Swali: baada ya kusafiri umbali mrefu, ni muda gani yapasa upite gari ndo izimwe.?

Kwa ujumla, kugeuka mbali naturaly aspirated (Non-Turbo injini moja kwa moja kamwe sababu tatizo lolote na unaweza kufanya hivyo hata kama wewe kuendesha gari kwa umbali mrefu na kwa zaidi ya saa 5.

Lakini kwa turbocharged injini wewe ni zaidi uwezekano wa kuharibu turbocharger hivyo u ar adviced basi ni baridi chini kwa muda wa dakika atleast 3 hadi 5 au u unaweza kutatua tatizo hilo kwa buyin na kufunga chombo kinachoitwa TURBO tIMER ambayo msaada Wil kuweka injini runing na turbocharger spining hata baada u kubadili ya injini til sehemu ya bomba kabisa baridi chini kwa nini?

Cars ni iliyoundwa kulingana na viwango vya juu vya uvumilivu kwa hali zote hali ya hewa. Cars ni majaribio katika hali tofauti ya hali ya hewa kama vile hali ya Ghuba ya Arabuni hali ya hewa na joto yake ya juu na pia katika . baridi ya hali ya hewa hiyo injini kuzaa joto ya juu na unapaswa daima baridi injini kabla ya kugeuka kuwa mbali kama kuna tatizo katika injini Unaweza kujua. joto ya injini na wake sehemu wakati deriving kwa umbali mrefu juu ya barabara ni chini ya kuendesha gari katika mitaa inaishi.

Kwa nini? Kuendesha gari juu ya msongamano barabarani husababisha kuongeza joto ya injini. Kwa upande mwingine, kuna njia nyingi za baridi injini wakati wa kuendesha gari juu ya barabara hata kama kwa umbali mrefu. gari mashabiki na 120 speed upepo baridi chini injini na gari zima pia.

Mambo ya google translator.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahaaaaa hapa ndio umemchanganya kabisa
 
Unaamini gari ukiiacha idle inapoa? Temp gauge huwa inashuka? Kwa taarifa yako gari ikisimama inapata moto kuliko ikitembea, ndio maana gari zenye auto fan ukisimama tu fan inawaka ukitembea inazima kwasababu ya upepo unaingia kwa mbele kwa speed unasaidia cooling.
Gari ina thermostat ambayo kazi yake ni kuhakikisha temp ya engine inabaki ile ile iliokusudiwa ndio maana ule mshale huwa unafika sehemu haushuki wala haupandi hata ukimbie vipi labda gari yako iwe na issue za cooling.
Gari isio na turbo ukifika zima tu wala usijisumbue kupoteza mafuta eti inapoa haipoi infact fan linafanyakazi kubwa kuliko ingekuwa inatembea.

salute mkuuu.
ni mara ya tatu kama sikosei kwenye nyuzi unatoa elimu hii kuhusu muda wa kuzima gari baada ya safari au mizunguko
 
Wadau nina swali, wengi mmeshasikia kwamba usikimbilie kuzima gari ikiwa gari imetoka kufanya safari ya umbali mrefu.

Katika pitapita zangu mitandaoni, nimeona hili angalizo likiwekwa kwa gari zenye turbo tuu ndo ziachwe silence kwa muda kabla ya kuzimwa.

Pia kuna wengine nimeona wakitoa maoni kuwa hii yapasa kwa gari za kizamani, kwani gari za kisasa unaweza zima punde tuu baada ya kufika safari yako.

Swali: ningependa kuuliza wajuzi kipi ni kipi katika swali hilo hapo juu.?
Hapa sayansi ya utendaji kazi wa engine itusaidie
(1)Engine inayofanya kazi hupandisha oil na kufanya maji kufikia joto la juu na pressure ya huu, hivyo ni sahihi kuiacha gari iddle kwa muda ili oil ishuke maana msukumo umepungua na feni ipooze maji na radiator kabla ya kuizima, na muda hutofautiana kwa gari yenye Turbo na isiyonayo. Pia hutegemea ugumu iliotumikishwa.
(2)Kuna magari yanatumia metal gasket hayaunguzi gasket hata yakizimwa ghafla, lakini haina maana kuwa yazimwe mara tu yakifika, bali hayasubiriwi muda mrefu kama yasiyo na aina hii ya gasket.
 
