Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 27,537
- 40,673
Wakuu salaam,
Nimeona nawaletee swali chonganishi kwanini pamoja na utitiri wa sifa toka kwa CCM na mawakala wao bado Serikali ikiongozwa na Magufuli wanatamani sana sifa toka CHADEMA?
Hotuba za wakubwa wengi huonesha kilio na uchungu wa wazi wazi juu ya ukosoaji wanaoupata toka kwa CHADEMA
Nimejiuliza sana japo MAGUFULI anapata compliments za kutosha toka vyama Vingi pinzani why anawatamani CHADEMA?
Waliwatukana sana CHADEMA kuwa wamechukua mafisadi na kuwa chama kimekufa sasa kwanini bado chama hiki hakiwatoki midomoni mwao?
Nauliza tena Magufuli na mawakala wake mnatafuta sifa za nini toka kwa mafisadi CHADEMA?