Swali Janja: Ni nani atapata hasara kati ya voda na wakala?

Mchoraji Cyper255

JF-Expert Member
Nov 21, 2012
1,758
6,087
Habari Geeks,

Naomba kuuliza. Mfano, Mfanyakazi wa Voda akiamua kutengeneza namba na kisha kuzituma kwenye akaunti yake ya M-pesa kama muamala na baadae akatoa pesa kwa Wakala Mtaani.
Je, inaweza kuwa na athari zozote. Au ni nani atapata hasara kati ya Voda na Wakala?
 
Theoretically hasara itakuwa ya Voda, practically sio rahisi kutokana na controls zilizopo.
 
wafanyakazi wana user accounts zao na zina limited access. so sio rahisi kufany hv kwani kiwango cha pesa zilizopo kwa tarakimu na zilizotolewa huwa kuna kua na uchunguzi wa kuangalia source ya hela ilipo tokea . na source ni moja tuu kutuma au kupokea kukitokea source nyingine hapo lazm itafatiliwa na kushikwa... OVA
 
Back
Top Bottom