MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Katika utawala wa awamu ya nne kuna watu nasikia walikua wakisherehekea kila sikuu nje ya nchi na familia zao, Wao ilikua ni kitu cha kawaida sana kiasi kwamba hapa kwetu hapakua saizi yao.
Sasa nauliza, hivi kuna kiongozi wa umma yeyote kaenda kula bata nje ya nchi kuanzia sikukuu za X-mass na Mwaka mpya? Kama kweli yupo atumbuliwe Mara moja!! Haiwezekani mkuu wa nchi tu yuko Kagera kule kutembelea wahanga wa tetemeko la Ardhi leo mtumishi wa umma anakula bata ughaibuni.Nchi imejaa changamoto kila idara leo mtu atoke tu aende kula bata hapana.
Sisi wanyonge huku hata amani haipo maana tunahangaika na kalamu na daftari za watoto waende shule.