MM usitifanye mazuzu bhana!! Anyway, si umezungumzia vijana watatu?! Bila shaka unamaanisha (1) Nape Nnauye, (2) January Makamba, na (3) Zitto.Nayaheshimu mawazo yako. Yaani, kuwaondoa watendaji ambao anaamini hawatekelezi sawa majukumu aliyowapa ni kuwadhalilisha? Labda sijakuelewa hapo. Au unazungumzia kusema sababu za kwanini amewaondoa ndio unachozungumzia?
Kwa wapinzani na wafuasi wao shida ni Magufuli tu ndio maana hawa vijana wanapata uungwaji mkono kiaina.Sielewi kama ni usahaulifu, Kujali kuliko pitiliza au yakeyale. Kweli Kuna mtu yeyote kutoka upinzani au mwenye Kujali demokrasia, Uhuru wa maoni, mawazo na kujieleza anasikitika kwa Vijana watatu hawa kuondolewa serikalini? Au ni ile chuki dhidi ya Magufuli imewatoa kumbukumbu na ufahamu?
Musiba ongeza nyama kuni zipo za kutoshaKwa wapinzani na wafuasi wao shida ni Magufuli tu ndio maana hawa vijana wanapata uungwaji mkono kiaina.
Ujazo wa akili yako na wenzio wa hivi kufikiri ni sawa na kikombe cha chaiNdio hapo utajua wafuasi wa vyama vya upinzani Tz ni wa hovyo kupitiliza, yule yule aliezima Bunge live leo anaonewa huruma na wapinzani kwa kukosa uwazili, kisa hapatani na Magu,yule yule aliyeleta sheria ya mitandaoni wapinzani wakalia lia kumbe walikuwa wanafki leo eti wanamtetea yule yule aliyefurushwa awaziri eti kaonewa, pamoja na kumtuhumu ya kwamba ndiye aliyefunga goli la mkono leo wanamhurumia kupoteza uwaziri. Upinzani wa awamu hii ni wahovyo haijawahi kutokea.Ndio maana mm nasema nimfuasi sugu wa Magu na Musiba.
Hujui kitu wewe na huyo mzee njaa ko unataka wawakandamize wakati kwa fitina zao kwa mkubwa ni kusaidia kumuondoa adui mkuu? Hawa wote walikuwa wanafanikisha matakwa ya mkuu ko wakimfitini ni afya kwa upinzani na wakiondolewa ni msiba kwa upinzani hadi upate watu wengine wa kushirikiana kufanikisha mission sio leo unakuwa umeshaumia,huoni kwamba walikuwa wanavujisha siri au unaropoka tuKwa wapinzani na wafuasi wao shida ni Magufuli tu ndio maana hawa vijana wanapata uungwaji mkono kiaina.
Sawa wewe ndiye unajua.Hujui kitu wewe na huyo mzee njaa ko unataka wawakandamize wakati kwa fitina zao kwa mkubwa ni kusaidia kumuondoa adui mkuu? Hawa wote walikuwa wanafanikisha matakwa ya mkuu ko wakimfitini ni afya kwa upinzani na wakiondolewa ni msiba kwa upinzani hadi upate watu wengine wa kushirikiana kufanikisha mission sio leo unakuwa umeshaumia,huoni kwamba walikuwa wanavujisha siri au unaropoka tu
Hujui kitu wewe mbulula utakuta eti na wewe ni msomiHiyo ni dalili kwamba upinzani umekosa ajenda na sera,wanasubiri matukio,wakistuka uchaguzi umefika wanashindwa vibaya,watasema wameibiwa
Bias sana ,wakati ingemsaidia kujua watu wanasemaje kuhusu yeye na nini afanyeHii Nchi imejaa wanafiki, ukitaka kuliona hilo angalia leo kila uzi kumhusu Musiba unafutwa kisa ameguswa mwenye Jukwaa.
Sielewi kama ni usahaulifu, Kujali kuliko pitiliza au yakeyale. Kweli Kuna mtu yeyote kutoka upinzani au mwenye Kujali demokrasia, Uhuru wa maoni, mawazo na kujieleza anasikitika kwa Vijana watatu hawa kuondolewa serikalini? Au ni ile chuki dhidi ya Magufuli imewatoa kumbukumbu na ufahamu?
kungekuwa hamna upinzani we unadhani CCM wangeomba msaada ktk jeshi la polic?......think bigTanzania hakuna upinzani
Demokrasia sijui mnaongelea ipi
wale wazee nao mbona wame-mute sana bhanaHakuna mpinzani wa kweli anaye sympathize na hao wezi wa kura. Tunachofanya sisi ni kuwakejeli na kuchochea hili sakata ili wazidi kutafunana. Musiba ongeza dozi kuni tuachie sisi.
View attachment 1162478View attachment 1162479View attachment 1162481
Dah, nashangaa sana, Melo katajwa kwenye kashfa kubwa na musiba, ila sioni zikiongelewa huku.Hii Nchi imejaa wanafiki, ukitaka kuliona hilo angalia leo kila uzi kumhusu Musiba unafutwa kisa ameguswa mwenye Jukwaa.
Hata mimi ninashangazwa sana na huu ukigeugeu wa wapinzani wetu.Sielewi kama ni usahaulifu, Kujali kuliko pitiliza au yakeyale. Kweli Kuna mtu yeyote kutoka upinzani au mwenye Kujali demokrasia, Uhuru wa maoni, mawazo na kujieleza anasikitika kwa Vijana watatu hawa kuondolewa serikalini? Au ni ile chuki dhidi ya Magufuli imewatoa kumbukumbu na ufahamu?
Una pepo la chuki, kaombewe!!MIMI KAMA MWANACHAMA HAI WA CHADEMA NASEMA SABABU TUNAMCHUKIA SANA MAGUFULI NA KILA SIKU TUTAMSEMA VIBAYA HATA AKIFANYA MAZURI GANI HATUTAJARI SABABU SISI NI UPINZANI
Sielewi kama ni usahaulifu, Kujali kuliko pitiliza au yakeyale. Kweli Kuna mtu yeyote kutoka upinzani au mwenye Kujali demokrasia, Uhuru wa maoni, mawazo na kujieleza anasikitika kwa Vijana watatu hawa kuondolewa serikalini? Au ni ile chuki dhidi ya Magufuli imewatoa kumbukumbu na ufahamu?