Swali Chokonozi: Hivi ni kweli Mwanza ni Maskini kuliko hata Dodoma na Katavi?

Hawa jamaa toka kigoma akina Domo-Diamond,Na wengine wengi wanajiita kigoma all stars wanaimba mkoa wao kwenye mziki lakini moyoni hawataki kuskia kabisa.

Wachagga na wameru hawajawi imba kuhusu mikoa yao lakini mchaga/meru akipata anaanza na kwao!
sio diamond pekee,hata waziri mwenyew wa fedha ni wa hukohuko.
 
Kwanza naomba ku declare interest, mimi ni chapa ng'ombe!.

Hili ni swali la msingi sana!. Mwanza ndio mkoa unaoongoza kwa utajiri Tanzania ila pia ni mmoja ya mikoa yenye watu wengi sana Tanzania!. Wasukuma ndilo kabila kuu Tanzania linaloongoza kwa idadi ya watu, ambao wamesambaa katika mikoo 5 ya Mwanza, Shinyanga, Shimiyu, Katavi, na Geita.

Miongoni wa wakazi wa Mwanza, pia ndani yake kuna makabila masikini wa kutupwa kama Wanzinza, Wakerewe, Wakara, Wanyamtunzu, hivyo kitakwimu kutoka na wingi wa idadi ya masikini wote wa Mwanza ni wengi kuliko masikini wote wa Singida na Dodoma put together!. Tofauti ya masikini wa Mwanza ni baadhi tuu, lakini Singida na Dodoma wote ni masikini!.

Pasco
Acha uongo wewe Toka lini uliona kwenye TV Bariadi inagawiwa chakula? Bariadi ndo wanakotoka wanyantuzu wakulima wa pamba na wafuga ng'ombe wanaokula ugali mgumu na wanapenda wanawake weupe.Au unasemea Wanyantuzu wa wapi? Kwanza Wasukuma hawana makabila madogo madogo...huo ni uongo wako tu kwanza utakua msukuma wa Dar wewe...Wazinza wako Uzinza na si wasukuma na wakerewe wako Ukerewe na si Wasukuma na hawaongei kisukuma ila wamemezwa tu na kabila kubwa.Hakuna kinyantunzu usukumani ila kuna kisukuma cha lafudhi ya watu wanaotoka Bariadi (na Kinyantuzu inatokana na tarafa ya Tunzu) japo wanaoitwa wanyantuzu hawakai Ntuzu yenyewe wanakaa Kanadi,Itilima,Dutwa na baadhi ya maeneo ya Meatu .Pia wanyantuzu si Masikni maana wao wanatoka mkoa wa Simiyu na si Mwanza
Umasikini kwa Mwanza na Geita ni sababu moja kijijini kuna watu wanaoa wanawake wengi sana tofauti na uwezo wao halafu kulima ni wazembe,Wasukuma wa Mwanza ni sawa na Wanyamwezi tu,hawana nshu za maana....
Wasukuma halisi wanatoka bariadi na sehemu za Busega ukijumuisha na Bunda yaani wale amabo wako karibu na Mbuga ya serengati,hao ndo walikua wanapambana na wamasai kwa miaka nenda Rudi,ni jasiri na mashujaa....Lakini hawa wengine kazi yako ni kuvaa shanga tu
 
Wazinza na wakerewe wanamalizana kwa uchawi, vinginevyo wangekuwa wameendelea..
..mkerewe akisoma harudi kwao,anaogopa chatu,bazinza twimanye
Hahahahaha!! Ndiyo maana wanakuwa masikini?
Sasa uwanja wa chato watatua kina ngosha from Gamboshi au?
 
Ukipenda kusifiwa ukubali na kukosolewa.Ukikubali ukweli utakuwa huru
Katavi ni tajiri ndio maana wahamiaji kutoka Kanda ya Ziwa wanahamia Katavi kwa maelfu.Kubali usikubali ukweli ndo huo
nakubaliana na ww ,maana hata biashara wamekamata waha.
 
