Kwani Sokoine hakuwa na security details?
Yawezakana ni ajali tu..na sii conspiracy!
Habari zilizopo kwa sasa ni kwamba Mugabe na mkewe wanamtembelea Morgan hospitali kumpa pole
Huyo Mugabe hana hata haya? Mi siamin ikuwa waziri mkuu mzima anasafiri bila security detail in a country like Zimbabwe! Sikubali kuwa hii ni accident ya kawaida, sorry!
Inawezekana huyo dereva wa truck ali ignore warning signal zote akavamia gari la Waziri Mkuu. Inawezekana pia ni dereva wa Waziri Mkuu alikuwa ana speed kwenye njia za vijijini (tunaambiwa alikuwa akielekea kwao). Inawezekana hakuwa hata na alert system wala motorcade ikifuatana nae (tunaambiwa alikuwa na aid, hatujui wangapi). Hatujui chochote. Tungesubiri kiduchu.
inasikitisha, na kwa hakika kuna wengi wataonyoosha vidole, ...kama ilivyotokea kwa Mar. Sokoine, Mar. Wangwe, Mar. Mbatia, ndugu jamaa na marafiki wengi tu wasokuwa na majina walokumbwa na ajali kama hizo...Susan Tsvangirai was killed instantly and the Prime Minister is said to be in a stable condition in hospital.
The lorry driver has admitted falling asleep at the wheel, according to reports.
source; Morgan Tsvangirai: Zimbabwe Prime Minister's Wife Susan Dies In Car Accident | World News | Sky News
inasikitisha, na kwa hakika kuna wengi wataonyoosha vidole, ...kama ilivyotokea kwa Mar. Sokoine, Mar. Wangwe, Mar. Mbatia, ndugu jamaa na marafiki wengi tu wasokuwa na majina walokumbwa na ajali kama hizo...
Mwenyezi Mungu awarehemu.
wale wataalam wa mambo ya ulinzi nadhani mnaweza kutupa mwanga kidogo lakini binafsi nina wasi wasi na aina ya ulinzi anayopewa Morgan.
... By the way ni busara wao kupanda gari moja?
Namshuku Mugabe katika "ajali" hii. Kukimbilia kwenda hospitali ni kujiosha, au ni sehemu tu ya kukagua mbona kazi haikufanyika vizuri, na aliuumia kiasi gani.