Suzuki Carry for Sell

Suzuki Carry for Sell

amatuks

Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
69
Reaction score
10
Nauza Carry yangu kwa 5.5 milioni. Hakuna maongezi.
Reasons : Nimeshindwana na madereva.
Odometer: Angalia kwenye picha hapo chini.
Drive: 2 Wheel Drive.
Condition: Nzuri imeingia mwaka jana mwezi wa nne.
0687702626.
 

Attachments

  • 1422961150324.jpg
    1422961150324.jpg
    55 KB · Views: 272
  • 1422961211715.jpg
    1422961211715.jpg
    78.3 KB · Views: 236
  • 1422961245356.jpg
    1422961245356.jpg
    84.6 KB · Views: 258
  • 1422961268505.jpg
    1422961268505.jpg
    78.2 KB · Views: 231
  • 1422961300755.jpg
    1422961300755.jpg
    76.2 KB · Views: 232
Hii biashara haitaki uwe na mategemeo makubwa. wakikuletea ela ya kula weekend shukuru Mungu...
 
Mwaka tu unakimbia..jipange tena unaweza kufanikiwa...
 
Cheki kwenye picha hapo juu we zoom ujionee mwenyewe mileage

Ndg mbons unafanya biashara kijuha??? Kwann unataka watu wa-zoom odometer ilihali unaweza kuandika hapa? Mm hata niki-zoom sioni maandishi ni madogo sana
 
Ndg mbons unafanya biashara kijuha??? Kwann unataka watu wa-zoom odometer ilihali unaweza kuandika hapa? Mm hata niki-zoom sioni maandishi ni madogo sana

We sio mnunuzi ni mbishani tu.
 
Nauza Carry yangu kwa 5.5 milioni. Hakuna maongeza.
Reasons : Nimeshindwana na madereva.
Odometer: Angalia kwenye picha hapo chini.
Drive: 2 Wheel Drive.
Condition: Nzuri imeingia mwaka jana mwezi wa nne.
0687702626.

Hiyo gari unaiona mmmmpya, kwa hizo km laki na nusu! Eti hutaki maongezi, unaiona almaaasi, ulidhani watu wanaangalia km tu, je km hamna hata giar box je, au ukiangalia km basi inatosha.
 
Back
Top Bottom