Swali: Je,Mac OS inaweza kutumika kwenye nonapple pc?

Swali: Je,Mac OS inaweza kutumika kwenye nonapple pc?

Mrimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
1,691
Reaction score
640
Watalamu,sina hakika kama hili swali lilishaulizwa na kutolewa maelezo humu,ila naomba tu kujua.Maana nimejaribu kugoogle,lakini napata majibu tofauti tofauti,ndo maana nimekuja humu ili kupata uzoefu kama kuna mtu amewahi kufanya na akafanikiwa.
 
it's possible google " mac os 10 on pc" sema imewezekana ile version za zamani .sema unaitaji computer yenye specs kali
 
inawezekana kwenye computer yenye procesor ya intel na specification za kutosha. Moja wapo ya computer nzuri ku run mac os ni hp probook 4530s.
Kwa computer zenye processor za AMD inawezekana pia ila ni vigumu zaidi kuliko zenye intel processors as mac computers zinatumia intel pia
 
pitia tomshardware.com kuna maelekezo ya kutosha ila mengi yanaigusa hp probook na ndiyo inasifika kutoa pafomansi nzuri
 
Hapana. Japo unaweza kutumia os nyingine i.e. windows katika mac

acha kukurupuka kujibu maswali yasiyokuhusu,we kama umesoma agriculture sio lazima uingilie fani za watu. jibu ni kwamba INAWEZEKANA kuinstall Mac OS kwenye PC inategemea na specifications za hiyo PC(motherboard,graphics,etc)
 
Inawezekana ila ni usumbufu, google hackingtosh
 
it's possible google " mac os 10 on pc" sema imewezekana ile version za zamani .sema unaitaji computer yenye specs kali

Nishawahi ku install on PC circa 2005. Bila hacking. OS ilikuwa designed kufanya kazi kwenye PC. PC yangu ilikuwa na AMD processor.
 
Inawezekana kurun Mac OsX kwenye PC. Nimeshawahi kufanya hivyo na sio mara moja. Nimeshawahi kufanya kwenye laptop aina ya dell inspiron 1525, 1545 na Hp G60. Kwenye dell inspiron 1525 na 1545 inakubali zaidi. Ila issue ni kwamba hii OS ilikua designed kurun kwenye mac kwa hiyo kuna watu walijaribu kuimodify ili iweze kurun kwenye PC. Version inayoweza kurun kwenye PC inaitwa kalyway Mac OsX. Try to search for more details through google and you will get more info concerning to it.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kufanya itafanya kila ki2 kulingana na mashine yako ina specifications gani. Kwenye inpriron 1525 na 1545 ukifuatilia procedures kila ki2 kitafanya kazi kama inavotakiwa. Na applications zote utakazoziingiza zitakua ni za apple. Apple zina nafasi yake huwezi kulinganisha PC ya kawaida na apple. Mfano kwa issue ya kukaa na power kwa upande wa macbook.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Haja ipo coz huwezi ifaidi mac os vizuri kwenye pc nyingne ambayo si ya mac kwakuwa kuna functions ambazo hazitafanya kazi kwenye pc yako
Basi hamna haja ya kulazimisha kuweka ios kwenye non apple computers coz kuna vi2 utakuwa limited
 
hawa apple ni wahuni wanalazimisha watu wanunue hardware na software.
 
Back
Top Bottom