaidi ya mmoja au mwenye mke halafu na mwanamke nje naye ni malaya.Watu wengi wanadhani mtu kua malaya mpaka awe kwenye danguro lodge baa n.k lakini umalaya upo wa aina nying
1. Mwanamke kupenda hela za wanaume na kurubuni kupitia mwili wake
3. Kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja
Kwa mfano mwanamke ana mume wake lakini ana mwanaume mwingine nje
ONGEZENI NA NYIE MENGINE
Karibuni wote:
Cc Andromeda GalaxyUmalaya ni mtu yeyote anayegeuza mwili wake hasa sehemu zake za siri kama chanzo kikuu cha mapato kwa njia ya kujamiiana
Cc@smart91... hata wapenda mishangazi nao wanatembea na migodi!
WANAUME WANAOJIUZA KWA MISHANGAZI!