Swali gumu:Nani kuongoza kampeni za CCM Arusha mjini?

hiyo yote ni hujuma nyingine dhidi ya CDM tuu...let see tuone itakuwa vp???;;;;;;naona wale wa kijani watakuwa wanashangilia now:crying:..
 
Watu wa arusha tumechoka maandamano . Tunataka mtu atakaetusaidia kupata maendeleo na kuipaisha arusha katika nyanja zote za uchumi. Mambo ya kutumiwa kama mfuko wa rambo hatutaki. utalii wa mikutano umeshuka sana hapa Arusha mambo ya ushabiki hatuhitaji .

Mbona maandamano hata hayajaanza, hizi ni rasharasha tu. Huyo K is a spent force.
 
Hata mkisema Obama aje kuwasaidia kwa Arusha mtakula za uso tena mkituuzi Cdm tutaweka jiwe nabado tutashinda tu
 
kama mbunge wa Arusha anachaguliwa hapa jamvini basi mchezo ungekuwa umeisha . ila subirini kipenga kipulizwe mtashangaa jimbo likirudi CCM.

Arumeru ulisema maneno hayahaya matokeo yake ukaangukia pua na ndivyo itakavyo kua arusha mjin..
 
CCM iliyoanzishwa na Nyerere ilikufa naye. Sasa limebaki tuu jina na wezi wachache wa kuchakachua kura, mahakama,TISS, na ufisadi.
 
Sidhani kama kuna uhuru wa mahakama kwa stahili hii.hasira waliokua nayo watu wa arusha hakika watu watapiga kura ya hasira kwa maana yakua hata alikua mbali atafunga safari kuja kupiga kura.hukumu iliyopita hakika ni hukumu ya ccm sio mahakama.arusha daima ni ya chadema
 
Tanzania ina hela za kuchezea kweli,unarudia uchaguzi ambao unajua utashindwa.
 
unazungumzia yule kamanda ambaye alikuwa akiongoza kikosi cha uchakachuaji kura za urais katika kambi ya baba Mwanaasha?
 
Ccm wasiogope kelele za magwanda wakicheza karata vizuri jimbo linarudi ccm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom