Swala la kuvua nguo kwa wadada

Swala la kuvua nguo kwa wadada

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
13,104
Reaction score
5,665
Achilia ule mchezo wa kumshawishi mwanamke akubali tu kuingia ndani ili mkibaki wawili hata kwa nguvu lazima atoe kitu, kuna hili la kwamba, mmekubalina kuwa wapenzi, mmepanga appointment, na mpaka chumbani kaingia mwenyewe lakini kuvua nguo inakuwa issue.

mwanamke mzima kabisa anataka avuliwe nguo zoote, blouse,skiry,viatu, sidiria,chupi, mi huwa nabaki najiuliza hivi huyu akiwa mwenyewe huwa anafanyaje? havui hivi vitu??

wanawake huwa wanamaanisha nini katika hili?
 
It depend mkuu, mbona mimi mwanamke ndio huwa ananivua nguo, Note mwanamke hisia zake zipo mbali mno compared to mwanaume, na sio kila mkifika chumbani basi cha kwanza ni kumvua nguo, mpe muda makis kibao yeye mwenyewe ataona unamchelewesha atavua tu.
 
Anamaanisha kwamba hataki umdandie kama farasi.

Step by step bro hamna amri za kijeshi kwamba ukisema "himaa himaaa nguo vua" anavua, NO sio hivyo son.
 
Anamaanisha kwamba hataki umdandie kama farasi.

Step by step bro hamna amri za kijeshi kwamba ukisema "himaa himaaa nguo vua" anavua, NO sio hivyo son.

Hata hiyo Romance ni lazima ifanyike mkiwa mmevaa nguo?
 
It depend mkuu, mbona mimi mwanamke ndio huwa ananivua nguo, Note mwanamke hisia zake zipo mbali mno compared to mwanaume, na sio kila mkifika chumbani basi cha kwanza ni kumvua nguo, mpe muda makis kibao yeye mwenyewe ataona unamchelewesha atavua tu.

Kwa hiyo wewe akiwa amevua nguo hauwezi kumuandaa?
 
Hata hiyo Romance ni lazima ifanyike mkiwa mmevaa nguo?

Sio lazima lakini inapendeza zaidi mkianza na nguo zenu after all wanawake wakati mwengine wanavutia zaidi na mavazi kuliko wakishatoa zote.
 
Achilia ule mchezo wa kumshawishi mwanamke akubali tu kuingia ndani ili mkibaki wawili hata kwa nguvu lazima atoe kitu, kuna hili la kwamba, mmekubalina kuwa wapenzi, mmepanga appointment, na mpaka chumbani kaingia mwenyewe lakini kuvua nguo inakuwa issue.

mwanamke mzima kabisa anataka avuliwe nguo zoote, blouse,skiry,viatu, sidiria,chupi, mi huwa nabaki najiuliza hivi huyu akiwa mwenyewe huwa anafanyaje? havui hivi vitu??

wanawake huwa wanamaanisha nini katika hili?

Kumvua nguo ni sehemu mojawapo ya kumuandaa kama ulikuwa hujui.Ameishakukubalia yaani unashindwa hata kumvua nguo tu brother, mimi akitaka hata kumvalisha namvalisha na kumuogesha pia nafanya very simpo.
 
++
Kuna wanaopenda kuvua wenyewe na kuna ambao husisimka kwa kuona mwanaume anamvua.
Ni hali ya maumbile Jifunze lugha ya chumbani.
++
 
Kama amevaa sketi sogeza pichu pembeni piga kile cha kwanza chenye haraka then endelea na process za kumvua....... in my view
 
Maneno matamu humtoa nyoka pangoni mkuu. Mark these words!

Maneno ya kumtongoza Mpaka akakubari kufika chumbani, na kukaa kitandani hayatoshi hata kuvua nguo avuliwe? Mbona wanaume tunakuwa wanafiki sana? hivi tunawajali wanawake namna hii kweli? mbona ukiisha maliza haumvalishi?
 
Mbona wadada siwaoni?
Eti Madame B,huwa unasubiri hadi shem akuchojoe?
 
Last edited by a moderator:
Kama nguo nlivalia kwetu kwanini nivulie kwako??

Nioe ili nivalie kwako na nivulie kwako.. nukta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom