Swali: Hivi Kwanini Wanawake Huwa Hampendani?!

Swali: Hivi Kwanini Wanawake Huwa Hampendani?!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
57,224
Reaction score
128,986
Wanabodi,

Naomba kuuliza, hivi kwa nini wanawake huwa hampendani?!, Inawezekana kuwa ni kweli, adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe?!.

Naomba niwape mfano mdogo tuu toka humu humu jf,

Siku kadhaa nyuma niliwahi kupandisha humu jf thread kuhusu, CRDB Bank -Lumumba ni "Maua" na Maua!.
Kwenye thread hiyo nikaweke picha za wafanyakazi wa benki hiyo, na kiukweli, kwa maoni yangu mimi binafsi ni kuhusu wafanyakazi wao wa kike ni "mashallah!".

Leo katika kuitembelea tuu ile thread, nikakutana na comment hii

Maua na mikorogo, wapi na wapi?
Du !, ama kweli!, kwa nini lakini wanawake hampendani?!, yaani wewe ... unawaoneaje wivu wadada wa watu hata huwajui?!. Wadada hao wako natural wamependeza, unawasingizia mkorogo?!, that's not fair!. Au kwa vile wanafanya kazi nzuri, ofisi nzuri, wanalipwa pesa nzuri, mazingira mazuri ya kazi ni full kipupwe, saa zote wako ndani, hivyo hawaungui na jua!, hii inapelekea wengi wao kung'aa unadhani ni mkorogo?!. No way!.

Hebu na wewe, hebu tembelea hapa CRDB Bank -Lumumba ni "Maua" na Maua!. uniambie kwa ukweli wako kabisa, jee kweli kuna mikorogo hapo?!

Wadada pendaneni!.

Pasco
 
Wanawake is as if watoto. Ukiona wanawake awapendani siyo kwa sababu ya roho mbaya. Ni aina fulani ya maisha ya kila moja kutaka kujikweza. Ugomvi wa wanawake kwa wanawake usiingilie. Mda mwingine wameingiliana anga moja, wewe mume unakuwa uelewi. Mbaya zaidi ugomvi wa wanawake audumu hata miaka miwili. Siku ya siku tu utashanga kuwaona wamekuwa moshostista paka unastajabu.
 
I agree Zion Daughter , hapa bongo hata upendeze vipi, usome vipi, au ufanikiwe vipi.. watakutafutia kasoro tuw, si wanawake si wanaume. Ingawa hili tatizo limejitokeza sana kutoka kwa wanawake kwenda kwa wanawake wenzao.

i agree with u...it apply to both sides...
408351_279410668835921_981125048_a.jpg
 
Wanabodi,

Naomba kuuliza, hivi kwa nini wanawake huwa hampendani?!, Inawezekana kuwa ni kweli, adui wa mwanamke ni mwenyewe?!.

Naomba niwape mfano mdogo tuu toka humu humu jf,

Siku kadhaa nyuma niliwahi kupandisha humu jf thread kuhusu, [h=3]CRDB Bank -Lumumba ni "Maua" na Maua!.[/h]
Kwenye thread hiyo nikaweke picha za wafanyakazi wa benki hiyo, na kiukweli, kwa maoni yangu mimi binafsi ni kuhusu wafanyakazi wao wa kike ni "mashallah!".

Leo katika kuitembelea tuu ile thread, nikakutana na comment hii

Du !, ama kweli!, kwa nini lakini wanawake hampendani?!, yaani wewe ... unawaoneaje wivu wadada wa watu hata huwajui?!. Wadada hao wako natural wamependeza, unawasingizia mkorogo?!, that's not fair!. Au kwa vile wanafanya kazi nzuri, ofisi nzuri, wanalipwa pesa nzuri, mazingira mazuri ya kazi ni full kipupwe, saa zote wako ndani, hivyo hawaungui na jua!, hii inapelekea wengi wao kung'aa unadhani ni mkorogo?!. No way!.

Hebu na wewe, hebu tembelea hapa [h=3]CRDB Bank -Lumumba ni "Maua" na Maua!.[/h]uniambie kwa ukweli wako kabisa, jee kweli kuna mikorogo hapo?!

Wadada pendaneni!.

Pasco

Mmh! Pasco umefanya research kweli?
 
wanawake wenyewe kwa wenyewe hawapendani na wivu pia upo hata ukienda bar na demu wako barmaid atajishaua sana na hata huduma itakuwa shida!
 
Sio mkorogo wamejikandika mafaundation mpaka nilijiuliza na hill joto LA daa hawaoni kinyaa au hawanatinati kwani Pasco hizo ni sura Zhao?
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni mwanamke lakini nakusapoti asilimia 100, japo huwa hatuukubali ukweli lakini sisi hatupendani hata kidogo

and me I appreciate you kwa mfano nikiwa nakusifia ni mzuri pindi umepita mimi nikiwa na mpenzi lazima ata dis ladies mna kuwa hampendani
 
Mimi ni mwanamke lakini nakusapoti asilimia 100, japo huwa hatuukubali ukweli lakini sisi hatupendani hata kidogo

Inategemea ni level ipi ya wanawake unakutana nayo. Mimi wanawake wenzangu wamekuwa msaada mkubwa sana kwangu. Bosi wangu ni mwanamke ni mzuri sana hana shida na mtu. Lakini tuangalie inawezekana umaskini na ukosefu wa kazi ndio ukasababisha chuki na wivu wa kijinga na hii si kwa wanawake tu hata kwa wanaume pia. Nimeona ofisini hata wanaume wanaoneana wivu sema wanaume wanajitahidi kuficha kidogo. cha muhimu sisi kama binadamu tujiamini ukijiamini hutasumbuliwa na mambo madogo madoogo kama mavazi na sura za watu
 
ila kuna ka kitu fulani kama nature hivi kwa wanawake hii kitu hata kwa wazungu nimeiona wanaendekeza sana vibifu vya kijinga
 
Sio kwamba hatupendani ila kuna ile hali ya kujikweza kwamba kila mtu anajiona yeye ni mzuri zaidi ya mwenzie na yeye anaweza kuliko mwingine. Ukikuta wanawake wanaochukiana bila sababu ni wale ambao wako kwenye kundi moja mfano ofisi moja, shule moja, chuo kimoja n.k
Vinginevyo tunapendana sana tu
 
Back
Top Bottom