...
alafu umekosea uliposema Albert einstein & newton ni wajinga!! bro wale ndio ma genious wenyewe , akifuatiwa na mtu aliyefanya revolution in medical world Doctor of the doctors
Ibn Sina (Avicenna) hao ndio ninaowaona watu muhimu kwangu!
Kama unamjua Ali Ibn sina,basi ina maana unamjua Al kindus.
nawaita wajinga maanake wao walikuwa wanakopi utafiti uliyofanywa kabla yao nakuzifanya zao.mfano albert einstein alikopi kazi za al kindus.
Al-Kindi was very much advanced of his time, classical mechanists such Galileo, Descartes and Isaac Newton considered time, space and motion to be absolute, while al-Kindi suggest that all these properties are relative to each other and not independent or absolute. This can be considered as early concept of Theory of Relativity
btw tell me who is this dude cheikh anta diop..?! and yeh sijui maana ya mishumaa hiyo saba kwenye profile yako tell me more about it
Huyu sio dude,but he is a master,a thinker,and a great teacher.
Diop aliweza ku proof mbele ya dunia nzima that egypt was pure black during the time of building pyramids,na ma pharaoh wote walikuwa ni watu weusi.
kumaanisha sisi ndio tumewafunza engineering and science,sio kama tunavdagnywa kila siku eti wao wazungu wameanza mambo ya technologia.
utafiti wake mpaka leo ndio unatumiwa katika mambo ya forensic.
hebu google huyu jamaa na usome habari yake.
mishumaa saba maanake
Umoja (Unity): To strive for and to maintain unity in the family, community, nation, and race.
Kujichagulia (Self-Determination): To define ourselves, name ourselves, create for ourselves, and speak for ourselves.
Ujima (Collective Work and Responsibility): To build and maintain our community together and make our brothers' and sisters' problems our problems, and to solve them together.
Ujamaa (Cooperative Economics): To build and maintain our own stores, shops, and other businesses and to profit from them together.
Nia (Purpose): To make our collective vocation the building and developing of our community in order to restore our people to their traditional greatness.
Kuumba (Creativity): To do always as much as we can, in the way we can, in order to leave our community more beautiful and beneficial than we inherited it.
Imani (Faith): To believe with all our heart in our people, our parents, our teachers, our leaders, and the righteousness and victory of our struggle.
Marekani maulana karanga mwaka wa 1966
alianza kufunza kiswahili to the black americans
nakuanzisha sherehe inayoitwa
kwanza ili waafrika wawe na sherehe yao december,kusudi wawache kusheherekea krismasi ambayo ni
mambo ya kishetani na si ukristo
Kwanza imekubalika marekani na hata serikali ya marekani wanazo stamp wanauza kusheherekea kwanza.ili uwe member lazima ujifunze kiswahili.hii imefanya black americans wengi sana kujifunza kiswahili na kusoma historia yao.
na hapo ndipo mishumaa saba inapotokea
fanya utafiti