MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 20,897
- 63,783
Mwaka 1977 Chama Cha Mapunduzi kilizaliwa rasmi hapa nchini, na safari yake ya kutawala nchi za Tanganyika na Zanzibar chini ya mwamvuli wa katiba ya mwaka 1977 ya chama kimoja ikaanza.
Wahusika wakuu wa huu mkakati, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na Mzee Jumbe Mwinyi hawapo, na nawaombea wapumzike kwa amani huko waliko.
Lengo la huu uzi ni kutaka kujua kinaga ubaga kwanini TANU na ASP waliamua kujiita Chama Cha Mapunduzi. Neno Mapindizi lilikuwa linamaanisha nini haswa ? Ni mapinduzi ya aina gani ambayo waliyafanya au walipanga kuyaleta ?? Tunaomba tuwekewe mifano hai ya hayo Mapinduzi tangu kuanza kwake mwaka 1977.
Je, leo hii bado Chama Cha Mapinduzi kinajihisi kwamba bado kipo Kimapinduzi ? Kama jawabu ni NDIYO basi tunaomba tuelezw ni kivipi.
Kila neno huwa na maana,........
Naomba kuwasilisha.