Swaga za wadada zetu ili waonekane nao wamo hasa wakitoka uswazi

Galacha Maestro

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
1,353
2,220
SWAGA ZA WADADA ZETU ILI WAONEKANE NAO WAMO HASA WAKITOKA USWAZI WAKAWA WAMENDA OUT MITAA YA USHUANI

1. Halima - Muhudumu naomba unilete salad ya moto, na chupa ya Amarula.

2. Chausiku - nipe PIN yako niwe nakupigia

3. Siwema - nimechokaje, nimeshinda Shoprite natengeneza nywele

4. Gulo - Boifrend wangu kanambia likizo ya summer mwaka huu London nikale Christmas

5. Mwanaukuta…Nimenunua IPhone wamenambia Memory Card nikaipitie kesho

6. Fulo....Mi napendaga kusafiri na Presishen, napenda viti vya dirishani, mtu unakaa unafungua kioo chako hewa safiii mpaka mwisho wa safari

7. Fatuma….kiukweli mi niliipenda London kuliko Uk
 
Ha ha ha ha haaaa! Nimekuja kwa shemeji hapa anaitwa Halima nimemuonyesha hiyo namba moja kacheka sana!
 
Hahahahahaha hiyo#06 kama umekaa nae karibu,nakuhakikishia hutokuwa na pumzi yakukuzuia kucheka.
 
Hayo majina yenyewe hawayataki Fatuma utasikia Fety .na wengi majina ya asili ya kiislamu hawayakubali utasikia Rachel mara careen ndo hapo akupige mzinga umtumie pesa jina utakalolikuta balaa tupu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom