Nampango wa kununua kausafiri aina ya Suzuki Kei. tafadhali mdau yeyote mwenye kuijua kwa undani zaidi km vile fuel consumption, technical weakness na ushauri mwingine kwa ujumla anijulishe.
natanguliza shukrani zangu za dhati
ni kama vile kuendesha boda boda iliyo na matairi manne na ka ac..... ina cc chini ya 1000 so ni gud kama kipato chako cha chini ila bora upande dau kidogo upate swift hazitofautiani sana ila swift ina cc kubwa na heshima mbele za watu...gudluck....ila utakoma kwenye spea hadi uende kenya ama japan