Tetesi: Suzan Kiwanga apiga hodi CCM

Mvidunda

Senior Member
May 30, 2020
122
170
Wakuu hii tetesi ni ya moto moto kabisa. Mchana huu nimepata fununu kutoka kwa mtu wa karibu wa Mbunge wa Jimbo la Mlimba,wilayani Kilombero, Mkoani Morogoro, Suzan Kiwanga. Tetesi ni kwamba Mama huyo machachari amekata tamaa na hana pa kushika.

CHADEMA Wilayani Kilombero imeparaganyika na hivyo hana sapoti kabisa. Zaidi ya yote ameishiwa hoja kwa kuwa sehemu kubwa ya yale alokuwa akilalamikia serikali sikivu ya CCM chini ya uongozi shupavu wa Rais Magufuli umeyafanyia kazi.

Mama Kiwanga yu njiani kujiunga na CCM.

Tetesi hizi ni kwa mujibu wa mtu wa karibu sana wa mbunge huyo.
 
Chadema Wilayani Kilombero imeparaganyika na hivyo hana sapoti kabisa. Zaidi ya yote ameishiwa hoja kwa kuwa sehemu kubwa ya yale alokuwa akilalamikia serikali sikivu ya CCM chini ya uongozi shupavu wa Rais Magufuli umeyafanyia kazi.
Mama Kiwanga yu njiani kujiunga na CCM.
Tetesi hizi ni kwa mujibu wa mtu wa karibu sana wa mbunge huyo.
Naona Kazi za Lijualikali ....kushawishi na kufanya propaganda kuwa kakubali .....ahaa haaa
 
Subiri sasa Wanafiki Pro CCm watakavyomwaga sifa za kutosha
 
A
Wakuu hii tetesi ni ya moto moto kabisa. Mchana huu nimepata fununu kutoka kwa mtu wa karibu wa Mbunge wa Jimbo la Mlimba,wilayani Kilombero, Mkoani Morogoro, Suzan Kiwanga. Tetesi ni kwamba Mama huyo machachari amekata tamaa na hana pa kushika.

CHADEMA Wilayani Kilombero imeparaganyika na hivyo hana sapoti kabisa. Zaidi ya yote ameishiwa hoja kwa kuwa sehemu kubwa ya yale alokuwa akilalamikia serikali sikivu ya CCM chini ya uongozi shupavu wa Rais Magufuli umeyafanyia kazi.

Mama Kiwanga yu njiani kujiunga na CCM.

Tetesi hizi ni kwa mujibu wa mtu wa karibu sana wa mbunge huyo.
[/QUOTE
Na yeye amechoka kunyanyaswa kingono au??????!!!!
 
Ujinga mzigo!!
Huyu mama amekuwa mzigo sio kwa CDM tu hata CCM na familia yake. Hakuna mtu anayemzungumzia huko
jimboni kwake Mlimba.

Mleta mada acha upumbavu!! Barabara kutoka ifakara to Mlimba haipitiki mashimo kama handaki. Mwezi wa 4 na 5 kuna sehemu inaitwa kisegese mto ulikata barabara. Hiyo serikali yako sikivu imejibu hoja ya kukarabati miguu yako!!
Acha ujinga!
 
Back
Top Bottom