warthog gun
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 1,464
- 1,260
Wana nzengo naomba kujuzwa hivi eneo alipotekewa na alipopatikana MO je kuna pagala ama msitu mnene Kiasi cha kuweza kujificha wao watekaji "pamoja" na hiyo gari Kiasi cha kuwafanya wasionekane kwa siku zote 9?
Maana nijuavyo kama ni hotelini gari ingeonekana, na kama MO alihifadhiwa hotelini, Kila siku lazima chumba kifanyiwe usafi hata kama utakaa wiki au zaidi, au je kuna hotel zenye mahandaki?
Maana siro anasema watekaji sio watanzania kwa maana hio ingekua rahisi kwa namna yoyote ile kukamatwa.
Jamani maswali ni mengi lakin majibu machache, nawasilisha.