Sikiliza swaga za POLISI anapotangaza dem.
aroooow wewe, hebu kuja haraka, unajua nakuthamini sana kama RUSHWA, bila wewe siwezi kuishi ni sawa na kukosa BUNDUKI eneo la tukio. Nitakuheshimu kama ninavyoliheshimu LINDO, wewe ndio C.R.O wa moyo wangu. Mbona upo kimya nijibu basi nipate kufungua JARADA ndani ya moyo wangu. Usinifanye moyo ukaenda mbio kama DIFENDA, nitakuwekea usalama kama msafara wa RAIS. Usinifanye nikajutia mapenzi kama LULU pale mahakama ya KISUTU.[/QUOTE
Bila shaka walisha kutongoza na kukufadi, kama siyo wewe mkeo au hawala.Indelea kutupasha namna wanavyo sukuma ngozi