Swali: Hivi kuna mtumishi wa umma ameenda kusherehekea mwaka mpya nje ya nchi?

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Katika utawala wa awamu ya nne kuna watu nasikia walikua wakisherehekea kila sikuu nje ya nchi na familia zao, Wao ilikua ni kitu cha kawaida sana kiasi kwamba hapa kwetu hapakua saizi yao.

Sasa nauliza, hivi kuna kiongozi wa umma yeyote kaenda kula bata nje ya nchi kuanzia sikukuu za X-mass na Mwaka mpya? Kama kweli yupo atumbuliwe Mara moja!! Haiwezekani mkuu wa nchi tu yuko Kagera kule kutembelea wahanga wa tetemeko la Ardhi leo mtumishi wa umma anakula bata ughaibuni.Nchi imejaa changamoto kila idara leo mtu atoke tu aende kula bata hapana.

Sisi wanyonge huku hata amani haipo maana tunahangaika na kalamu na daftari za watoto waende shule.
 
Nawe naye hata kama wameenda Burundi au Namanga rekebisha kidogo jamani maana hata Mkulu si alikuwa karibu na Uganda
 
Kwani ile mifereji ya pesa za kifisadi si ilishafungwa au kuna michepuko na vichochoro ambavyo havijagundulika?
 
Katika utawala wa awamu ya nne kuna watu nasikia walikua wakisherehekea kila sikuu nje ya nchi na familia zao, Wao ilikua ni kitu cha kawaida sana kiasi kwamba hapa kwetu hapakua saizi yao.

Sasa nauliza, hivi kuna kiongozi wa umma yeyote kaenda kula bata nje ya nchi kuanzia sikukuu za X-mass na Mwaka mpya? Kama kweli yupo atumbuliwe Mara moja!! Haiwezekani mkuu wa nchi tu yuko Kagera kule kutembelea wahanga wa tetemeko la Ardhi leo mtumishi wa umma anakula bata ughaibuni.Nchi imejaa changamoto kila idara leo mtu atoke tu aende kula bata hapana.

Sisi wanyonge huku hata amani haipo maana tunahangaika na kalamu na daftari za watoto waende shule.
Watanzania watu wa ajabu sisi.Unampangia mtu matumizi na pesa yake?kama wewe hela huna inatuhusu nini,Rais kuwa Kagera ni utashi wake,angetaka angekwenda IBIZA fungu lipo.Wapo watu wamefuata taratibu wamekwenda kula bata baada ya kazi ngumu.MMojawapo ni Paul Makonda aliekuwa Los Angeles
 
Katika utawala wa awamu ya nne kuna watu nasikia walikua wakisherehekea kila sikuu nje ya nchi na familia zao, Wao ilikua ni kitu cha kawaida sana kiasi kwamba hapa kwetu hapakua saizi yao.

Sasa nauliza, hivi kuna kiongozi wa umma yeyote kaenda kula bata nje ya nchi kuanzia sikukuu za X-mass na Mwaka mpya? Kama kweli yupo atumbuliwe Mara moja!! Haiwezekani mkuu wa nchi tu yuko Kagera kule kutembelea wahanga wa tetemeko la Ardhi leo mtumishi wa umma anakula bata ughaibuni.Nchi imejaa changamoto kila idara leo mtu atoke tu aende kula bata hapana.

Sisi wanyonge huku hata amani haipo maana tunahangaika na kalamu na daftari za watoto waende shule.
Ulofa unawazuzua sana, umbea na udaku ndiyo mnachojua. Maswala ya kumpangia mtu atumiaje hela yake mnavuka mipaka
 
Back
Top Bottom