Swala la kutahiriwa kwa wanawake...mnasemaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swala la kutahiriwa kwa wanawake...mnasemaje?

Discussion in 'JF Doctor' started by Ab-Titchaz, Dec 7, 2008.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  Dec 7, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Girls flee circumcision in Kenya ​


  [​IMG]

  In some countries, girls tend to drop out of school after being circumcised ​


  At least 300 girls in south-western Kenya have fled from home and sought refuge in churches in a bid to escape forced female genital mutilation (FGM).

  The girls, some as young as nine, are at two rescue centres in rural Nyanza province, police told the BBC.

  Female circumcision is banned in Kenya, but remains common in some areas where it is considered to be part of a girl's initiation into womanhood.

  The traditional ceremonies take place between November and December.

  Security

  The girls in Kuria District are now in the care of the two churches and Maendeleo Ya Wanawake, a women's organisation.

  Police are providing security at the centres to ensure that the girls are not forcibly removed or harassed.

  Beatrice Robi, Maendeleo Ya Wanawake's district chairperson and a gender activist, says that at least 200 girls are undergoing circumcision in the district a day.

  She said she had found a seven-year-old girl who had just been circumcised.

  "There are more girls who are still in their homes and they are undergoing it [circumcision], whether it is voluntarily or they are being forced," she told the BBC.

  She says her organisation along with the local churches and authorities have been trying to convince the community to stop the practice and rescuing girls from forced circumcision.

  Paul Wanjama, the commanding officer in Kuria District, says girls in the region usually flee to the rescue centres until the season ends.

  He said that in some cases, parents encourage the girls to go to the rescue centres to avoid being circumcised.

  "There are some parents who are against that [FGM practice] but they get pressure from these traditional people," he told the BBC.

  Legal action

  Girls who undergo circumcision feel that they are ready for marriage and do not go back to school when the term begins in January leading to a high drop-out rate, Mrs Robi said.

  She appealed to other girls to seek refuge in the centres until the end of the traditional ceremonies and praised the local police for their support.

  Mr Wanjama says some cases of forced circumcision had been reported to the police and legal action has been taken.

  The FGM operation involves the partial or total removal of the external genital organs.

  The UN World Health Organization (WHO) says it leads to bleeding, shock, infections and a higher rate of death for new-born babies.

  In Africa, about three million girls are at risk of FGM each year, according to the UN.


  BBC NEWS | Africa | Girls flee circumcision in Kenya
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2008
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,588
  Likes Received: 18,571
  Trophy Points: 280
  Hili ni suala nyeti! Kwa vile lipo basi ni busara lijadiliwe.

  Tohara kwa wanawake ilifanywa na makabila ya wafugaji na wawindaji wa kale. Lengo lilikuwa kudhibiti ashki ya muwasho wa kimapenzi ili wasije ipata wakati waume zao ama wako malishoni ama mawindoni.
  Enzi hizo kila mwanamke wa makabila hayo alijisikia sifa na heshima kubwa kutahiriwa na asiyetahiriwa alionekana ni mchafu na asiyefaa.

  Tohara yenyewe ilitofautiana kati ya kabila na kabila, ila ilihusisha kukatwa kwa clitoris ya mwanamke ambayo ndio the most sensetive part ya female genitalia.

  Kutokana na kukatwa sehemu hiyo mapema kabla haijapata mihemuko, sexual sensetivity ta wanawake waliotahiriwa inahamia ndani ya vigina yenyewe na huweza kuamshwa kwa tendo halisi la ndoa na sio kwa kushikwa shikwa tuu kama wasiotahiriwa.

  Kimsingi lengo la zamani lilikuwa na nia njema, kwa sasa wakati huo umepita. Hakuna tena wafugaji wanaokaa msimu mzima na malisho ama wawindaji wanaoshinda maporini mwaka mzima.

  Kutokana na malengo yaliyohitaji tohara kwa sasa yamepungua ama kutokuwepo kabisa, hakuna sababu ya kuendelea kwa tohara ambacho ni kitendo cha kikatili dhidi ya wanawake. Mkumbuke wanawake wanafanyiwa tohara kwa ajili ya wanaume, kama wanaume wanavyotahiriwa kwa ajili ya wanawake, vita dhidi ya tohara, iwalenge wanaume zaidi.

  Ni kama vita dhidi ya biashara haramu ya ukahaba kamwe haiwezi kuisha mpaka atakaporudi Masiya kwa vile wanawake wanaonewa bure, wao wana bidhaa na wanunuzi wapo. Labda ifanywe kampeni ya kuwafanya wanunuzi wasusie bidhaa, wauzaji wakikosa wanunuzi bidhaa zitawadodea na biashara itaisha.


  Tena afadhali ya tohara za wanawake wa makabila ya kibantu. Makabila ya Nilotic, yaliyoko Somalia, Sudan, Chadi na Mali, wanawake hao walikatwa kisimi na kushonwa huku wakiachia kitundu kidogo tuu cha kupitishia haja ndogo na hedhi mpaka ukishapata mchumba ndipo njia ifunguliwe tena kwa kisu/wembe. Inakuwa ni mateso mara mbili.

  Hapa Tanzania japo tunapiga kelele sana kuhusu mila hii potofu, baadhi kama Wachagga wameiacha kabisa tangu waanze kulima kahawa. Japo wachache wanaiendeleza kwa siri, hawa ni wale ambao wameolewa kijijini, mama anaishi kijijini kazi kukatia ng'ombe majani, na baba anaishi mjini Dasalama, kurudi kijijini
  Ni krismasi hadi krismasi. Lakini Wamasai huwaambii kitu. Tena
  Wambulu, Wairaqui na Wabarbeig ni sehemu ya maisha yao.
  Wanawakata watoto wakike wakishazaiwa tuu ni kukata kitovu na tohara hapo hapo.Msichana anakua wala hajui kuhusu tohara wakiamini wao wamezaliwa hivyo hivyo walivyo.

  Madhara ya tohara ni makubwa kuliko hayo ya wanawake wenyewe. Kutokana na mila za tohara, wanaume wa makabila hayo hawajui mapenzi, kwao sex ni kwa ajili ya kutengeneza watoto tuu na sio starehe.

  Ndio maana hata leo wanawake wa Kichagga waliokulia kijijini, wanakabiliwa na sexual inhibitions kiasi kwa wengi hata orgasm, hawaijui maisha yao yote. One good thing is,'you can never miss things you have never known'.

  Mpaka leo Mmasai humwambii kitu kuhusu tohara. Fanya utafiti utagundua wapinga tohara ni makabila mengine tuu, wamasai wao wamejinyamazia kimyaa. Leo hebu mshauri Edward Lowasa asimame jukwaani awahimize Wamasai waache tohara, mbona atatafuta pa kutokea.

  Utafiti wangu ambao sio scientific umegundua baadhi ya wanawake wa makabila ya tohara ambao hawatahiriwa ukigusa tuu, unapata wa urahisi kama mteremko!. Na hawa ndio wengi huwa viruka njia hata katika ndoa zao.

  Kama wewe ukifanya sex raha yako ni pamoja na mwenzako kufika, ukipata aliyefanyiwa toara kumfikisha ni ishue unaweza kuishia frustration kwako kushindwa kumridhisha mwenzio kumbe yeye anatoshekea- hapo hapo unapoishia wewe.

  Kwa maoni yangu, namna bora zaidi ya kupiga vita ukeketaji ni kuruhusu yale makabila wanaoendeleza tohara, kuifanyia mahospitalini na vituo vya afya chini ya uangalizi wa madaktari ili kuzuia madhara ya matumizi ya vifaa duni na huduma duni zinazochangia vifo vya wakeketwaaji na matatizo wakati wa uzazi.
  Hii itaondoa usiri na ndipo kampeni za uelimishaji zifanyike na hatimaye ukeketaji utatokomezwa kabisa.

  Kuruhusu ukeketaji kufanyikia hospitali ni mfano hai kwa nchi zilizoruhusu utoaji mimba kisheria na kufanyikia hospitali, kumepunguza sana vifo vya kinamama na idadi ya watoto wa mitaani. Amini usiamini, kila mtoto mmoja anayetupwa kwenye mfuko wa rambo, kuna watoto wengine 9 wametumbukizwa kwenye mashimo ya vyoo vya shimo, ama kutupwa maporini na kuliwa na mbwa maana hadi mfupa wake unatafunika!.

  Nchi ya Uswisi imeruhusu matumizi ya madawa yoyote ya kulevya kwa kutenga eneo maalum kwa matumizi hayo. Hili ni eneo la uwanja mkubwa wa wazi mbele ya jengo la bunge la nchi hiyo maarufu kama The Bundes House. Hapa wavuta bangi, wavuta cocaine na wanajidunga heroin wamewekewa manesi wa kuwadunga kwa sindano mpya kila mtu na yake. Wakati huo huo tahudumu wa taasisi za kuzuia matumizi ya madawa hayo zikitoa uelimishaji hatimaye wamefikia kiwango cha watumiaji wanakuja uwanjani hapo kujivutia tuu bangi na kutumia madawa hayo kwa raha zao katika viwango vinavyokubalika. Mpaka sasa madawa yoyote ya kulevya hayana dili Uswisi na badala yake ni dili kubwa Marekani na Uingereza ambako ni marufuku na ni Bonge la dili China na Uarabuni ambako ukishikwa nayo ni kunyoongwa tena bila kutoa taarifa wewe ni raia wa nchi gani.
  Tupige vita ukeketaji kwa kuwaelimisha wakeketaji kukubali kuwa ukeketaji ni ukatili dhidi ya wanawake na ndipo wataacha kukeketa, na kuwaelimisha wanaume wao kwamba watafaidi zaidi wanawake wasiokeketwa ili wasiendelee kutafuta wanawake walio keketwa ndipo mila hii itatoweka kabisa na baadhi ya NGO zitafungwa na kutafuta namna nyingine ya ulaji.
   
 3. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  unanikata matumbo mwenzio .. mila gani hiyo .. Mungu ibariki sijazaliwa kwenye makabila kama hayo .. ningewapa taabu maana ningeishia porini siku ya siku
   
 4. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2008
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35  Ebu naomba darasa. Hivi ukifweka hiyo issue inakuwaje kwa mwanamke? Ina maana hakuna hana sexual arousal tena? Do you mean hawezi tena kujisikia kama wanawake hawa wengine tunaowajua wanaweweseka kwenye act kwa lunatic sounds? Sasa ukikutana na huyu mwanamke unafanyaje kumweka sawa sawa kwenye network?

  Sisi wengine, tunajitahidi sana, na kwa kweli bila mwanamke ku-respond ni sawa na kubaka!. Tunakuwa frustrated sana. Lakini siyo response fake waliyonayo kibao mitaani. Ile ndiyo inakata kabisa network kabisa ya hiyo kitendo. Itakuwa muujiza kama next time nikimfikiria mawazoni...
   
 5. S

  Sabri-bachani Member

  #5
  Dec 10, 2008
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 96
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  .Ahsante Bw. Pasco kwa hii darasa.
   
 6. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2008
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Ab Tichaz,

  Mimi nachukulia kama FGM ni torture against these girls. Ndio maana Sheria ya Kujamiana ya Tanzania ( SOSPA) imepiga marufuku FGM kwa watoto chini ya miaka 18. After 18 yearsthen a woman can choose even to under go face lift , hata hiyo FGM. Tuwalinde hawa watoto wa kike chini ya miaka 18. That will be inhumane act towards them.

  Hakuna cha hospitalini wala nini. The operation itself has no value to the dignity of a woman hata kama itafanyika hospitalini.

  Kenya sijui kama wanayo hiyo sheria ya kuzuia tohara ( FGM).

  Lets fight against FGM

  Shadow.
   
