‘’Swaga’’ za TLS, eti mawakili zaidi ya 18 kumtetea Tundu Lissu!

Ndugu msemakweli pamoja na kwamba andiko lako limejaa siasa na ushabiki ngoja niweke hapa maoni yangu.

Hakuna mwanasheria asiyejua kuwa kosa alikuwacharged Tundu Lissu linadhaminika walichofanya kwenda pale wengi ni kuonesha tu solidarity kwa sababu ni Rais wa TLS, mbona husemi kwanini Gwajima alienda na waimba kwaya kituoni? Hiyo ni kawaida kila mtu na familia yake hata max akishtakiwa wanajf wanajaa mahakamani sasa Rais wa TLS kutetewa hata na mawakili mia siyo ishu.

Mwisho hao mawakili wameshinda mpaka hapo ndiyo maana sababu iliyotolewa na mahakama ni kwamba wanamuweka kizuizini kulinda usalama wake hiyo ni hoja rahisi sana pale ambapo no way mtu lazima aachiliwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wangu Zawadi B Lupelo

Mawakili wametueleza kuwa wameunda jopo la kumtetea Tundu Lissu na sio wameenda mahakamani kwa ajili ya solidarity.

Jopo la mawakili zaidi ya 18 linashindwa hata kupambana na kuhakikisha mteja wao anapata dhamana.

Huwezi kulinganisha suala la Gwajima na Tundu Lissu hata hivyo kumbuka Gwajima hakwenda na kwaya mahakamani ila kwaya ilimfuata gwajima mahakamani.
 
Tanzania tunaweza kuingia kwenye Guinness World Records kwa kuhangaika na masuala ambayo waingereza hupenda kusema, ‘’too small or unimportant to be worth consideration (insignificant).

Kuna uwezekano mimi ninadhani ni insignificant lakini hawa mawakili wetu ‘’wasomi’’ wanadhani ni muhimu zaidi (great significance).

Kila mwenye fikra pana anaelewa kuwa serikali inachofanya kwa kutumia vifungu vya sheria na mbinu za kisheria ni kumuweka Tundu Lissu kwenye ''jokofu'' ili kichwa chake kipoe halafu baada ya muda itamuachia. Hauhitaji kuwa na mawakili wawili kama wana uelewa na weledi ili kumtetea kwa sababu hitimisho la kesi linajulikana.

Hawa Mawakili 18 hawawezi hata kutumia ‘’usomi’’ wao kuwashinda mawakili 5 wa serikali ili mteja wao apewe dhamana.

Kuna wengine wanakuja na kichekesho cha kusema Hakimu ameshinikizwa ‘’kutoka juu’’ ili Tundu Lissu asipate dhamana.

Well, kama walijua kuna shinikizo, kwa nini wanajisumbua kuungana mpaka wakafika 18 ili kumtetea wakati wanajua utetezi wao hauna nafasi/hauta sikilizwa?

Ni sawa na mtu anapoteza muda kununua vifaa vya mchezo, kufanya mazoezi na kuingia kwenye pambano wakati anafahamu hawezi kushinda kwa njia yoyote ile kwa sababu mwamuzi ameamua hatampa ushindi.

Nilichokiona kwa hawa mawakili 18 ni kujaribu kufanya siasa ndani ya mahakama wakati sheria hazina siasa.

Wenzao ambao wanafahamu uwakili ni kazi isiyo na siasa, wanapoamua kuunda timu ya mawakili huwa wanafanya kweli na sio kufanya siasa ndani na nje ya mahakama.

Robert Shapiro na Johnnie Cochran walipounda timu ya mawakili zaidi ya nane ambayo iliitwa, ‘’Dream Team’’ katika kesi iliyoitwa ‘’Trial of the Century’’ ili kumtetea O.J. Simpson mwaka 1995, walihakikisha anashinda kesi. Kulikuwa hakuna ‘’swaga’’ mahakamani bali mabishano ya hoja za kisheria na utundu wa sheria. Kwa wale walifuatilia hiyo kesi hawawezi kusahau maneno ya wakili Johnnie Cochran alipoliambia jopo la Majaji, "If it doesn't fit, you must acquit."

Nilivyoangalia body language la mawakili wa Tundu Lissu niligundua fikra zao ziko kwenye kamera za waandishi wa habari badala ya vifungu vya sheria na technicalities zake. Kila wakili anataka kuonekana kwenye kamera kama yuko ‘’busy’’ lakini kumbe yuko busy doing nothing.

Baada ya mahakama kumaliza, kila wakili ukiondoa Peter Kibatala alikuwa anataka kuonekana na kuzungumza na waandishi wa habari.

Katika mawakili wote wa Tundu Lissu, Peter Kibatala ni tofauti sana katika genge hilo kwa sababu hakutaka hata kuonekana kwenye kamera. The guy is humble and admired for his veracity, ethical approach and professionalism.

Kwa sasa kesi imekuwa ‘’hijacked’ na Fatma Amani Karume ambaye ni mtaalam wa kesi za kibiashara huku Peter Kibatala akiwa ‘’ surplus to requirements’’ wakati ni mtaalam wa kesi za jinai. She's busy looking after politics instead of looking after her client.

Mahakama haina siasa pamoja na kwamba siasa wakati mwingine hazina sheria.
Amri toka juu ndiyo ilitoa hukumu yote jaji alitishwa atatumbuliwa Jipu akaogopa na kufanya kazi kwa mujibu wa zidumu fikra za Mwenyekiti wa ccm badala ya kwa mujibu wa sheria za Nchi, hao mawakili wa Serikali hawajui kitu ni vilaza walibebwa na Amri toka juu usiwasifie hakuna walichofanya zaidi ya kumtisha jaji.
 
Kesi zote zinazomhusu Mtukufu mahakama haitakuwa huru mahakimu majaji wanafanya kazi kwa mujibu wa zidumu fikra za Mwenyekiti wa ccm sio kwa mujibu wa sheria tena.
 
Mkuu wangu Zawadi B Lupelo

Mawakili wametueleza kuwa wameunda jopo la kumtetea Tundu Lissu na sio wameenda mahakamani kwa ajili ya solidarity.

Jopo la mawakili zaidi ya 18 linashindwa hata kupambana na kuhakikisha mteja wao anapata dhamana.

Huwezi kulinganisha suala la Gwajima na Tundu Lissu hata hivyo kumbuka Gwajima hakwenda na kwaya mahakamani ila kwaya ilimfuata gwajima mahakamani.
Pia gwajima Mtukufu hakutuma vyombo vya dola utitiri mahakamani hakuingilia uhuru wa mahakama , hii kesi ya Lisu imeendeshwa na magufuli akiwa online mda wote na jaji Amri toka juu ndiyo ilimnyima dhamana Lisu sio kwa mujibu wa sheria za Nchi.
 
Solidarity ya kuuza sura mahakamani? This is fun to say the least!

Solidarity ni kuhakikisha mteja wao haingii mahabusu/gerezani na sio kupiga siasa wakati mteja wao yuko ndani ya karandika la polisi akielekea gerezani.
Mawakili walifanya kazi vizuri lakini jaji alipokea Amri toka juu akaogopa kutumbuliwa jipu akafanya kazi kwa mujibu wa zidumu fikra za Mwenyekiti wa ccm si kwa mujibu wa sheria za Nchi.
 
TL kiboko ya CCM
Mahakama zote kwa sasa hazipo huru kwa kesi zinanamhusu Mtukufu na endapo watafungua kesi lazima jaji atoe maamuzi yanayomfurahisha magufuli kinyume na hapo jaji au hakimu atafukuzwa kazi mara moja na kubambikiwa kesi ya Rushwa afingwe segerea badala ya keko
 
Tanzania tunaweza kuingia kwenye Guinness World Records kwa kuhangaika na masuala ambayo waingereza hupenda kusema, ‘’too small or unimportant to be worth consideration (insignificant).

Kuna uwezekano mimi ninadhani ni insignificant lakini hawa mawakili wetu ‘’wasomi’’ wanadhani ni muhimu zaidi (great significance).

Kila mwenye fikra pana anaelewa kuwa serikali inachofanya kwa kutumia vifungu vya sheria na mbinu za kisheria ni kumuweka Tundu Lissu kwenye ''jokofu'' ili kichwa chake kipoe halafu baada ya muda itamuachia. Hauhitaji kuwa na mawakili wawili kama wana uelewa na weledi ili kumtetea kwa sababu hitimisho la kesi linajulikana.