Wasukuma hao mnaosema maskini si ndio hao wanaozunguka na makundi ya ng'ombe 2000 (kila mtu) katika mikoa ya Morogoro, Rukwa, Katavi mpaka Mtwara? Hawa kweli per capita yao inaweza kuwa chini ya Wagogo wanaokula viwavi huko Dodoma? gods must be crazy.......
Wasukuma hao, hawakuhesabiwa Mwanza, utajiri wao wa mifugo, umeneemesha maeneo waliokuwepo wakati wa sensa kwani walihesabu waliokuepo eneo husika tuu. Ila hata ombaomba wa Dodoma, waliotapakaa Tanzania nzima hawakuhesabiwa Dodoma hivyo kupunguza hesabu za umasikini wa Dodoma na kuiongeza hesabu ya umasikini kule walikokuwepo. Idadi kubwa ya masikini wa kutupwa Mwanza, sio Wasukuma bali makabila madogo madogo na watu wa kuja. Wasukuma wenyewe ni matajiri wakubwa wa roho, hata wakilala njaa ni kusmile na kuimba usiku kucha. Kama ilivyo kwa wenyeji wa Darisalama ni Wazaramo, ni masikini kutupwa, ila utajiri wa Darisalama unachangiwa na watu wa kuja, hivyo kuufuta umasikini wa Wazaramo, hivyo kuna sehemu watu wa kuja ndio wanaoboost profile ya mkoa na kuinyanyua na kuna maeneo hao wakuja ndio wanaodidimiza profile ya mkoa
Pasco
 
Kuna msemo usemao, numbers don't lie!.

Mfano kwenye matokeo ya kidato cha nne, siku zote shule za seminari ndizo zinazoongoza. Utakuta darasa lina wanafunzi 10 na wote wakapata DIV 1, hiyo shule inakuwa imepasisha asilimia 100% kwa 100%. Shule nyingine yenye wanafunzi 100, wanafunzi 70 wakapata Div 1, na wanafunzi 30 wakafeli, matokeo ya shule hiyo kwa asilimia itakuwa ni 70% kwa 100!.

Angalia Mwanza
View attachment 355314
View attachment 355309

Linganisha na Dodoma
View attachment 355313
View attachment 355312
Yaani nacheka tu hapa
 
Hivi majuzi wakati akiwasilisha Hotuba ya Bajeti Bungeni Waziri wa Fedha alitaja Mikoa mitano inayoongoza kwa Umaskini, ambayo wananchi wake ni Maskini kiasi wanashindwa hata mlo wa siku. Aliitaja Mikoa hiyo na akatoa na asilimia kuwa ni; Kigoma (48.9), Geita (43.7), Kagera (39.3), Singida (38.2), na Mwanza (35.3)

Swali langu la msingi hapa ni njia gani ya kitakwimu iliyotumika kufanya research hii mpaka kutupa majibu kama haya? Je ni kweli Mwanza ni maskini kiasi cha kuwa chini ya mstari wa Dodoma na Katavi? Utafiti huu umefanyika maeneo gani ya Mikoa hii?

Mara kwa mara tunaona taarifa zikiripotiwa wananchi wa Dodoma wanakufa njaa na wengine kujinusuru kwa kula Mizizi na udongo, au hii Dodoma tunayoisikia ni ya Sudan Kusini?! Au la takwimu hizi ni za mwaka gani?

Msaada wa ufafanuzi tafadhali, ni njia gani za kitafiti zilizotupa takwimu hizi?
(Nimechukua Dodoma na Katavi kama mfano tu)

Mwanza kuna idadi kubwa ya watu hivyo ukichukua idadi ya maskini walioko Mwanza na wa mikoa mingine, idadi ya walioko Mwanza iko juu kuliko hiyo mikoa
 
Hili limekaa kisiasa sana,, Mikoa hii ndiko kile chama chetu kilipata ahueni wakati wa uchaguzi sasa kuiita ni masikini ni ili iweze kupewa kipaumbele kama kurudisha fadhila, Hili unatakiwa ukae utulie ndio utaliona.
 
Hivi majuzi wakati akiwasilisha Hotuba ya Bajeti Bungeni Waziri wa Fedha alitaja Mikoa mitano inayoongoza kwa Umaskini, ambayo wananchi wake ni Maskini kiasi wanashindwa hata mlo wa siku. Aliitaja Mikoa hiyo na akatoa na asilimia kuwa ni; Kigoma (48.9), Geita (43.7), Kagera (39.3), Singida (38.2), na Mwanza (35.3)

Swali langu la msingi hapa ni njia gani ya kitakwimu iliyotumika kufanya research hii mpaka kutupa majibu kama haya? Je ni kweli Mwanza ni maskini kiasi cha kuwa chini ya mstari wa Dodoma na Katavi? Utafiti huu umefanyika maeneo gani ya Mikoa hii?
HAPA MKUU INAJENGWA HOJA YA UBINAFSI, KWA HILI TUTAZIDI KUISOMA NAMBA. UCHAGUZI MWIGINE TUACHE KUKUBALI KUHONGWA NA FULANA NA KOFIA NA KUCHAGUA VIONGOZI WANAOTUFAA.
 