 7. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2008
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Oooh ABT, this issue is always very sad for me. Yaani huwa haina huruma ata kidogo.

  It's very sad and disturbing the way they do it, no anaesthesia, no sterile equipment, bleeding to death, problems nyngi.

  I always say that this cultural belief imepitwa na wakati. It is useless.

  The argument is that it lowers the libido in women so that they do not cheat on their husbands or inapunguza passion or intensity kwa wanawake.

  what i know is FGM or no FGM, when a woman wants to cheat they will...end of story. In this age of temptation, no one is spared.

  We have to evolve, get rid of practices that do more harm than good. Instead come up with better options of initiation.

  the churches are now doing something different for the boys that is christian based and they take the kids to hospital, teach them all about the "birds and bees" and how to respect themselves.
   
 8. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #8
  Dec 11, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135

  Shadow,

  Hii ishu pia mimi naipiga vita maana haina umuhimu wowote.If anything
  it is barbaric.

  Kenya sheria wanazo lakini kuna ishu na ufuatiliaji wa sheria yenyewe.
  Hususan unapata kuna wazazi kadhaa ambao bado wanashikilia itikadi
  potofu kama hizi.Kwa hivyo nakubaliana nawe one hundred percent
  unaposema tuwalinde hawa watoto wadogo ambao wazazi wao
  wanatumbukia katika hii jinamizi.

  Down With FGM.
   
 9. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #9
  Dec 11, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  I feel your pain sister.I have two daughters and I can't imagine
  such an act on them.The world has changed and we have to move on.
   
 10. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #10
  Dec 19, 2008
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Nadhani imeibua kitu muhumu hapa cha umri na haki ya kuamua kujiamulia mambo yahusuyo maumbile. Kama mtu mzima akiamua kwa hiari yake afanyiwe tohara sidhani kama kuna ubaya.

  Huwa pia najiuliza uhalali wa kutahili watoto wa kiume. Nadhani hatuwatendei haki watoto wa kiume kama ambavyo inalalamikiwa kwa watoto wa kike.

  Ingawa kuna tafiti za hivi karibuni kwamba kutahili kunapunguza chance ya mwanaume kuambukizwa HIV, lakini pia inapunguza sensitivity ya mwanaume na kuna tafiti pia zinaonyesha mwanaume aliyetahiliwa anachukuwa muda mrefu zaidi kupata orgasm ukilinganisha na ambaye hajatahiliwa (hivyo kuji-expose na HIV kwa muda mrefu zaidi!).
   
 11. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #11
  Dec 20, 2008
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160


  [media]http://www.youtube.com/watch?v=qsqEyGdLh8I[/media]

  Soma hapo juu utaelewa ni akina nani wanaendeleza unkindiest circumcision.

  SASA SOMA HADITH KUTOKA KORAN ILI UELEWE VIZURI

  Prophet Muhammad (P) is reported to have passed by a woman performing circumcision on a young girl. He instructed the woman by saying:
  "Cut off the foreskin (outer fold of skin over the clitoris; the prepuce) but do not cut off deeply, for this is brighter for the face (of the girl) and more favorable with the husband." [8]

  Islam should stop this unkindiest cut of all. This program or culture, as you can see and read, was started by the Late Prophet Muhammad of Islam to poor little female toddlers.
   
 12. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #12
  Dec 20, 2008
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  It appears that female circumcision is more a cultural practice than a matter of Islamic teachings. We Muslim we know that the hadith which maximba mentioned above refer to the practice are all weak and fake.

  The presence of that practice in Egypt, Tanzania, Nubia[/B] an other countries up to this day is just a continuation of a practice that has been around since the time of the Pharaohs. It is often hard for people to give up deeply ingrained customs and cultural practiced. They continue to be passed down from generation to generation. This is NOT Muslim customs...No mention of female circumcision is to be found in the Qur'an either directly or indirectly. There is NO known Hadith which requires female circumcision.

  The Hadith quoted by maximba 1001% is FAKE. I'm real sorry for that...
   