Hawa Mawakili 18 hawawezi hata kutumia ‘’usomi’’ wao kuwashinda mawakili 5 wa serikali ili mteja wao apewe dhamana.

Kuna wengine wanakuja na kichekesho cha kusema Hakimu ameshinikizwa ‘’kutoka juu’’ ili Tundu Lissu asipate dhamana.

Well, kama walijua kuna shinikizo, kwa nini wanajisumbua kuungana mpaka wakafika 18 ili kumtetea wakati wanajua utetezi wao hauna nafasi/hauta sikilizwa?

Ni sawa na mtu anapoteza muda kununua vifaa vya mchezo, kufanya mazoezi na kuingia kwenye pambano wakati anafahamu hawezi kushinda kwa njia yoyote ile kwa sababu mwamuzi ameamua hatampa ushindi.

Nilichokiona kwa hawa mawakili 18 ni kujaribu kufanya siasa ndani ya mahakama wakati sheria hazina siasa.

Wenzao ambao wanafahamu uwakili ni kazi isiyo na siasa, wanapoamua kuunda timu ya mawakili huwa wanafanya kweli na sio kufanya siasa ndani na nje ya mahakama.

Robert Shapiro na Johnnie Cochran walipounda timu ya mawakili zaidi ya nane ambayo iliitwa, ‘’Dream Team’’ katika kesi iliyoitwa ‘’Trial of the Century’’ ili kumtetea O.J. Simpson mwaka 1995, walihakikisha anashinda kesi. Kulikuwa hakuna ‘’swaga’’ mahakamani bali mabishano ya hoja za kisheria na utundu wa sheria. Kwa wale walifuatilia hiyo kesi hawawezi kusahau maneno ya wakili Johnnie Cochran alipoliambia jopo la Majaji, "If it doesn't fit, you must acquit."

Nilivyoangalia body language la mawakili wa Tundu Lissu niligundua fikra zao ziko kwenye kamera za waandishi wa habari badala ya vifungu vya sheria na technicalities zake. Kila wakili anataka kuonekana kwenye kamera kama yuko ‘’busy’’ lakini kumbe yuko busy doing nothing.

Baada ya mahakama kumaliza, kila wakili ukiondoa Peter Kibatala alikuwa anataka kuonekana na kuzungumza na waandishi wa habari.

Katika mawakili wote wa Tundu Lissu, Peter Kibatala ni tofauti sana katika genge hilo kwa sababu hakutaka hata kuonekana kwenye kamera. The guy is humble and admired for his veracity, ethical approach and professionalism.

Kwa sasa kesi imekuwa ‘’hijacked’ na Fatma Amani Karume ambaye ni mtaalam wa kesi za kibiashara huku Peter Kibatala akiwa ‘’ surplus to requirements’’ wakati ni mtaalam wa kesi za jinai. She's busy looking after politics instead of looking after her client.

Mahakama haina siasa pamoja na kwamba siasa wakati mwingine hazina sheria.
Kama kuna ukweli hivi!
 
Nikusahihishe kitu mleta mada kwanza nina uhakika kwamba wewe ni layman, pili huwezi kutenganisha siasa na sheria maana law is a political phenomenon siasa inaenda na sheria mkuu, pili swala kitu kua significant or insignificant inategemea na perception ya watu juu ya hilo swala,, mimi nashauri watu tuendelee kumsifia huyu jamaa kwamba ametengeneza barabara na ameleta maji wakati kimsingi hayo ni majukumu yake..mimi nashauri hivyo,...hahahahahaha
Ni kweli ndugu, huwezi kutenganisha sheria na siasa, sabuba watunga sheria ndio hao.
 
Lissu peke yake anatosha kuwabwaga mawakili 4 wa serekali pamoja na vibaraka wake,uwingi wa mawakili ni ishara ya kuwa pamoja na Lissu,na siyo mawakili peke yake hata wananchi mamilioni kwa mamilioni wapo pamoja na Lissu japokuwa hawana nafasi ya kuonekana wazi Kama mawakili.
 
Weye MsemajiUkweli, ndiyo maana huwa mnashindwa kesi kwa sababu huwa mnachezewa akili. Sasa weye kwa umang'amang'a wako umebaki kuwashangaa mawakili badala ya kuandaa hoja zenye majibu. Such a fella at your own stupidity!
 