Kwa mujibu wa Engineer KYANDO (NIT), Kitaalamu anashauri gari lisizimwe ghafla likitembea umbali mrefu-Source ITV 2021.
Binafsi nimeshawah kuona manual kuhusu magari inashauri alichosema Engineer KYANDO - Na alitoa sana elimu pana kuhusu mfumo mzima wa cooling ambao alisema watu wanapaswa kuuelewa na siyo kukurupuka kuja na majibu na ushauri wa vitu wasivyovifahamu.
 
Kwa ujumla, kugeuka mbali naturaly aspirated (Non-Turbo injini moja kwa moja kamwe sababu tatizo lolote na unaweza kufanya hivyo hata kama wewe kuendesha gari kwa umbali mrefu na kwa zaidi ya saa 5.

Lakini kwa turbocharged injini wewe ni zaidi uwezekano wa kuharibu turbocharger hivyo u ar adviced basi ni baridi chini kwa muda wa dakika atleast 3 hadi 5 au u unaweza kutatua tatizo hilo kwa buyin na kufunga chombo kinachoitwa TURBO tIMER ambayo msaada Wil kuweka injini runing na turbocharger spining hata baada u kubadili ya injini til sehemu ya bomba kabisa baridi chini kwa nini?

Cars ni iliyoundwa kulingana na viwango vya juu vya uvumilivu kwa hali zote hali ya hewa. Cars ni majaribio katika hali tofauti ya hali ya hewa kama vile hali ya Ghuba ya Arabuni hali ya hewa na joto yake ya juu na pia katika . baridi ya hali ya hewa hiyo injini kuzaa joto ya juu na unapaswa daima baridi injini kabla ya kugeuka kuwa mbali kama kuna tatizo katika injini Unaweza kujua. joto ya injini na wake sehemu wakati deriving kwa umbali mrefu juu ya barabara ni chini ya kuendesha gari katika mitaa inaishi.

Kwa nini? Kuendesha gari juu ya msongamano barabarani husababisha kuongeza joto ya injini. Kwa upande mwingine, kuna njia nyingi za baridi injini wakati wa kuendesha gari juu ya barabara hata kama kwa umbali mrefu. gari mashabiki na 120 speed upepo baridi chini injini na gari zima pia.

Mambo ya google translator.

Sent using Jamii Forums mobile app
😳😳 Hii lugha balaa
 
Mimi huwa naiacha kwa dakika kadhaa nikipata nafasi. Sio kwamba ipoe (itapata moto zaidi) bali ili kuwe na even heat distribution. Engine yote iwe na joto sawa ili pasiwe na uneven expansion.
 
Unaamini gari ukiiacha idle inapoa? Temp gauge huwa inashuka? Kwa taarifa yako gari ikisimama inapata moto kuliko ikitembea, ndio maana gari zenye auto fan ukisimama tu fan inawaka ukitembea inazima kwasababu ya upepo unaingia kwa mbele kwa speed unasaidia cooling.
Gari ina thermostat ambayo kazi yake ni kuhakikisha temp ya engine inabaki ile ile iliokusudiwa ndio maana ule mshale huwa unafika sehemu haushuki wala haupandi hata ukimbie vipi labda gari yako iwe na issue za cooling.
Gari isio na turbo ukifika zima tu wala usijisumbue kupoteza mafuta eti inapoa haipoi infact fan linafanyakazi kubwa kuliko ingekuwa inatembea.
Ni sawa kabisa, kuna watakaopinga.
Tatizo unaongelea gari kubwa BM,Audi,Volk na wengine wanaoongea Opa,Vox,Pao,Dute ,Toyo mradi kina matairi tu.
 
Kwa mujibu wa Engineer KYANDO (NIT), Kitaalamu anashauri gari lisizimwe ghafla likitembea umbali mrefu-Source ITV 2021.
Binafsi nimeshawah kuona manual kuhusu magari inashauri alichosema Engineer KYANDO - Na alitoa sana elimu pana kuhusu mfumo mzima wa cooling ambao alisema watu wanapaswa kuuelewa na siyo kukurupuka kuja na majibu na ushauri wa vitu wasivyovifahamu.
Upo sahihi Mkuu gari itakayotembea umbali mrefu unatakiwa usubiri dk kadhaa ili uzime yaani utembee 600 Km ukifika tuu uzime daah kazi ipo hapo...labda wawe wanazungumzia kutoka nyumbani na kwenda job km chache...sio umbali mrefu
 
Vipi kuhusu unapoiwasha Gari asubuhi? hasa kwa hizi gari za kisasa,kuna umuhimu wakiu warm up Gari kabla ya kuanza safari?
Kitaalamu imekaaje hii?
 