 13. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #13
  Dec 20, 2008
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Wakina Mama wa KiMisri, wameeleza kiundani sana jinsi Marehemu Mtume wa Waislam anavyo taka, na wao wote ni ushaidi tosha kuwa ni kweli UISLAM bado unaendeleza hii tabia chafu na ya kuvunja haki ya binadamu ya kukata vitoto vidogo vya Kisichana vya dini ya Waarabu yaani UISLAM.

  X Paster, wewe umekuja na maneno matupu. Lete ushaidi kusaidia maneno yako matupu tuone.
   
 14. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #14
  Dec 20, 2008
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Whatever! Female Genital Mutilation or whatever name you call it, FGM is barbaric, crude inhumane, TORTURE against girls under 18. It is torture against the child. There is no any single justification for performing it to a young girl under 18.

  As I said in my previous post... wewe msomaji unatakiwa kupiga kelele na kuchukua hatua dhidi ya mtu yoyote anayemfanyia tohara binti wa chini ya miaka 18. Sheria ya kujamiana hiko wazi...
   
 15. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #15
  Dec 20, 2008
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,588
  Likes Received: 18,571
  Trophy Points: 280
  Jamani mbona suala la Tohara kwa wanawake ni la jamii nyingi za kiasili za kiafrika. Mtume Mohamad (SAW) kaletwa wa nini?.

  Naomba wana JF tujenge utamaduni wa religious tolerance among ourself. Maadamu inajulikana Mtume anaheshimiwa na dini ya Kiislamu, si vyema kwa wewe usiye Mwislamu kuleta hoja yoyote imuhusuyo Mtume sambamba na yeyote asiye Mkiristo asilete hoja yoyote inayomuhusisha Yesu. Kumbukeni Waislamu na Wakristu tuu watoto wa baba mmoja, Ibrahimu. Waislamu ni uzao wa Ismail(Ishamel) na Wakristu ni uzao wa Isaka (Is-hak) hivyo-Mungu wetu ni mmoja achilia mbali anaitwa kwa jina gani.
   
 16. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #16
  Dec 20, 2008
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  1.FGM au FGC ni taratibu ambazo kwa miaka ya siku hizi hazina manufaa bali madhara zaidi.Kwamba ni njia muafaka ya kudhibiti nyendo za wanawake inaweza isiwe kweli.Miaka ya nyuma, hata wazungu walijitahidi kudhibiti si kwa kuwafanyia wanawake ukeketaji bali kwa kuwavalisha " chastity belt" ya chuma ambapo wakishavalishwa mwanaume aliondoka na kufuli ili akirudi afungue mwenyewe!Mbona waliweza kuondokana na utaratibu huu?

  2.Tunaweza tukawa na sheria kama SOSPA 1998, na bado isifanye kazi maana hata sasa wakunga wanapozalisha huwafanyia ukeketaji watoto wachanga ambao hawaelewi kitu.Jamii yenyewe na hasa wanaume wanaweza kusaidia kuondoa hii mila kwa ufanisi zaidi kuliko sheria na kelele za wanaharakati.Kuna wanawake ambao hujipeleka wenyewe kukeketwa hata pale ambapo wazazi wao hawakuwakeketa kisa ati hawataolewa kwa vile wanaume wa makabila yao hawatataka asiyekeketwa! Cha ajabu zaidi, wanaume hao huoa waliokeketwa lakini hapo hapo hufukuzia wanawake ambao hawajakeketwa! Unafiki ulioje?!
  3. Kuna suala la kiuchumi pia ambapo mangariba hunufaika kwa kupata kipato.Hawa nao wana mchango mkubwa sana katika kuendeleza hii mila.Inabidi wapate njia mbadala ya kuingiza kipato.
  4.Kuna hofu inayowekwa kwa kudanganya wanawake kuwa ukeketaji ni agizo la kidini.Nchi kama Gambia na Senegal zenye waislamu wengi, kumekuwa na hoja kuwa wanawake wanaokataa kukeketwa wanakiuka maagizo ya dini.Na sote tunaelewa hii ina maana gani kwa mtu mwenye imani kali kwa dini yake.Kama si agizo la kidini, basi inabidi kuwepo na jitihada za ziada kuelemisha umma kwa ujumla wake ili watu waelewe kuwa si agizo la kidini.
   
