kiparangwaya
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 528
- 502
Kati ya hao wabunge unaodai walichoma ofisi za kijiji na wale waliotuma wauaji kwa Lissu nani hawana akili!Hawa ni wajinga acha wakae ndani hadi akili zao zibalehe. Haiwezekani Mbunge mzima ahusike kuchoma moto ofisi ya kijiji na jaribio la kuchoma moto zahanati, hizi sio akili za aliye balehe, haya matukio yalizoelekea kwa wanafunzi wa sekondary tena huko 90s.
Ombi : Utoaji mimba uruhusiwe ili kuwaepusha wazazi na aibu ya kumiliki watoto wenye tope kichwani , kama wanayopata wazazi wa kijana huyu
....
.....kazi ya kwanza kwa kiongozi yeyote makini ni kuwaunganisha wana taifa wote kuwa wamoja. kama ukishindwa kazi hii muhimu hayo maendeleo itakuwa ni ndoto!!.
Na dawa kubwa ya umoja wa kitaifa ni HAKI kwa wote.
Mbunge kubambikiwa kesi hakuhisika ujue CCM wana roho mbaya mda wote wanawaonea WapinzaniHawa ni wajinga acha wakae ndani hadi akili zao zibalehe. Haiwezekani Mbunge mzima ahusike kuchoma moto ofisi ya kijiji na jaribio la kuchoma moto zahanati, hizi sio akili za aliye balehe, haya matukio yalizoelekea kwa wanafunzi wa sekondary tena huko 90s.
Wabunge wawili wa Chadema wa Kilombero na Mlimba Peter Lijuakali na Suzan Kiwanga wamenyimwa tena dhamana leo na kurudishwa Mahabusu hadi tarehe 7 ,
Ikumbukwe kwamba hawa na baadhi ya wanachama wengine wa Chadema walishashinda kesi hii na kuachiwa huru , moja ya tuhuma za kupangwa waliyobambikiwa ni kuchoma moto ofisi ya kijiji .
Mungu ibariki Chadema
View attachment 1037997
Wanawabambikia kesi lakini ipo siku yatawarudia na kuonja machungu ya unyanyasaji wao kwa WapinzaniNinachoamini ni kwamba hata serikali inayojiita ya awamu ya 5 ikikaa madarakani miaka 100 ipo siku itapita tu na watasahau kama waliwahi kuwa viongozi ....ushamba gani huu yani makosa yote wanafanya upinzani tu???
Nimejikuta nacheka tu !......
......is too late to make ze sekreti kati ya The National and serikali ....UTAWALA BORA is dasekreki .you can have the gun but I have the bullet ...the Wise bullet not the METO
Polisi wote wanaowaonea Wapinzani watalaaniwaMungu wabariki watu wote waliobambikiwa kesi za uzushi na jeshi la polisi
Hakika upinzani unataka moyo na kwakuwa mungu yu upande wa wanyonge naamini hayo mateso ni ya muda tuWabunge wawili wa Chadema wa Kilombero na Mlimba Peter Lijuakali na Suzan Kiwanga wamenyimwa tena dhamana leo na kurudishwa Mahabusu hadi tarehe 7 ,
Ikumbukwe kwamba hawa na baadhi ya wanachama wengine wa Chadema walishashinda kesi hii na kuachiwa huru , moja ya tuhuma za kupangwa waliyobambikiwa ni kuchoma moto ofisi ya kijiji .
Mungu ibariki Chadema
View attachment 1037997
Hakika tutayashinda haya mapitoUfalme uliofitinika ni wa jiwe. Kila kiongozi anatafuta namna ya kumfurahisha mfalme juha. Kizuri ni kuwa jinsi mateso yanavyozidizi ndivyo akili ya wananchi inazidi kuamuka na kuimarika
Tatizo waliopo wanaamini sana pingu na rungu