Swala la Ufahamuu ktk tekinolojia ya tehama!

Mo-TOWN

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2010
Posts
1,721
Reaction score
515
Kufuatia kushindwa kufanya kazi kwa mfumo wa habari ktk uchaguzi mkuu nchini Kenya binafsi napata taabu sana kuelewa kilichotokea.

Bado napenda kuamini utalaamu unaotumika kutengeza tuseme ATM machine/software ni mkubwa tu kuliko ule wa kukusanya taarifa kama za uchaguzi na kuzirelay panapohusika. Naomba wataalamu wa IT mnitoe wasiwasi hususani kuhusiana na ili la kukwama kwa mitambo huko nchini kenya. Najiuliza maswali mengi tu ikiwa ni pamoja na kama mfumo huo ulifantiwa majaribio? Nk majibu yanaelekea tu kwenye swala kuweko na mkono wa mtu. Naomba mnitoe wasiwasi.
 
Mambo kama haya huwa yanatokea Africa na nchi zinazoendelea, Sijawahi sikia Marekani Mitambo imeshindwa kufanya kazi au Uingereza.
 
Mkuu Sting007:
Kwa taarifa niliyo nayo e-poll system iliwahi kufail huko marekani (USA) katika majimbo ya Maryland na Colorado (Denver County). Hii ilikuwa wakati wa utawala wa George Bush Jr.
 
Ni kweli mkuu tena ilikuwa ni bain ya G. Bushi na A. GORE.
 
Ndugu yangu ninachoweza kusema ni kwamba politics na technology haziko compatible. Mara nyingine tunapoambiwa mashine zimekwama huwa hazikukwama bali zimekwamishwa kwa makusudi tu.
 
Mambo kama haya huwa yanatokea Africa na nchi zinazoendelea, Sijawahi sikia Marekani Mitambo imeshindwa kufanya kazi au Uingereza.

Taarifa niliyonayo ni kwamba, nchi ya India tu ndio wamefanikiwa kufanya uchaguzi wa ki electroniki. Kwa hiyo changamoto kwenye kuendesha uchaguzi ki electroniki bado ni kubwa mno kwa nchi nyingi hata zisizo za kiafrika.

Ndugu yangu ninachoweza kusema ni kwamba politics na technology haziko compatible. Mara nyingine tunapoambiwa mashine zimekwama huwa hazikukwama bali zimekwamishwa kwa makusudi tu.

Mkuu hapo kwenye red nimependa sana, tena hasa politics za nchi masikini.
 
Mkuu Sting007:
Kwa taarifa niliyo nayo e-poll system iliwahi kufail huko marekani (USA) katika majimbo ya Maryland na Colorado (Denver County). Hii ilikuwa wakati wa utawala wa George Bush Jr.
Zipo ambazo zilihujumiwa wakaacha kuzitumia, zilikuwa wakati mwingine ukimpa gore inahesabu kwa bush.
 
Kufuatia kushindwa kufanya kazi kwa mfumo wa habari ktk uchaguzi mkuu nchini Kenya binafsi napata taabu sana kuelewa kilichotokea.

Bado napenda kuamini utalaamu unaotumika kutengeza tuseme ATM machine/software ni mkubwa tu kuliko ule wa kukusanya taarifa kama za uchaguzi na kuzirelay panapohusika. Naomba wataalamu wa IT mnitoe wasiwasi hususani kuhusiana na ili la kukwama kwa mitambo huko nchini kenya. Najiuliza maswali mengi tu ikiwa ni pamoja na kama mfumo huo ulifantiwa majaribio? Nk majibu yanaelekea tu kwenye swala kuweko na mkono wa mtu. Naomba mnitoe wasiwasi.
Ni kama mtoto anayetambaa hajaweza kutembea halafu anataka asimame na kukimbia. Mimi nilijua zoezi halitawezekana, Kenya wame-rush mno kutumia hiyo technology. Sijui wali- simulate vipi hiyo system mpaka wakaiamini kuitumia. Nadhani walitest kutumia stesheni mojamoja, wakasahau siku ya uchaguzi kutakuwa na mamia ya watu kila stesheni kwa wakati mmoja, na traffic ikawa kubwa kuliko uwezo wa channel zao hivyo zikawa zinakwama.
Inabidi waendelee kuzireview na ku zi-improve hadi zitakapokuja kuwa sawa labda miaka mitano ijayo.
 
Mkuu PSALM_1:
Heshima kwako, hii kitu inaleta maswali mengi kuliko majibu, kwa ufupi tu simulation ilifanyika na ikagundulika kuwa kuna tatizo rejea http://www.the.star.co.ke/news/article-108148/iebc-must-fix-results-transmission-system-fast . Sasa hatufahamu kama Hilo tatizo walirekebisha.
 
"Teknolojia ya tehama" is as redundant as "daraja la Salender Bridge".
 
Back
Top Bottom