Swali: Bunge la bajeti ya matumizi?

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,694
787
Jamani ingawa Bunge lina mamlaka ya kujadili na kutengeza bajeti [MAPATO na MATUMIZI]: hili la kwetu limekuwa kujadili matumizi tu, wachache sana wanazungumzia mapato na Mbinu za kutafuta vyanzo!!!!

Alafu ati Wananchi wanaamini waBunge shujaa ni wale walalamikaji sio watoa majawabu!!!!

Hakuna Kazi Rahisi isiyohitaji shule Kama ya Kulalamika au Kupanga Matumizi!!!!
 
Back
Top Bottom