Hivi bado huu mjadala upo?

Do you drive your car for a long distances and you do care about your engine? Many of us listen to the advice of others and their experiences, especially with cars, so what shall you do if there are different point of views?

Some people believe that it is essential to stop the car after long distances and open the engine hood leaving it to dwell for 3 or 5 minutes before turning off the engine. Others think that there is no problem at all in turning off the engine directly without cooling since no problems will occur.

Further reading: Cleaning your car engine is not a difficult mission anymore!

What is better? And why?​

Generally, turning off the engine directly will never cause any problem and you can do so even if you drive the car for long distances and for more than 5 hours.

why?​

Cars are designed according to high tolerance standards for all weather conditions. Cars are tested in different weather conditions such as the conditions of the Arabian Gulf climate and its high temperatures and also in the cold weather.

So engines bear high temperatures and you should not always cool the engine before turning it off unless there is a problem in the engine.

You may not know:​

The temperature of the engine and its parts while deriving for long distances on highways is less than driving on crowded streets.

Why?​

Driving on crowded streets leads to increase the temperature of the engine. On the other hand, there are several ways to cool the engine when driving on the highways even if for long distances. The car fan and the 120 speed wind cool down the engine and the whole car as well.

Further reading: Do not forget to keep these things in your car!

There are other two key standards to rely on:​

1. Engine Type:​

Most engines are naturally aspirated engines that depend on atmospheric pressure and does not rely on forced induction through a turbocharger or a supercharger.

You can turn off this type of engine directly without any problems whenever you want.

In contrast, there are engines that have a supercharger or turbocharger where the pressure on the and temperatures are higher. In this type of engine you can cool the engine especially if the engine temperature is high. Some car manufacturers have manufactured the so-called " Turbo-timer " to solve this problem. You can stop the car and lock the doors of the car, but the engine will stay for 4 minutes until it cools and then it will turn off automatically.\
 
Vipi kuhusu unapoiwasha Gari asubuhi? hasa kwa hizi gari za kisasa,kuna umuhimu wakiu warm up Gari kabla ya kuanza safari?
Kitaalamu imekaaje hii?
Ukiiwasha asubuhi lazima uiache hadi temperature ipande ifike operating temperature. Ukiiwasha ukaiacha idle utaona silence iko juu baadae inashuka yenyewe inakaa sawa, hapo unaweza kuondoka.
 
Ukiiwasha asubuhi lazima uiache hadi temperature ipande ifike operating temperature. Ukiiwasha ukaiacha idle utaona silence iko juu baadae inashuka yenyewe inakaa sawa, hapo unaweza kuondoka.
Kuna madhara yeyote technical ya kuwasha gari na kuondoka bila kusubiri temp ifike inapotakiwa?
 
Mkuu,niliwahi kusikia kua wakati wa Baridi fuel consumption ya Magari hua juu tofauti na siku za Joto!
Kuna ukweli wowote hapa?
Hata kuwe na baridi kiasi gani,gari itakuwa na operating temperature ile ile kwahio hamna athari yoyote kwenye mfumo wa engine. Na ndio maana kwenye maelezo ya gari kuhusu consumption ya mafuta wanakupa ya mjini na kwenye highway hawakupi ya kwenye baridi na kwenye joto.
 
Mimi huwa naacha gari ipoe Kwa dk 20.....
Naona inafaa Kwa gari yeyote hata isiyokuwa na turbo
Gari haiwezi kupoa, joto la combustion linafika mpaka 600'C kwenye baadhi ya engine. Huwezi kuniambia ati gari ipoe ukiacha idle, ni imani tu. Gari inapoa ikiwa kwenye motion kuliko ikiwa idle ndio maana ukisimama fan lazma ziwake fasta kupuliza joto nje.
 
Upo sahihi Mkuu gari itakayotembea umbali mrefu unatakiwa usubiri dk kadhaa ili uzime yaani utembee 600 Km ukifika tuu uzime daah kazi ipo hapo...labda wawe wanazungumzia kutoka nyumbani na kwenda job km chache...sio umbali mrefu
Sure- Kwenye hili kila mtu anapaswa kufata anachoamini.Binafsi the theory behind kuacha gari for 10 minutes naiamini completely.Lengo la kuacha gari kwa muda ni kufanya components za engine kuweza kurudia umbo lake la awali bila kuathirika,and according to Engineer KYANDO (NIT)-Upoozaji huu huusisha njia tofauti tofauti ikiwemo exhaust system.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom