Swali: Ile nyumba ya Spika Urambo Mashariki inatumikaje?

Dopas

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2010
Posts
1,151
Reaction score
392
WanaJF, nauliza tu swali kwa anayefahamu kwa faida ya watanzania wanaopenda kufahamu kama mimi.

Ile nyumba ya Spika iliyojenjwa Urambo Mashariki kwa aliyekuwa mwenyekiti wa bmk inatumikaje?

Yaani Spika Anna Makinda anaitumia au serikali imebadilisha matumizi yake? Nauliza maana ilijengwa kwa mamilioni ya kodi ya wananchi, hivyo sio vizuri isitumike walau kwa matumizi ya serikali.

Nauliza kwani nimetafakari na kuona huyu bwana Sitta ana uzoefu kwa kufuja fedha ya umma bila huruma, ndio maana aling'ang'ania kuendelea na mkutano bmk ingawa ilikuwa dhahiri katiba bora haiwezi kupatikana.

Ona sasa siri zinaanza kuvuja za uharamia waliofanya ili akidi ya 2/3 ipatikane.

Umeona fojari iliyotumika kuhakikisha wajumbe wa Zanzibar wanatimia?
 
Kwani huoni ule mkutano wa sita kafanya kwenye viwanja vya nyumba hiyo. Ni mali ya sita hio.
 
Lakini sio ilipaswa kuwa chini ya makinda kwa sasa, maana ilijengwa kwaajili ya Spika?
Sasa naanza elewa kwanini Baba wa Taifa alisema ukizoea kula nyama ya mtu hutaacha.
Vivyo hivyo ukizoea kufuja kodi za wananchi maskini wasio hata na chumvi, au mafuta ya taa, hutaacha, wala hutaona ni tatizo
 
Na sijui serekali ilikuwa wapi wakati inajengwa ina maana hawakuona haya mapungufu.
 
by Pasco;
Kwa sasa ni just a "white elephant!", ila 2015 itakuwa ndio private office ya the president of URT wakati wa likizo!

Pasco umeshahamia Unyamwezini?
Hii tabia ya kutanga tanga mwisho wa siku utajikuta umekosa kila kitu! (mr fisi)
 
Last edited by a moderator:
Mimi nikifanikiwa kuwa mbunge wa urambo 2015 nitaifanya kuwa sehemu ya kujifungulia wakina mama .
 
Todate sielewi ile nyumba why Huyu jamaa aliijenga?
 
by Pasco;
Kwa sasa ni just a "white elephant!", ila 2015 itakuwa ndio private office ya the president of URT wakati wa likizo!

Pasco umeshahamia Unyamwezini?
Hii tabia ya kutanga tanga mwisho wa siku utajikuta umekosa kila kitu! (mr fisi)
Laiti ungelinijua!.
Pasco
 
Todate sielewi ile nyumba why Huyu jamaa aliijenga?

Ni nyumba YA Mbunge wa urembo atayeshinda, nyumba YA spika hiko dodoma ndio anatumia Makinda kwa sasa tusichanganye mambo http://issamichuzi.blogspot.com/2010/07/jk-ziarani-urambo-leo.html?m=1
HII NYUMBA SIO YA SPIKA Wa bunge
URAMBP.jpg

NYUMBA YA SPIKA WA BUNGE HIKO DODOMA NA NI HII HAPA http://wavuti.weebly.com/news-blog/...ika-wa-bunge-la-tanzania-dodoma#axzz3GMYM0TO2

303374087.JPG
908687490.JPG
sp22.jpg
sp137.jpg
 
Ni vyema tukaandika mambo kwa usahihi, tusipokuwa makini tutatengeneza Taifa ka waongo na wazushi, Hiyo nyumba/ofisi ni YA mbunge wa urambo, http://issamichuzi.blogspot.com/2010/07/jk-ziarani-urambo-leo.html?m=1 na huo ni mpango wa serikali kuwajengea nyumba/ofisi wabunge , Sasa kama tunapinga huo mpango ni vyema tuwe wAzi kuliko kuwasakama wabunge wanaojengewa hizo nyumba,
Mali Nyingi za umma zinaibiwa na wanasiasa kwa Sababu sisi wananchi Ndio tunaanza kuwamilikisha kabla YA wao Kuwa na nia hiyo, Hii ni nyumba ya Serikali Lakini usahihi wake umepotoshwa Sana na wanasiasa na wapambe wao. Tuwe kweli kama tunataka mabadiliko
WanaJF, nauliza tu swali kwa anayefahamu kwa faida ya watanzania wanaopenda kufahamu kama mimi.

