Swali: Ile nyumba ya Spika Urambo Mashariki inatumikaje?

Swali: Ile nyumba ya Spika Urambo Mashariki inatumikaje?

Hoja yako Kwamba ile ya sitta kwamba ni ya aina yake ina mashiko kabisa, swali linaweza kuwa pesa YA ziada kujenga ya kiwango kile ilitoka wApi? Au kwani nini imejengwa kwa kiwango hicho!!!
Nachopinga mimi ni huu upotoshaji kwamba ile ni nyumba ya spika wakati nyumba ya spika ipo dodoma na nikubwa sana kuliko hiyo YA urambo
Ni kweli kuwa kila mbunge alijengewa ofisi jimboni lakini ile ya jimboni kwa Sitta ni habari nyingine, huwezi kuifananisha na ofisi 'vibanda' vya wabunge wa majimbo mengine.
 
Hiyo ya anaitumia kama waziri na spika mstaafu, shida iko kwenye mfumo wetu kuwapa vyeo wastaafu, kiukweli kuna watu tunawaonea wakati tatizo ni la kimfumo, nimakosa kupingana na watu wanapewa advantage na mfumo mbovu badala YA kuupinga mfumo wenyewe , Makinda ana nyumba kinondoni kama spika na alikuwa na mgogoro na wananchi kwa kuzibwa njia kwa sababu hapo ni makazi YA spika
Nasikia hata nyumba ya spika huko dar hakuachia,baada ya kushindwa kuwa mwanamke na kugombea tena uspika eti hakuondoka kwenye nyumba ya spika!
Usafi wa 6 ni wa mashaka sana
 
Hoja ya Msingi ni kwamba ile sio Nyumba YA spika kama posti ilivyosema, usinipachike jukumu la kuwa PR wa nyumba za wabunge nilichofanya mimi nikuweka usahihi kwa kile ninachojua, ile nyumba ya urambo sio ya spika na hata isingejegwA sidhani kama kasi ya kujenga ofisi za wabunge kwenye maeneo mengine ingeongezeka !!!!!
yes it is true kuna majimbo yameshapata hizo ofisi na nyingine bado lakini plan sio kujenga zote kwa mkupuo,
Please tuwe wakweli tu kwenye hoja zetu kupotoshana sio sahihi
Oooh asante VIKWAZO, kumbe kila mbunge kajengewa nyumba na serikali jimboni kwake, au labda ni kwa wateule wachache? Nina hakika ndugu yangu VIKWAZO una taarifa sahihi kuhusiana na huu mchakato wa ujenzi wa nyumba za wabunge, kasi yake ikoje hadi kufikia wakati huu ambapo tunaelekea mwisho wa awamu ya pili ya JK, zimeshajengwa nyumba majimbo mangapi na mangapi yamesalia?
 
Last edited by a moderator:
Hoja ya Msingi ni kwamba ile sio Nyumba YA spika kama posti ilivyosema, usinipachike jukumu la kuwa PR wa nyumba za wabunge nilichofanya mimi nikuweka usahihi kwa kile ninachojua, ile nyumba ya urambo sio ya spika na hata isingejegwA sidhani kama kasi ya kujenga ofisi za wabunge kwenye maeneo mengine ingeongezeka !!!!!
yes it is true kuna majimbo yameshapata hizo ofisi na nyingine bado lakini plan sio kujenga zote kwa mkupuo,
Please tuwe wakweli tu kwenye hoja zetu kupotoshana sio sahihi

Mimi ninajua ujenzi hauwezi kuwa wa awamu moja, kama kweli ni mpango thabiti na wa kweli lazima kutakuwa na utaratibu. hicho cheo cha PR sikumbuki kama kuna mahali nimekupatia, labda kama ujumbe wangu mwenyewe sijausoma vizuri. Swali langu ni jema tu, maana ulionekana kujua habari ya nyumba hizo za wabunge, yawezkana ni mhusika pia maana humu ndani wengi hatujuani tunafanya nini kama shughuli zetu za kila siku. wasiwasi wangu ni kwamba hiyo kasi ya nyumba za wabunge inaweza kuwa ya kiinimacho tu. Ndiyo maana nikataka tu kujua kwa sasa tunazo nyumba hizo ktk majimbo mangapi, na ni yapi?
 
S
Hiyo ya anaitumia kama waziri na spika mstaafu, shida iko kwenye mfumo wetu kuwapa vyeo wastaafu, kiukweli kuna watu tunawaonea wakati tatizo ni la kimfumo, nimakosa kupingana na watu wanapewa advantage na mfumo mbovu badala YA kuupinga mfumo wenyewe , Makinda ana nyumba kinondoni kama spika na alikuwa na mgogoro na wananchi kwa kuzibwa njia kwa sababu hapo ni makazi YA spika[/QUOTE
Sawasawa mkuu,ila ikulu za marais wastaafu ziko wapi? Au ulishasikia au kuona kiongozi mwingine mwanadamizi wa serikali aliyeendelea kuishi kwenye nyumba baada ya kustaafu?
Hii inamaanisha Makinda alijengewa au kupewa nyumba baada ya spika mstaafu kuendelea kuishikilia nyumba.Kama ni mwadilifu kama anavyojinadi kila siku asingefanya alichofanya.
 
hapo umejichanganya mwenyewe, hiyo ya spika ya dar ni nyumba ya kupanga na sasa inalipiwa kodi kama ya waziri wa afrika mashariki na spika mstaafu at some time, maraisi wakitoka madarakani kuna maandalizi ya nyumba zao, hata huyu wa sasa maandalizi yanaendelea hapo bagamoyo na mkapa yuko Lushoto, kubali kwamba nyumba ya urambo sio ya spika tuendelea na mambo mengine
S
Hiyo ya anaitumia kama waziri na spika mstaafu, shida iko kwenye mfumo wetu kuwapa vyeo wastaafu, kiukweli kuna watu tunawaonea wakati tatizo ni la kimfumo, nimakosa kupingana na watu wanapewa advantage na mfumo mbovu badala YA kuupinga mfumo wenyewe , Makinda ana nyumba kinondoni kama spika na alikuwa na mgogoro na wananchi kwa kuzibwa njia kwa sababu hapo ni makazi YA spika[/QUOTE
Sawasawa mkuu,ila ikulu za marais wastaafu ziko wapi? Au ulishasikia au kuona kiongozi mwingine mwanadamizi wa serikali aliyeendelea kuishi kwenye nyumba baada ya kustaafu?
Hii inamaanisha Makinda alijengewa au kupewa nyumba baada ya spika mstaafu kuendelea kuishikilia nyumba.Kama ni mwadilifu kama anavyojinadi kila siku asingefanya alichofanya.
 
Nasikia wanalala vibaka usiku,mchana kuna biashara ya viroba
 
Lakini title ya nyumba ni ofisi ya mbunge wa Urambo, nyView attachment 194072umba ya spika iko dodoma jamani mbona hapo tunashindwa kuelewa kabisa
Hakuna usipika kwenye nyumba ya urambo toka day one ila tumepanda ionekana hivyo ili kuwe na madoa kwa muhusika, binafsi naachukizwa na hukumu zisizo za haki , yawezekana sitta anachukiwa au anamakosa mengine sasa tusimpachike na ya uongo kama polisi TZ wanavyofanya kwa baadhi ya wananchi wasio na hatia,,,,

Nyumba ya spika ni hii http://www.bongocelebrity.com/2012/...wa-bungeimegharimu-takribani-tsh-1-5-billion/ na sasa makinda anakula bata tu humo

Ila alijenga kama speaker wa bunge ndo issue inapokuja apo
 
Back
Top Bottom