Swali gumu:Nani kuongoza kampeni za CCM Arusha mjini?

Chama cha mapinduzi kimsimamishe ndg Abrahaman kinana katika uchaguzi ujao wa Arusha mjini. anakubalika sana Arusha maana ndio mbunge pekee aliyeifanyia Arusha maendeleo kipindi cha nyuma . pia upeo wake wa elimu na kusimamia mambo ni mkubwa sana .
ANAFAA,
ANAUWEZO,
ANAKUBALIKA.

Uzuri au ubaya wa Arusha hatuangalii mtu tunaangalia ni wa chama gani mkuu hapa ukileta Gogo upande wa chadema tutalipatia kura zetu coz litakwenda kusema ukweli na litasimamia maslahi ya wana Arusha.
 
Cfikirii kama kuna kiongoz msaafu wa ccm atakaekubali kwend Arusha kukampenia mgombea wa ccm mana anajua atavuna aibu 2.
 
Huyo kinana alihusika kuchakachua matokeo ya ubunge jimbo la segerea, hivyo haifai arusha, na pia hizi ni zama za vijana kushika hatamu siyo mijizee kaa hilo ulilolitaja

Peoples power ndo jibu la kumrudisha kwenye ulingo mpiganaji Lema, achana na porojo za sisiemu. We the people, we are fed up!
 
Chama cha mapinduzi kimsimamishe ndg Abrahaman kinana katika uchaguzi ujao wa Arusha mjini. anakubalika sana Arusha maana ndio mbunge pekee aliyeifanyia Arusha maendeleo kipindi cha nyuma . pia upeo wake wa elimu na kusimamia mambo ni mkubwa sana .
ANAFAA,
ANAUWEZO,
ANAKUBALIKA.

Unakaa mitaa ya bondeni nini maana sija ona kilicho endelea arusha zaidi ya mji wa arusha kama ulivyo na sio akili za binadamu au viongozi wano ongoza hilo jimbo esp Utawala wa CCM kuukuza mji huo na ninacho kiona Arusha ni viongozi wa juu kutaka kuwa ma tajiri wa kupindukia na kujiweka wao ni wafalme katika mji huuu.

Kwa taaarifa yenu CCM ikisimamisha mgombea yeyote yule atokae CCM hato pita kwani fikra za wana arusha zilisha ichoka CCM hata mfanyeje wanao ipenda CCM ni wale wara rushwa na wapindisha sheria wakubwa katika jimbo hili maana mambo yao machafu serikali huyaficha

Chama cha mapinduzi kimsimamishe ndg Abrahaman kinana katika uchaguzi ujao wa Arusha mjini. anakubalika sana Arusha maana ndio mbunge pekee aliyeifanyia Arusha maendeleo kipindi cha nyuma . pia upeo wake wa elimu na kusimamia mambo ni mkubwa sana .
ANAFAA,
ANAUWEZO,
ANAKUBALIKA.
Na Lowasa anayekuweka mjini anamkubali huyu msomali Kinana?
 
hakuna mbunge aliyeifanyia arusha maendeleo kama kinana . Muulize mtu yoyote wa arusha kama umri wako ni mdogo .
Bahati mbaya kwake wapiga kura wengi kwa Arusha ni vijana below 35 yrs,sasa sijui utawashawishi vipi wasimchague Kijana Lema wamchague Mzee Kinana?
 
Bure yako hayo maendeleo unayoyataka yatagusa wanannchi wa class zote? fikiria maendeleo kwa wote siyo mafisadi tu.
 
Chama cha mapinduzi kimsimamishe ndg Abrahaman kinana katika uchaguzi ujao wa Arusha mjini. anakubalika sana Arusha maana ndio mbunge pekee aliyeifanyia Arusha maendeleo kipindi cha nyuma . pia upeo wake wa elimu na kusimamia mambo ni mkubwa sana .
ANAFAA,
ANAUWEZO,
ANAKUBALIKA.