Ile nyumba ya Spika iliyojenjwa Urambo Mashariki kwa aliyekuwa mwenyekiti wa bmk inatumikaje?

Yaani Spika Anna Makinda anaitumia au serikali imebadilisha matumizi yake? Nauliza maana ilijengwa kwa mamilioni ya kodi ya wananchi, hivyo sio vizuri isitumike walau kwa matumizi ya serikali.

Nauliza kwani nimetafakari na kuona huyu bwana Sitta ana uzoefu kwa kufuja fedha ya umma bila huruma, ndio maana aling'ang'ania kuendelea na mkutano bmk ingawa ilikuwa dhahiri katiba bora haiwezi kupatikana.

Ona sasa siri zinaanza kuvuja za uharamia waliofanya ili akidi ya 2/3 ipatikane.

Umeona fojari iliyotumika kuhakikisha wajumbe wa Zanzibar wanatimia?
 
Na sijui serekali ilikuwa wapi wakati inajengwa ina maana hawakuona haya mapungufu.

Serikali haina macho. Nadhani na Makinda naye atajenga nyumba ya spika huko kwao. Wameona mawaziri wakuu wanaanzisha mikoa mipya kwao wakaamua nao angalau waambulie japo kujenga kajumba!
 
Ni vyema tukaandika mambo kwa usahihi, tusipokuwa makini tutatengeneza Taifa ka waongo na wazushi, Hiyo nyumba/ofisi ni YA mbunge wa urambo, MICHUZI BLOG: JK ziarani urambo leo na huo ni mpango wa serikali kuwajengea nyumba/ofisi wabunge , Sasa kama tunapinga huo mpango ni vyema tuwe wAzi kuliko kuwasakama wabunge wanaojengewa hizo nyumba,
Mali Nyingi za umma zinaibiwa na wanasiasa kwa Sababu sisi wananchi Ndio tunaanza kuwamilikisha kabla YA wao Kuwa na nia hiyo, Hii ni nyumba ya Serikali Lakini usahihi wake umepotoshwa Sana na wanasiasa na wapambe wao. Tuwe kweli kama tunataka mabadiliko

Oooh asante VIKWAZO, kumbe kila mbunge kajengewa nyumba na serikali jimboni kwake, au labda ni kwa wateule wachache? Nina hakika ndugu yangu VIKWAZO una taarifa sahihi kuhusiana na huu mchakato wa ujenzi wa nyumba za wabunge, kasi yake ikoje hadi kufikia wakati huu ambapo tunaelekea mwisho wa awamu ya pili ya JK, zimeshajengwa nyumba majimbo mangapi na mangapi yamesalia?
 
Last edited by a moderator:
Itatumiwa na mbunge wa Urambo kutoka UKAWA baada ya Mzee 6 kushushwa viwango .
 
Ni vyema tukaandika mambo kwa usahihi, tusipokuwa makini tutatengeneza Taifa ka waongo na wazushi, Hiyo nyumba/ofisi ni YA mbunge wa urambo, http://issamichuzi.blogspot.com/2010/07/jk-ziarani-urambo-leo.html?m=1 na huo ni mpango wa serikali kuwajengea nyumba/ofisi wabunge , Sasa kama tunapinga huo mpango ni vyema tuwe wAzi kuliko kuwasakama wabunge wanaojengewa hizo nyumba,
Mali Nyingi za umma zinaibiwa na wanasiasa kwa Sababu sisi wananchi Ndio tunaanza kuwamilikisha kabla YA wao Kuwa na nia hiyo, Hii ni nyumba ya Serikali Lakini usahihi wake umepotoshwa Sana na wanasiasa na wapambe wao. Tuwe kweli kama tunataka mabadiliko

Ni kweli kuwa kila mbunge alijengewa ofisi jimboni lakini ile ya jimboni kwa Sitta ni habari nyingine, huwezi kuifananisha na ofisi 'vibanda' vya wabunge wa majimbo mengine.
 
Nasikia hata nyumba ya spika huko dar hakuachia,baada ya kushindwa kuwa mwanamke na kugombea tena uspika eti hakuondoka kwenye nyumba ya spika!
Usafi wa 6 ni wa mashaka sana
 
umeona sitta alivyopokelewa pale?wananchi wala hawana mpango naye na mbaya zaidi kavaa sendo miguu imeanza kukataa kazi halafu eti nayeye alikuwa anataka wae raisi 2015 jamani
 
Back
Top Bottom