Hili limekaa kisiasa sana,, Mikoa hii ndiko kile chama chetu kilipata ahueni wakati wa uchaguzi sasa kuiita ni masikini ni ili iweze kupewa kipaumbele kama kurudisha fadhila, Hili unatakiwa ukae utulie ndio utaliona.
BILA KUSAHAU UBINAFSI, UKANDA NA UKABILA ULIOPITILIZA.
 
STATISTICS huwa haina utaratibu huo, eti kwa sababu shule "A" yenye Wanafunzi 450 wamefeli 50 na shule "B" yenye Wanafunzi 45 wamefeli 40 basi shule "A" ndo imefelisha zaidi sababu idadi inaonekana ni kubwa kuliko B, yaani 50 kwa 40. Hii hesabu haipo duniani.
KAMA NI PASCO NINAYE MJUE AMEJIONYESHA ALIVYO MWEUPE
 
Acha uongo wewe Toka lini uliona kwenye TV Bariadi inagawiwa chakula? Bariadi ndo wanakotoka wanyantuzu wakulima wa pamba na wafuga ng'ombe wanaokula ugali mgumu na wanapenda wanawake weupe.Au unasemea Wanyantuzu wa wapi? Kwanza Wasukuma hawana makabila madogo madogo...huo ni uongo wako tu kwanza utakua msukuma wa Dar wewe...Wazinza wako Uzinza na si wasukuma na wakerewe wako Ukerewe na si Wasukuma na hawaongei kisukuma ila wamemezwa tu na kabila kubwa.Hakuna kinyantunzu usukumani ila kuna kisukuma cha lafudhi ya watu wanaotoka Bariadi (na Kinyantuzu inatokana na tarafa ya Tunzu) japo wanaoitwa wanyantuzu hawakai Ntuzu yenyewe wanakaa Kanadi,Itilima,Dutwa na baadhi ya maeneo ya Meatu .Pia wanyantuzu si Masikni maana wao wanatoka mkoa wa Simiyu na si Mwanza
Umasikini kwa Mwanza na Geita ni sababu moja kijijini kuna watu wanaoa wanawake wengi sana tofauti na uwezo wao halafu kulima ni wazembe,Wasukuma wa Mwanza ni sawa na Wanyamwezi tu,hawana nshu za maana....
Wasukuma halisi wanatoka bariadi na sehemu za Busega ukijumuisha na Bunda yaani wale amabo wako karibu na Mbuga ya serengati,hao ndo walikua wanapambana na wamasai kwa miaka nenda Rudi,ni jasiri na mashujaa....Lakini hawa wengine kazi yako ni kuvaa shanga tu

Meatu na maswa kila Mwaka wanagawiwa chakula. Hiyo cyo simiyu ? Acha umburula wewe.
 
Wasukuma hao mnaosema maskini si ndio hao wanaozunguka na makundi ya ng'ombe 2000 (kila mtu) katika mikoa ya Morogoro, Rukwa, Katavi mpaka Mtwara? Hawa kweli per capita yao inaweza kuwa chini ya Wagogo wanaokula viwavi huko Dodoma? gods must be crazy.......
TATIZO NDUGU ZETU WAGOGO NI WATEJA WAAZURI SANA WA CCM KAATIKA CHAGUZI KUU
 
ndio hivyo umaskini mwanza umezidi... na ni takwimu za kweli... usidanganywe na maghorofa na barabara za lami kinachoangaliwa ni uwiano wa pato kimkoa na kwa mtu mmoja mmoja
 
Wasukuma hao, hawakuhesabiwa Mwanza, utajiri wao wa mifugo, umeneemesha maeneo waliokuwepo wakati wa sensa kwani walihesabu waliokuepo eneo husika tuu. Ila hata ombaomba wa Dodoma, waliotapakaa Tanzania nzima hawakuhesabiwa Dodoma hivyo kupunguza hesabu za umasikini wa Dodoma na kuiongeza hesabu ya umasikini kule walikokuwepo. Idadi kubwa ya masikini wa kutupwa Mwanza, sio Wasukuma bali makabila madogo madogo na watu wa kuja. Wasukuma wenyewe ni matajiri wakubwa wa roho, hata wakilala njaa ni kusmile na kuimba usiku kucha. Kama ilivyo kwa wenyeji wa Darisalama ni Wazaramo, ni masikini kutupwa, ila utajiri wa Darisalama unachangiwa na watu wa kuja, hivyo kuufuta umasikini wa Wazaramo, hivyo kuna sehemu watu wa kuja ndio wanaoboost profile ya mkoa na kuinyanyua na kuna maeneo hao wakuja ndio wanaodidimiza profile ya mkoa
Pasco

Mkuu, maelezo mazuri sana. Ahsante.
 
Back
Top Bottom