Swali Je inawezekana nchi kuuzwa?

Swali Je inawezekana nchi kuuzwa?

Harmful

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2025
Posts
4,056
Reaction score
13,048
Habari wanajf

Kumekuwa na kauli nyingi za wananchi inapotokea mambo yasiyoeleweka kufanyika nchini,Moja ya kauli hizo ni "BORA NCHI IUZWE KILA MTU APEWE CHAKE"

Hili limenifanya nifikirie sana je Kuna uwezekano wa nchi yoyote ile duniani labda tutoe Mfano Wananchi wa Tanzania tunapiga kura kwa pamoja kukubali au kukataa nchi iuzwe na waliopiga kura kukubali wanashinda na hivyo nchi inapigwa mnada na hela iliyopatikana inagawanywa kwa idadi ya wananchi na hapo watu wanatafuta sehemu za kwenda kuishi na kutumia hela zao

Member wenzangu wa JF naomba mnisaidie je huu uwezekano upo???

ASANTENi
 
We ushakuwa mtu mzima vitu vingine sio vya kuuliza unaonekana hamnazo mbeel za watu ilo swali labda aulize mtt wa shule ya msingi tena darasa la 4 kurud chini ss we unafikiri ita2ezekana vp
Mkuu hili suala linaongelewa sana na watu ndio maana nimeuliza kiongozi labda Kuna Sheria Ina ifavour jambo hili
 
Habari wanajf

Kumekuwa na kauli nyingi za wananchi inapotokea mambo yasiyoeleweka kufanyika nchini,Moja ya kauli hizo ni "BORA NCHI IUZWE KILA MTU APEWE CHAKE"

Hili limenifanya nifikirie sana je Kuna uwezekano wa nchi yoyote ile duniani labda tutoe Mfano Wananchi wa Tanzania tunapiga kura kwa pamoja kukubali au kukataa nchi iuzwe na waliopiga kura kukubali wanashinda na hivyo nchi inapigwa mnada na hela iliyopatikana inagawanywa kwa idadi ya wananchi na hapo watu wanatafuta sehemu za kwenda kuishi na kutumia hela zao

Member wenzangu wa JF naomba mnisaidie je huu uwezekano upo???

ASANTENi
Iuzwe mara ngapi?
 
Unataka iuzwe mara ngapi wakati kila kitu kiko wazi. Wachina na Waarabu sasa wanajinoma kama vile ni shamba la chizi au bibi.
 
Unauliza SWALI ambalo jibu lake lipo wazi kabisa kuwa inawezekana.SAMIA KASHAIUZA TAYARI KWA MWARABU.ZINAFANYIKA TU TARATIBU ZA KUMALIZIA NA KUWAUZA WATANZANIA WOTE NA KUWAPELEKA WATAKAVYOONA INAFAA.Na TETESI INASEMEKANA WATAHAMISHIWA BURUNDI
 
Back
Top Bottom