Stevemike
Senior Member
- Mar 12, 2011
- 117
- 15
Ktk uchaguzi wa mwaka 2005, JK alipita kwa zaidi ya 80%. Ktk kipindi chake cha kwanza kumetokea misukosuko mingi ikiwemo mjadala wa mahakama ya kadhi na OIC. Ktk uchaguzi uliopita, 2010, kura zake zimepungua kwa zaidi ya 20%. Je, mambo haya mawili pia yamechangia kupunguza kura za JK ktk uchaguzi uliopita 2010? Na ni kivipi? Haya tuendelee!