Swali Fikirishi: Kesi ya mgawanyo kwenye vyama, Mahakaman inaweza ikaamua Chama upande mmoja wa muungano uchukue Jengo la Makao makuu upande wa pili?

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
17,177
Reaction score
41,623
Ni swali tu Naomba majibu kwa wale wanaojua sana

Ikatokea chama kimoja kilichozoea vya kupewa na chama kingine, kikapata kiongozi shupavu sana , aliyeshindwa akasusa akavunga yuko likizo, akatuma mamluki wa chama ndani ya upande mmoja wa Muungano kwamba walalamike kuwa rasilimali hazigawanywi sawa, msajili akatoa maagizo kwamba ili tuungane na huyu mwenzetu ndani ya Chaka hiki, tuwakomoe tusimamishe shughuli zao kwa siku kadhaa ,

Halafu mahakama siku zikaisha inasema walipwe au wachukue Mali yeyote ilotokana ka ruzuku, je Jengo la Makao makuu linaweza fidia?

Swali la Pili la nyongeza, Je nyomi ya upande wa Pili baada ya kulipata Jengo hilo nayo ikaunga mkono walio hama? halafu mstaafu akavutwa taratiibu akarejea siasani kwa mgongo wa kwamba kaombwa tukashibe wali pamoja na akakalia jengo lile lileee

Britanicca
 
Chama kitapewa onyo na muda wa kurekebisha kasoro hizo za kibaguzi
 
Chakushangaza aliyefungua kesi ndiye alikuwa Makamu Mwenyekiti upande wa Zanzibar kwa miaka 15 iliyopita anaushitaki uongozi ulioingia madarakani February mwaka huu. NB : Rais wa nchi ni Mzanzibari, aliyefungua kesi ni Mzanzibari, Jaji aliyetumika kuipiga pini Chadema ni Mzanzibari, huu ni utatu mwovu kabisa kwa mustakabali wa demokrasia ya nchi yetu.
 
Ndiyo mjue ni kiasi gani itakavyokuwa ngumu kukiondoa Chama kilichopo madarakani. Mapandikizi Kila mahali Kwa kuigiza Upinzani feki

Lissu amekaa madarakani miezi 3 tu, amekuja kuonesha jinsi udanganyifu Kwa jina la Upinzani ulivyokuwa.

Na ile move ya kutokwenda kusaini Fomu za maadili Kwa ajili ya kushiriki Uchaguzi Mkuu, ndiyo ukawabainisha waziwazi mamluki waliojibanza CDM huku wakitumikia Chama Tawala
 
Umeandika kishabiki sana, jengo la chama ni mali ya chama na wanachama.
Huko Zanzibar kuna uongozi mpya uliochaguliwa na achana na hilo genge la mbowe lililozoea kula ruzuku
 
Kwani huo mgao si walitakiwa waushugulikie wao kama viongozi waliokuwepo madarakani kwa zaidi ya miaka 20, au mgao ulitakiwa kuanza gugawanywa na uongozi mpya? Hata kama ni uongozi mpya mbona wana mda mchache sana madarakani kushugulikia kila kitu?
wachambuzi wenye uelewa waje watueleza na sie tupate kujaua hata kidogo.
 
Ni swali tu Naomba majibu kwa wale wanaojua sana

Ikatokea chama kimoja kilichozoea vya kupewa na chama kingine, kikapata kiongozi shupavu sana , aliyeshindwa akasusa akavunga yuko likizo, akatuma mamluki wa chama ndani ya upande mmoja wa Muungano kwamba walalamike kuwa rasilimali hazigawanywi sawa, msajili akatoa maagizo kwamba ili tuungane na huyu mwenzetu ndani ya Chaka hiki, tuwakomoe tusimamishe shughuli zao kwa siku kadhaa ,

Halafu mahakama siku zikaisha inasema walipwe au wachukue Mali yeyote ilotokana ka ruzuku, je Jengo la Makao makuu linaweza fidia?

Swali la Pili la nyongeza, Je nyomi ya upande wa Pili baada ya kulipata Jengo hilo nayo ikaunga mkono walio hama? halafu mstaafu akavutwa taratiibu akarejea siasani kwa mgongo wa kwamba kaombwa tukashibe wali pamoja na akakalia jengo lile lileee

Britanicca
Kwani huko upande wa pili Chadema imefutika? Au mnaendelea na ramli zenu chonganishi baada ya kushindwa uchaguzi ndani ya chama pamoja na support yote ya mama Abdul. Jaribuni kuchukua jengo muwape Chauma muone patakavyochimbika
 
Ndiyo mjue ni kiasi gani itakavyokuwa ngumu kukiondoa Chama kilichopo madarakani. Mapandikizi Kila mahali Kwa kuigiza Upinzani feki

Lissu amekaa madarakani miezi 3 tu, amekuja kuonesha jinsi udanganyifu Kwa jina la Upinzani ulivyokuwa.

Na ile move ya kutokwenda kusaini Fomu za maadili Kwa ajili ya kushiriki Uchaguzi Mkuu, ndiyo ukawabainisha waziwazi mamluki waliojibanza CDM huku wakitumikia Chama Tawala
Lissu akili Mingi Sema na Mnyika sio wakuaminika
 
Ni swali tu Naomba majibu kwa wale wanaojua sana

Ikatokea chama kimoja kilichozoea vya kupewa na chama kingine, kikapata kiongozi shupavu sana , aliyeshindwa akasusa akavunga yuko likizo, akatuma mamluki wa chama ndani ya upande mmoja wa Muungano kwamba walalamike kuwa rasilimali hazigawanywi sawa, msajili akatoa maagizo kwamba ili tuungane na huyu mwenzetu ndani ya Chaka hiki, tuwakomoe tusimamishe shughuli zao kwa siku kadhaa ,

Halafu mahakama siku zikaisha inasema walipwe au wachukue Mali yeyote ilotokana ka ruzuku, je Jengo la Makao makuu linaweza fidia?

Swali la Pili la nyongeza, Je nyomi ya upande wa Pili baada ya kulipata Jengo hilo nayo ikaunga mkono walio hama? halafu mstaafu akavutwa taratiibu akarejea siasani kwa mgongo wa kwamba kaombwa tukashibe wali pamoja na akakalia jengo lile lileee

Britanicca
Hapo ndio utagundua kwa nn Tanganyika ni ya muhimu shtaka lote limebebwa na wazanzibar watupu hata mshipa wa aibu haupo.
 
Mi huwa napata shida hata kuitafuta hiyo Zanzibar kwenye ramani ya Tanzania.

Lakini wao ndio wanahaki kuliko watanganyika.

Hivi ukii google hiyo ramani ya Tanzania unaweza kumwambia mtu wa nje kwamba tuliungana?

Halafu kuna watu huwa wanamcheka chief Mangungo wa msovero.

Ni ujinga kuita huu ni muungano, ufe kila upande ujitegemee.
 
Chakushangaza aliyefungua kesi ndiye alikuwa Makamu Mwenyekiti upande wa Zanzibar kwa miaka 15 iliyopita anaushitaki uongozi ulioingia madarakani February mwaka huu. NB : Rais wa nchi ni Mzanzibari, aliyefungua kesi ni Mzanzibari, Jaji aliyetumika kuipiga pini Chadema ni Mzanzibari, huu ni utatu mwovu kabisa kwa mustakabali wa demokrasia ya nchi yetu.
kumbe wapare ni wazanzibar?
 
Back
Top Bottom