Kinana
Kinana
Kinana
Kinana
mzee wa miaka ya toka Nyerere bado mnataka mumlete Arusha aje afanye nini alichokisahau enzi akiwa mbunge wa hapa
Ni kipi amefanya cha kumkumbuka hadi bado watu waendelee kumfikiria yeye
Ameacha nini Arusha toka enzi za Nyerere ambacho anakitaka sasa hivi
Muda wake wa kustaafu umefika siku nyingi sana apumzike huko aliko
Bucho ni kijana kila bado unafikiria wazee wa chama chako wana jipya la kufanya
 
Chichiem wana laana, hata alama za nyakati hawasomi. Mikononi mwa kikwete itakufa na kuzikwa.
 
Tatizo sio mt issue ni chama, we huoni Mh. Pinda walivyo mchakachua kifikila. Hapa hata Kikwete wakimsimamisha na Cdm waka weka jiwe ushindi ni lazima..
 
Waliozuia maendetakayekuja kutuamulia.
leo Arusha kwa kipindi chote cha Lema ni ccm(mafisadi) kwasababu ya kujua Lema atawaharibia miradi yao ya kifisadi. tangu amechaguliwa wamekuwa wakimsumbua kila kukicha ili asipate muda wa kuwaumbua kwenye miradi yao ya kijangili. lakini tunasema!!!!!!!!!!!!!mbunge ni wa kwetu na wala si wa magamba. wakuamua nani anafaa ni sisi wala hakuna fisadi lolote atakayetuamulia.
Kinana nakushauri umalize na heshima yako ndogo iliyobaki ucjemaliza maisha yako vibaya, tunajua mabaya yako mengi sana uctake yasambae Tanzania.

Mimi ningeshauri waungane MAGAMBA KUMI (Kikwete,Lowassa,Pinda,Nyara,Lusinde,Mgulu,Mwema,Sioi,Hosea na Barlow)Vs One young gay(from CHADEMA) ushindi ni wa kwetu tu.

SAFARI HII WALETE MAKONTENA YA FEDHA KWANI TUNA NJAA SANA.
 
Chama cha mapinduzi kimsimamishe ndg Abrahaman kinana katika uchaguzi ujao wa Arusha mjini. anakubalika sana Arusha maana ndio mbunge pekee aliyeifanyia Arusha maendeleo kipindi cha nyuma . pia upeo wake wa elimu na kusimamia mambo ni mkubwa sana .
ANAFAA,
ANAUWEZO,
ANAKUBALIKA.

Kwa jinsi siasa za Tanzania zilivyo kwa mtu ambaye amejiwekea heshima zake kama Kinana ni afadhali akakaa pembeni tu vinginevyo kunauwezekano wa kuvunjiwa heshima yake, hata hivyo sidhani kama anaweza kuthubutu kujiingiza kwenye siasa za hapo Arusha !!!
 
WanaJF,pole kwa MAGWANDA kwa kupoteza jimbo la AR TOWN na hongera kwa MAGAMBA kwa kushinda kesi ila furaha ikamilike pale mtakapochukua jimbo.Au Batilda atakamata usukani wa Lema?WanaJF mnijuze kama ushindi wa Lema atapewa Batilda au uchaguzi unafanyika upya?Kama uchaguzi unarudiwa,NANI NDANI YA CCM YA LEO ATATHUBUTU KUSIMAMA MBELE YA WANAARUSHA MJINI NA KUWAAMBIA CCM NI SAFI NA ITALETA MAENDELEO?MZEE BEN KAPA KATOKA KAPA AR KWA NASARI,SITA ALIPATA SITA KIRUMBA MZA,KILANGO LANGO TUPU KIWIRA,NCHIMBI KACHIMBIA KATA SONGEA,NAPE NAPONGEZA CHADEMA TUMEKUBALI KUSHINDWA,PINDA ASEMA CCM TUJIULIZE,LOWASA KIMYA SIJASEMA CHOCHOTE.MAGOGONI KULE CHAI HAINA SUKARI,kila kitu vurugu.Ni CCM A,B,C,D au A+D?Toa maoni yako,tutayatumia kupata mgombea wa ccm na Mkuu wa kampeni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom