Swaga za polisi akitongoza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swaga za polisi akitongoza

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MSELA WA KOTA, Oct 16, 2012.

 1. M

  MSELA WA KOTA New Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 16, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unajua nakuthamuni zaidi ya POSHO NA MSHAHARA bila wewe siwezi kuishi ni sawa nakukosa BUNDUKI eneo la tukio nitakuheshimu kama LINDO wewe ni IGP wa moyo wangu daima nitakuweka mbele kama CROWN ya kofia mbona kimya nijibu basi nipate kufungua JALADA NDANI YA MOYO wako usinifanye moyo ukaenda mbio kama DEFENDER MPYA nitakuwekea usalama kama msafara wa RAIS nina RB ya penzi lako mpenz wangu usiniweke roho juu kama MAANDAMANO YA CHADEMA. :photo:
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Fabulous!
  Nimecheka sn kabla ya kulala. Nadhani nitaota.
   
Loading...