Suzan kiwanga na Peter Lijuakali waendelea kusoteshwa mahabusu

kazi ya kwanza kwa kiongozi yeyote makini ni kuwaunganisha wana taifa wote kuwa wamoja. kama ukishindwa kazi hii muhimu hayo maendeleo itakuwa ni ndoto!!.

Na dawa kubwa ya umoja wa kitaifa ni HAKI kwa wote.
Alafu utasikia mniombeee

In God we Trust
 
Nnaona ume geuka kuwa Hakimu ,endelea tu kutoa tu Hukumu ila kumbuka Maisha ni kama Gwaride.
Amelisahau hilo na hajui kuwa jela zimejengwa kwa ajili ya kukaa watu

In God we Trust
 
Tena bora ameondoka maana kwa umri wake angepigwa risasi saa hii tungekuwa tumeshasahau. Aende sehemu ambayo vyombo vya dola vinatumika kulinda usalama wake.
Kuwa mpinzani nchini Tanzania kunahitaji ukamilifu wa moyo thabiti na utayari

In God we Trust
 
Back
Top Bottom