‘’Swaga’’ za TLS, eti mawakili zaidi ya 18 kumtetea Tundu Lissu!

Well, kama walijua kuna shinikizo, kwa nini wanajisumbua kuungana mpaka wakafika 18 ili kumtetea wakati wanajua utetezi wao hauna nafasi/hauta sikilizwa?
Kwa hiyo tukichokozwa na Marekani tusitumie uwezo wetu tulionao kupigana kwa sababu tunajua kuwa tutapigwa?Taifa stars wakipangwa kucheza na Brazil wasicheze kwa kuwa wanajua hatima Yao Ni kufungwa?.
 
Tanzania tunaweza kuingia kwenye Guinness World Records kwa kuhangaika na masuala ambayo waingereza hupenda kusema, ‘’too small or unimportant to be worth consideration (insignificant).

Kuna uwezekano mimi ninadhani ni insignificant lakini hawa mawakili wetu ‘’wasomi’’ wanadhani ni muhimu zaidi (great significance).

Kila mwenye fikra pana anaelewa kuwa serikali inachofanya kwa kutumia vifungu vya sheria na mbinu za kisheria ni kumuweka Tundu Lissu kwenye ''jokofu'' ili kichwa chake kipoe halafu baada ya muda itamuachia. Hauhitaji kuwa na mawakili wawili kama wana uelewa na weledi ili kumtetea kwa sababu hitimisho la kesi linajulikana.

Hawa Mawakili 18 hawawezi hata kutumia ‘’usomi’’ wao kuwashinda mawakili 4 wa serikali ili mteja wao apewe dhamana.

Kuna wengine wanakuja na kichekesho cha kusema Hakimu ameshinikizwa ‘’kutoka juu’’ ili Tundu Lissu asipate dhamana.

Well, kama walijua kuna shinikizo, kwa nini wanajisumbua kuungana mpaka wakafika 18 ili kumtetea wakati wanajua utetezi wao hauna nafasi/hauta sikilizwa?

Ni sawa na mtu anapoteza muda kununua vifaa vya mchezo, kufanya mazoezi na kuingia kwenye pambano wakati anafahamu hawezi kushinda kwa njia yoyote ile kwa sababu mwamuzi ameamua hatampa ushindi.

Nilichokiona kwa hawa mawakili 18 ni kujaribu kufanya siasa ndani ya mahakama wakati sheria hazina siasa.

Wenzao ambao wanafahamu uwakili ni kazi isiyo na siasa, wanapoamua kuunda timu ya mawakili huwa wanafanya kweli na sio kufanya siasa ndani na nje ya mahakama.

Robert Shapiro na Johnnie Cochran walipounda timu ya mawakili zaidi ya nane ambayo iliitwa, ‘’Dream Team’’ katika kesi iliyoitwa ‘’Trial of the Century’’ ili kumtetea O.J. Simpson mwaka 1995, walihakikisha anashinda kesi. Kulikuwa hakuna ‘’swaga’’ mahakamani bali mabishano ya hoja za kisheria na utundu wa sheria. Kwa wale walifuatilia hiyo kesi hawawezi kusahau maneno ya wakili Johnnie Cochran alipoliambia jopo la Majaji, "If it doesn't fit, you must acquit."

Nilivyoangalia body language la mawakili wa Tundu Lissu niligundua fikra zao ziko kwenye kamera za waandishi wa habari badala ya vifungu vya sheria na technicalities zake. Kila wakili anataka kuonekana kwenye kamera kama yuko ‘’busy’’ lakini kumbe yuko busy doing nothing.

Baada ya mahakama kumaliza, kila wakili ukiondoa Peter Kibatala alikuwa anataka kuonekana na kuzungumza na waandishi wa habari.

Katika mawakili wote wa Tundu Lissu, Peter Kibatala ni tofauti sana katika genge hilo kwa sababu hakutaka hata kuonekana kwenye kamera. The guy is humble and admired for his veracity, ethical approach and professionalism.

Kwa sasa kesi imekuwa ‘’hijacked’ na Fatma Amani Karume ambaye ni mtaalam wa kesi za kibiashara huku Peter Kibatala akiwa ‘’ surplus to requirements’’ wakati ni mtaalam wa kesi za jinai. She's busy looking after politics instead of looking after her client.

Mahakama haina siasa pamoja na kwamba siasa wakati mwingine hazina sheria.

!
!
Swaga za Selikali nzima na Lugha ya kuudhi na uchochezi waingereza wanaita very big and most important
 
Solidarity ya kuuza sura mahakamani? This is fun to say the least!

Solidarity ni kuhakikisha mteja wao haingii mahabusu/gerezani na sio kupiga siasa wakati mteja wao yuko ndani ya karandika la polisi akielekea gerezani.
Hivi tatizo lako nini kuhusu hilo?
 
Vi
Mkuu MsemajiUkweli pole kwa maumivu uliyoyapata. Hujaelewa na haujui chochote. Umri unakutupa mkono na kufanya uelewa wako kuwa finyu. Bure kabisa!
Umejuaje kuwa anahangaika?

Umemuona anaenda kuwakamata ?

Tatizo lako ni kudhani kila linalofanyika nchini Rais kama Rais anafahamu na sio taasisi ya Urais.

Waache wafu wazike wafu wao! Hofu yako ni nn? Hii taaluma ina wenyewe. Na ukumbuke kazi ya wakili sio kuomba tu dhamana!
 
Nachokiona kwenye harakati za TL pamoja na kujaribu kutuaminisha kwamba anapigania mema ya watu wa chini lakini ukweli ni kwamba anatumia jukwaa kuexpress chuki, uzandiki, fitina na hujuma za kisiasa dhidi ya utawala uliopo. Ni ukweli kwamba matatizo ya nchi hii anayajua pamoja na vyanzo vyake. Mimi binafsi kashanikera, siasa gani hizo kila siku kusema sema watu vibaya, all we see the guy preaches his negative mind always. Nadhani imetosha watu tunahitaji kuwasikia na wengine wanafundisha maisha na kumudu changamoto za maisha. Mambo ya kupakana matope hayatusaidii sisi wala hayatatupatia nafuu yoyote kimaisha. Haya ni mawazo yangu binafsi with response to negatively which is forced to affect our mind "enough is enough". Kwa wale wafuasi mliochukia samahanini maana hata me nachukia kila siku kusikia mambo yasiyo na faida
 
Tanzania tunaweza kuingia kwenye Guinness World Records kwa kuhangaika na masuala ambayo waingereza hupenda kusema, ‘’too small or unimportant to be worth consideration (insignificant).

Kuna uwezekano mimi ninadhani ni insignificant lakini hawa mawakili wetu ‘’wasomi’’ wanadhani ni muhimu zaidi (great significance).

Kila mwenye fikra pana anaelewa kuwa serikali inachofanya kwa kutumia vifungu vya sheria na mbinu za kisheria ni kumuweka Tundu Lissu kwenye ''jokofu'' ili kichwa chake kipoe halafu baada ya muda itamuachia. Hauhitaji kuwa na mawakili wawili kama wana uelewa na weledi ili kumtetea kwa sababu hitimisho la kesi linajulikana.

Hawa Mawakili 18 hawawezi hata kutumia ‘’usomi’’ wao kuwashinda mawakili 4 wa serikali ili mteja wao apewe dhamana.

Kuna wengine wanakuja na kichekesho cha kusema Hakimu ameshinikizwa ‘’kutoka juu’’ ili Tundu Lissu asipate dhamana.

Well, kama walijua kuna shinikizo, kwa nini wanajisumbua kuungana mpaka wakafika 18 ili kumtetea wakati wanajua utetezi wao hauna nafasi/hauta sikilizwa?

Ni sawa na mtu anapoteza muda kununua vifaa vya mchezo, kufanya mazoezi na kuingia kwenye pambano wakati anafahamu hawezi kushinda kwa njia yoyote ile kwa sababu mwamuzi ameamua hatampa ushindi.

Nilichokiona kwa hawa mawakili 18 ni kujaribu kufanya siasa ndani ya mahakama wakati sheria hazina siasa.

Wenzao ambao wanafahamu uwakili ni kazi isiyo na siasa, wanapoamua kuunda timu ya mawakili huwa wanafanya kweli na sio kufanya siasa ndani na nje ya mahakama.

Robert Shapiro na Johnnie Cochran walipounda timu ya mawakili zaidi ya nane ambayo iliitwa, ‘’Dream Team’’ katika kesi iliyoitwa ‘’Trial of the Century’’ ili kumtetea O.J. Simpson mwaka 1995, walihakikisha anashinda kesi. Kulikuwa hakuna ‘’swaga’’ mahakamani bali mabishano ya hoja za kisheria na utundu wa sheria. Kwa wale walifuatilia hiyo kesi hawawezi kusahau maneno ya wakili Johnnie Cochran alipoliambia jopo la Majaji, "If it doesn't fit, you must acquit."

Nilivyoangalia body language la mawakili wa Tundu Lissu niligundua fikra zao ziko kwenye kamera za waandishi wa habari badala ya vifungu vya sheria na technicalities zake. Kila wakili anataka kuonekana kwenye kamera kama yuko ‘’busy’’ lakini kumbe yuko busy doing nothing.

Baada ya mahakama kumaliza, kila wakili ukiondoa Peter Kibatala alikuwa anataka kuonekana na kuzungumza na waandishi wa habari.

Katika mawakili wote wa Tundu Lissu, Peter Kibatala ni tofauti sana katika genge hilo kwa sababu hakutaka hata kuonekana kwenye kamera. The guy is humble and admired for his veracity, ethical approach and professionalism.

Kwa sasa kesi imekuwa ‘’hijacked’ na Fatma Amani Karume ambaye ni mtaalam wa kesi za kibiashara huku Peter Kibatala akiwa ‘’ surplus to requirements’’ wakati ni mtaalam wa kesi za jinai. She's busy looking after politics instead of looking after her client.

Mahakama haina siasa pamoja na kwamba siasa wakati mwingine hazina sheria.
Na wewe nakuona uko na laptop yako pembeni ya IGP ukijipendekeza uonekane unajua kinachoendelea. Usituzingue kama we ndio amri toka juu mwachie mtu wetu ili hao mawakili 18 waendelee na kazi
 
Umekosea mleta mada.Ni mawakili 21 na sio 18.
Je serikali inatetewa na mawakili wangapi kayika hili suala la kuminya demokrasia?
 
Tanzania tunaweza kuingia kwenye Guinness World Records kwa kuhangaika na masuala ambayo waingereza hupenda kusema, ‘’too small or unimportant to be worth consideration (insignificant).

Kuna uwezekano mimi ninadhani ni insignificant lakini hawa mawakili wetu ‘’wasomi’’ wanadhani ni muhimu zaidi (great significance).

Kila mwenye fikra pana anaelewa kuwa serikali inachofanya kwa kutumia vifungu vya sheria na mbinu za kisheria ni kumuweka Tundu Lissu kwenye ''jokofu'' ili kichwa chake kipoe halafu baada ya muda itamuachia. Hauhitaji kuwa na mawakili wawili kama wana uelewa na weledi ili kumtetea kwa sababu hitimisho la kesi linajulikana.

Hawa Mawakili 18 hawawezi hata kutumia ‘’usomi’’ wao kuwashinda mawakili 4 wa serikali ili mteja wao apewe dhamana.

Kuna wengine wanakuja na kichekesho cha kusema Hakimu ameshinikizwa ‘’kutoka juu’’ ili Tundu Lissu asipate dhamana.

Well, kama walijua kuna shinikizo, kwa nini wanajisumbua kuungana mpaka wakafika 18 ili kumtetea wakati wanajua utetezi wao hauna nafasi/hauta sikilizwa?

Ni sawa na mtu anapoteza muda kununua vifaa vya mchezo, kufanya mazoezi na kuingia kwenye pambano wakati anafahamu hawezi kushinda kwa njia yoyote ile kwa sababu mwamuzi ameamua hatampa ushindi.

Nilichokiona kwa hawa mawakili 18 ni kujaribu kufanya siasa ndani ya mahakama wakati sheria hazina siasa.

Wenzao ambao wanafahamu uwakili ni kazi isiyo na siasa, wanapoamua kuunda timu ya mawakili huwa wanafanya kweli na sio kufanya siasa ndani na nje ya mahakama.

Robert Shapiro na Johnnie Cochran walipounda timu ya mawakili zaidi ya nane ambayo iliitwa, ‘’Dream Team’’ katika kesi iliyoitwa ‘’Trial of the Century’’ ili kumtetea O.J. Simpson mwaka 1995, walihakikisha anashinda kesi. Kulikuwa hakuna ‘’swaga’’ mahakamani bali mabishano ya hoja za kisheria na utundu wa sheria. Kwa wale walifuatilia hiyo kesi hawawezi kusahau maneno ya wakili Johnnie Cochran alipoliambia jopo la Majaji, "If it doesn't fit, you must acquit."

Nilivyoangalia body language la mawakili wa Tundu Lissu niligundua fikra zao ziko kwenye kamera za waandishi wa habari badala ya vifungu vya sheria na technicalities zake. Kila wakili anataka kuonekana kwenye kamera kama yuko ‘’busy’’ lakini kumbe yuko busy doing nothing.

Baada ya mahakama kumaliza, kila wakili ukiondoa Peter Kibatala alikuwa anataka kuonekana na kuzungumza na waandishi wa habari.

Katika mawakili wote wa Tundu Lissu, Peter Kibatala ni tofauti sana katika genge hilo kwa sababu hakutaka hata kuonekana kwenye kamera. The guy is humble and admired for his veracity, ethical approach and professionalism.

Kwa sasa kesi imekuwa ‘’hijacked’ na Fatma Amani Karume ambaye ni mtaalam wa kesi za kibiashara huku Peter Kibatala akiwa ‘’ surplus to requirements’’ wakati ni mtaalam wa kesi za jinai. She's busy looking after politics instead of looking after her client.

Mahakama haina siasa pamoja na kwamba siasa wakati mwingine hazina sheria.
Serikali nayo iwe makini isimpe Tundu Lissu umaarufu ambao hana
 
Kila mwenye fikra pana anaelewa kuwa serikali inachofanya kwa kutumia vifungu vya sheria na mbinu za kisheria ni kumuweka Tundu Lissu kwenye ''jokofu'' ili kichwa chake kipoe halafu baada ya muda itamuachia. Hauhitaji kuwa na mawakili wawili kama wana uelewa na weledi ili kumtetea kwa sababu hitimisho la kesi linajulikana.
uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sanaaaa!....Rudi darasani mkuu
 
Hakuna mtu aweza tajirika kupindukia Except bakhresa na mohamed dewji bila kuwa na ajira serikalini au mashirika yake.Ajira si kuajiriwa na serikali kwa kazi za kiserikali za kila mwezi ajira ya serikali ni pamoja na tenda consultancy nk za serikali na taasisi zake
WANASHERIA WENGI HAWATEGEMEI TENDA ZA SERIKALI HATA KIDOGO
 
Maisha ni zaidi ya pesa kama huamini kamuulize lowasa kwa nini alishindwa uraisi wakati alikuwa na pesa kuliko magufuli au kamuulize rugemalila na yule singa singa wa IPTL scandal kwa nini wako ndani wakati ni mabilionea kuliko huyo msemwa wako koko.
TATIZO LA WATU MSIO NA PESA HUWWA MNAFIKIRI MAISHA SIO PESA, BILA PESA UTATEMBEA UCHI ,UTAKULA MIZIZI NA UTAPIGA TZ 11 MPAKA KABURINI, BILA PESA HATA HAKA KA BUNDLE UNAKOTUMIA KUJAZA SERVER USINGEKUWA NAKO, UNGEKUWA HUKO KWENU MAPORINI UNAJISAIDIA VICHAKANI NA UNACHAMBA KWA KUJIBURUZA KWENYE MAJANI AU KWENYE GUNZI LA MUHINDI
 
Back
Top Bottom