Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,759
Nilichogundua akili za katoto kazuri ni sawa na akili za katoto kadhuri![emoji28][emoji28][emoji28]
Hahaha.... Sasa ushakuwa mwalimu.... Hadi tags zinapandaSasa je.
No sugarcoating, aint we?
Hahaha.... Sasa ushakuwa mwalimu.... Hadi tags zinapanda
Hahaaaa jamanii kaliii ya mwakaaHamna cha mwanamme wa watu.
Hatakiwi huyo.
Alitakiwa kwa ajili ya kumegwa tu na kazi yake imeshaisha.
Unamaana gani?Mtu na mpenzi.wake wameweka tego muda si mrefu tutapata majibu.
Yaani ukiwa mtu huo ni uchumba hata kama hamjatambulishana so baada ya raha zote hizo anakuwa anatukanwa na mtu akipiga simu haipokelewi ila sasa kaamua kumtema nakukaa kimya ila yule dada anatumia namba nyingine kumtukana halafu haongei kitu ni message anaandikaRafiki yake eti kapata mchumba bada ya mda anaanza kutukanwa na mwanamke aachane na mumewe ndio kisa hiko sasa huo uchumba wao walishatambulishana pande zote mbili au wa juu juu
Ila hajafanya chochote huyo mkaka alimtambulisha kwa marafiki zake huyu ndiye atamuo siku za karibuni.Hahaaaa jamanii kaliii ya mwakaa
Itakuwa maana kama ni mwanamke angeongea naangepokea simu asingeogopa kuongeaAiseee umeona mbali sana, yawezekana jamaa yeye mwenyewe ndiye anaetype hizo sms za vitisho.
Wanaume MUNGU katupendelea sana
HapanaNilichogundua akili za katoto kazuri ni sawa na akili za katoto kadhuri![emoji28][emoji28][emoji28]
Kati ya katoto kazuri na katoto kadhuri nani zaidi?[emoji28][emoji28][emoji28]Hapana
Na angekuwa mwanamke kweli angepokea na kutoa mashudu ya maanaItakuwa maana kama ni mwanamke angeongea naangepokea simu asingeogopa kuongea