hayo unayasema wewe mkuu . Tunataka mbunge atakayetuletea maendeleo .
Chama cha mapinduzi kimsimamishe ndg Abrahaman kinana katika uchaguzi ujao wa Arusha mjini. anakubalika sana Arusha maana ndio mbunge pekee aliyeifanyia Arusha maendeleo kipindi cha nyuma . pia upeo wake wa elimu na kusimamia mambo ni mkubwa sana .
ANAFAA,
ANAUWEZO,
ANAKUBALIKA.
hakuna mbunge aliyeifanyia arusha maendeleo kama kinana . Muulize mtu yoyote wa arusha kama umri wako ni mdogo .
Hata mkimleta Mkapa, Arusha tutaichukua tu. Usicheze na CDM!!!!!!
Huyo kinana alihusika kuchakachua matokeo ya ubunge jimbo la segerea, hivyo haifai arusha, na pia hizi ni zama za vijana kushika hatamu siyo mijizee kaa hilo ulilolitaja
Chama cha mapinduzi kimsimamishe ndg Abrahaman kinana katika uchaguzi ujao wa Arusha mjini. anakubalika sana Arusha maana ndio mbunge pekee aliyeifanyia Arusha maendeleo kipindi cha nyuma . pia upeo wake wa elimu na kusimamia mambo ni mkubwa sana .
ANAFAA,
ANAUWEZO,
ANAKUBALIKA.
Na Lowasa anayekuweka mjini anamkubali huyu msomali Kinana?Chama cha mapinduzi kimsimamishe ndg Abrahaman kinana katika uchaguzi ujao wa Arusha mjini. anakubalika sana Arusha maana ndio mbunge pekee aliyeifanyia Arusha maendeleo kipindi cha nyuma . pia upeo wake wa elimu na kusimamia mambo ni mkubwa sana .
ANAFAA,
ANAUWEZO,
ANAKUBALIKA.
Bahati mbaya kwake wapiga kura wengi kwa Arusha ni vijana below 35 yrs,sasa sijui utawashawishi vipi wasimchague Kijana Lema wamchague Mzee Kinana?hakuna mbunge aliyeifanyia arusha maendeleo kama kinana . Muulize mtu yoyote wa arusha kama umri wako ni mdogo .