 17. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #17
  Dec 21, 2008
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Thanks for your contribution. Kitu ninachooona hapa kibaya zaidi ni hali ile ya kuingiza dini kwa nguvu na kwakupotosha
  FGM si religious practice bali cultural practice, na si vema kuchanganya mambo haya.
   
 18. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #18
  Dec 21, 2008
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Unapo sema Mungu wetu ni mmoja unakosea. Wakristo wanaamini katika Yesu ambaye pia ni Mungu Mwana, Waislam hawaamini na wala kubali kuwa Yesu ni Mungu. Hivyo basi, Wakristo na Waislam hawaamini Mungu mmoja.

  Ukisoma kitabu cha Hebrews, utaona kuwa Yesu ni Muumba wa Mbingu na Nchi, Waislam hawakubali hilo. Ukisoma Colossians/Hebrews utaona kuwa Yesu ni Mungu, Waislam hawakubali hilo. Hivyo basi Waislam na Wakristo hawaamini Mungu mmoja, kama ulivyo dai. Waislam wanaamini katika Allah wa Uarabuni ambaye habadiliki jina.

  Waislam ni watoto wa Mama wa kambo, na Baba yao kufuatana na Biblia ni Mbwa Mwitu-Ishmael. Wakati Wakristo ni watoto wa Mke halali wa Abraham.
   
 19. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #19
  Dec 21, 2008
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,588
  Likes Received: 18,571
  Trophy Points: 280
  Max anzisha thread "Jee Mungu ni mmoja au kuna miungu?. Nitakuthibitishia kupitia vifungu vya Biblia Takatifu kuwa Mungu ni mmoja. Agano la kale lote liko kwenye Quran Tukufu. Sheria zote za Kiislamu 'Islamic Sharia' ndio ile sheria ya Musa kwenye Kumbukumbu la Torati (Tauraat) Tofauti kati yetu ni Yesu na Mtume. Tena Yesu alisema hakuja kuibatilisha Torati bali kuikamilisha. Ukumbuke hata Ismaili alipofukuziwa mwituni ni Mungu yule yule wa Ibrahim aliyembariki na uzao wake mpaka akazaliwa
  Mtume Muhamad (SAW)
  Kwa taarifa yako Max, mimi huwa nasoma sana post zako za dini, unaponichosha ni jinsi ulivyo na bidii kubwa ya
  'cut n paste' without any mention of the source which is pure plagiarsm at its best. Turejee kwenye mada ya Ukeketaji au Tohara kwa wanawake. Please lets leave religious sentiments pembeni tudeal na issue before us.
  ore us.
   
 20. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #20
  Dec 21, 2008
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Kuna tofauti kubwa sana kati ya Wakristo na Waislam. Waislam hawaamini kuwa Yesu ni Mungu. Na hiyo Torah au Tarati, Marehem Muhammad ameweka yake kwenye Koran ya Waislam, kwa kujaribu kukopy na kuamend original rules alafu akapaste kwenye Koran. Kila mtu anajuwa hilo. Ukitaka aya kutoka Koran nitakupa.

  Anyway, tukirudi kwenye issue ya circumcision, je wewe unapinga hao wanawake wa Kimisri maneno yao kuwa amri ya kukata wasichana wadogo ni kutoka kwa Mtume Muhammad?

  Ushaidi walio weka au sema hao akina Mama wa Kimisri nafikiri unatosha kuonyesha ni Mtume gani aliye anzisha mambo ya kukata toddlers. Kama Waislam wa Tanzania hawafuati maagizo hayo, basi wamefanya jambo bora sana na Mola atawabariki kwa hilo.

  Kuhusu kuanzisha thread, nafikiri ombi lako nibora sana, na Mungu akubariki kwa hilo.
   
Loading...