Mahakama haina siasa pamoja na kwamba siasa wakati mwingine hazina sheria.
Ni kweli mahakama haina siasa lakini watumishi wake muhimu wanateuliwa na wanasiasa kitu ambacho kinaweza kikawafanya wakaiweka sheria pembeni na kutekeleza maagizo ya wanasiasa kwa ajili ya kulinda vibarua vyao.
 
Tanzania tunaweza kuingia kwenye Guinness World Records kwa kuhangaika na masuala ambayo waingereza hupenda kusema, ‘’too small or unimportant to be worth consideration (insignificant).

Kuna uwezekano mimi ninadhani ni insignificant lakini hawa mawakili wetu ‘’wasomi’’ wanadhani ni muhimu zaidi (great significance).

Kila mwenye fikra pana anaelewa kuwa serikali inachofanya kwa kutumia vifungu vya sheria na mbinu za kisheria ni kumuweka Tundu Lissu kwenye ''jokofu'' ili kichwa chake kipoe halafu baada ya muda itamuachia. Hauhitaji kuwa na mawakili wawili kama wana uelewa na weledi ili kumtetea kwa sababu hitimisho la kesi linajulikana.

Hawa Mawakili 18 hawawezi hata kutumia ‘’usomi’’ wao kuwashinda mawakili 4 wa serikali ili mteja wao apewe dhamana.

Kuna wengine wanakuja na kichekesho cha kusema Hakimu ameshinikizwa ‘’kutoka juu’’ ili Tundu Lissu asipate dhamana.

Well, kama walijua kuna shinikizo, kwa nini wanajisumbua kuungana mpaka wakafika 18 ili kumtetea wakati wanajua utetezi wao hauna nafasi/hauta sikilizwa?

Ni sawa na mtu anapoteza muda kununua vifaa vya mchezo, kufanya mazoezi na kuingia kwenye pambano wakati anafahamu hawezi kushinda kwa njia yoyote ile kwa sababu mwamuzi ameamua hatampa ushindi.

Nilichokiona kwa hawa mawakili 18 ni kujaribu kufanya siasa ndani ya mahakama wakati sheria hazina siasa.

Wenzao ambao wanafahamu uwakili ni kazi isiyo na siasa, wanapoamua kuunda timu ya mawakili huwa wanafanya kweli na sio kufanya siasa ndani na nje ya mahakama.

Robert Shapiro na Johnnie Cochran walipounda timu ya mawakili zaidi ya nane ambayo iliitwa, ‘’Dream Team’’ katika kesi iliyoitwa ‘’Trial of the Century’’ ili kumtetea O.J. Simpson mwaka 1995, walihakikisha anashinda kesi. Kulikuwa hakuna ‘’swaga’’ mahakamani bali mabishano ya hoja za kisheria na utundu wa sheria. Kwa wale walifuatilia hiyo kesi hawawezi kusahau maneno ya wakili Johnnie Cochran alipoliambia jopo la Majaji, "If it doesn't fit, you must acquit."

Nilivyoangalia body language la mawakili wa Tundu Lissu niligundua fikra zao ziko kwenye kamera za waandishi wa habari badala ya vifungu vya sheria na technicalities zake. Kila wakili anataka kuonekana kwenye kamera kama yuko ‘’busy’’ lakini kumbe yuko busy doing nothing.

Baada ya mahakama kumaliza, kila wakili ukiondoa Peter Kibatala alikuwa anataka kuonekana na kuzungumza na waandishi wa habari.

Katika mawakili wote wa Tundu Lissu, Peter Kibatala ni tofauti sana katika genge hilo kwa sababu hakutaka hata kuonekana kwenye kamera. The guy is humble and admired for his veracity, ethical approach and professionalism.

Kwa sasa kesi imekuwa ‘’hijacked’ na Fatma Amani Karume ambaye ni mtaalam wa kesi za kibiashara huku Peter Kibatala akiwa ‘’ surplus to requirements’’ wakati ni mtaalam wa kesi za jinai. She's busy looking after politics instead of looking after her client.

Mahakama haina siasa pamoja na kwamba siasa wakati mwingine hazina sheria.
Kuna kitu hukukielewa katika hao mawakili, ila wamefanikiwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Back
Top Bottom