Swala la kuvua nguo kwa wadada

Swala la kuvua nguo kwa wadada

Achilia ule mchezo wa kumshawishi mwanamke akubali tu kuingia ndani ili mkibaki wawili hata kwa nguvu lazima atoe kitu, kuna hili la kwamba, mmekubalina kuwa wapenzi, mmepanga appointment, na mpaka chumbani kaingia mwenyewe lakini kuvua nguo inakuwa issue.

mwanamke mzima kabisa anataka avuliwe nguo zoote, blouse,skiry,viatu, sidiria,chupi, mi huwa nabaki najiuliza hivi huyu akiwa mwenyewe huwa anafanyaje? havui hivi vitu??

wanawake huwa wanamaanisha nini katika hili?

mkuu nadhan huwa unamharakisha sana ili uprove anza romance kwa muda fulan maeneo yote ya hisia zake huku akiwa amekaa kitandan utaona anavua viatu ili apande kitandan ajiachie zaidi ukiongeza romance utackia nguo zang znakunjana ngoja nitoe ukizidisha zaidi mara mikanda ya sidiria na pichu inaniumiza sasa hapo kimebaki nin c kavua mwenyw ila inataka muda kumuandaa inatakiwa kupunguza mshindo genye then mnaenjoy kiulainii. ningempata mim huyo
 
mahabati hayo mkuu usiogope sana..
 
Siku hizi haka kajukwaa kana posts za kikubwa...jamani kuna wengine sisi ni under 18 humu.
Haya makitu mengine pelekeni lile jukwaa lenu la mambo ya chumbani.
 
Kwa hiyo wewe akiwa amevua nguo hauwezi kumuandaa?
SANGARARA unajua wewe unataka mzigo uupate kiulaini kwa mara ya kwanza halafu baada ya hapo uanze kumtangaza ooo hafai, nimekuta tope mpaka nikatumia 4w
sisi zamani hata kuona paja ilikuwa kazi na tulikuwa tuna (pigwa vice /clamp) mpaka unakata tamaa ndipo unapewa ulkiwa umechoka, maraya pili wala huulizi unavutwa tu
 
Maneno ya kumtongoza Mpaka akakubari kufika chumbani, na kukaa kitandani hayatoshi hata kuvua nguo avuliwe? Mbona wanaume tunakuwa wanafiki sana? hivi tunawajali wanawake namna hii kweli? mbona ukiisha maliza haumvalishi?

Suala la kuvua nguo kwa wadada ni suala la kisaikolojia zaidi na mara huwa ni kwa mara ya kwanza, hata hivyo hawa ndugu zetu huwa wametawaliwa zaid na aibu ndio maana kuvua inakuwa tabu,ila kama walivyosema wadau ukicheza nae muda mrefu atavua tu mwenyewe!
 
Mkuu kama unaona tabu tafuta wale ambao HAWAVAI chupi so unakuwa umeepukana na ''kero'' ya kumvua hiyo kitu...

Kwa taarifa ni kuwa wadada wengi siku hizi hawavai chupi.
 
khaaa humu kuna mambo!
kuna wenzako hapo juu wameshakujibu....akili yako tu!!!
 
mkuu nadhan huwa unamharakisha sana ili uprove anza romance kwa muda fulan maeneo yote ya hisia zake huku akiwa amekaa kitandan utaona anavua viatu ili apande kitandan ajiachie zaidi ukiongeza romance utackia nguo zang znakunjana ngoja nitoe ukizidisha zaidi mara mikanda ya sidiria na pichu inaniumiza sasa hapo kimebaki nin c kavua mwenyw ila inataka muda kumuandaa inatakiwa kupunguza mshindo genye then mnaenjoy kiulainii. ningempata mim huyo

Kwani mnapoingia chumbani si inakuwa inaeleweka mmeenda kufanya nini? kwa nini asivue nguo kabisa ili kuweka mazingira rafiki ya shughuli husika hasa pale anapokuona wewe umevua zako?
 
khaaa humu kuna mambo!
kuna wenzako hapo juu wameshakujibu....akili yako tu!!!

Paloma
Sio swala la akili yangu, nataka kujua nini huwa kinawasukuma kubehave namna hiyo, tumeingia chumbani kwenda ku do, mi navua nguo zangu kwa nini na wewe usivue, au mnakuwa hamjaelewa nini kinakaribia kutokea?
 
No wonder yule mbunge alisema serikali ianzishe mafunzo ya kutongoza......!!!:yell:
 
Ladies wa JF tiririkeni kwenye huu uzi
 
Paloma
Sio swala la akili yangu, nataka kujua nini huwa kinawasukuma kubehave namna hiyo, tumeingia chumbani kwenda ku do, mi navua nguo zangu kwa nini na wewe usivue, au mnakuwa hamjaelewa nini kinakaribia kutokea?
Sangarara, kwa hiyo, wewe ukishaingia chumbani cha kwanza unachofanya ni kuvua nguo ukitegemea na mchuchu wako avue ndio muanze kugegedana asap???
 
Last edited by a moderator:
Mi mwenyewe huwa sikimbilii kuvua nguo,..na huwa nafanya coz sitaki kumuonesha mwanamke kuwa ninapapara au pupa..mambo slow slow kabisa but sure. Hapo ni mautundu tu mpaka tunajikuta tupo katikati ya dimba hata hizo jezi hatujui tulizivaa sa ngapi. Ni vyema kumsoma mwanamke ili urahisishe mambo.
 
Usipende kuvua haraka haraka................ wengine wana makovu ya kuogofya, ukiyaona gafla unaweza kupoteza hisia zote!
 
Sangarara, kwa hiyo, wewe ukishaingia chumbani cha kwanza unachofanya ni kuvua nguo ukitegemea na mchuchu wako avue ndio muanze kugegedana asap???

NO. Sio ASAP. Na hapa nimeleta malalamiko, wakati huo nacheza mechi nyingi nyingi wasichana karibia wote niliokutana nao, nililazika kuwavua nguo mimi, utaratibu ni kuvua nguo ndo mambo mengine yaendelee, mi nawashangaa hao wanaosema kuvua nguo hadi umuandae kwanza, sasa utamuandaa mtu bila kumnyonya kitovu, kumlamba mgongoni, kulamba chuchu, na kwenda nchumvini, utayafanya yote hayo vipi kabla ya kuvua nguo sio itakuwa kero.
 
inaleta msisimko fulan hivi nikimvua mwenyewe.., yaan unaishusha tatriiiiiibu, huku ukimkisi kisi. mpaka unamaliza keshalowana. mwanamke pozi bhana, sio kujivua kama malaya!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom