Suzan kiwanga na Peter Lijuakali waendelea kusoteshwa mahabusu

Hawa ni wajinga acha wakae ndani hadi akili zao zibalehe. Haiwezekani Mbunge mzima ahusike kuchoma moto ofisi ya kijiji na jaribio la kuchoma moto zahanati, hizi sio akili za aliye balehe, haya matukio yalizoelekea kwa wanafunzi wa sekondary tena huko 90s.
Kati ya hao wabunge unaodai walichoma ofisi za kijiji na wale waliotuma wauaji kwa Lissu nani hawana akili!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kazi ya kwanza kwa kiongozi yeyote makini ni kuwaunganisha wana taifa wote kuwa wamoja. kama ukishindwa kazi hii muhimu hayo maendeleo itakuwa ni ndoto!!.

Na dawa kubwa ya umoja wa kitaifa ni HAKI kwa wote.
.....
....Great!!!
 
......
......is too late to make ze sekreti kati ya The National and serikali ....UTAWALA BORA is dasekreki .you can have the gun but I have the bullet ...the Wise bullet not the METO
 
Hawa ni wajinga acha wakae ndani hadi akili zao zibalehe. Haiwezekani Mbunge mzima ahusike kuchoma moto ofisi ya kijiji na jaribio la kuchoma moto zahanati, hizi sio akili za aliye balehe, haya matukio yalizoelekea kwa wanafunzi wa sekondary tena huko 90s.
Mbunge kubambikiwa kesi hakuhisika ujue CCM wana roho mbaya mda wote wanawaonea Wapinzani
 
Dikteta bila kumung’unya

Wabunge wawili wa Chadema wa Kilombero na Mlimba Peter Lijuakali na Suzan Kiwanga wamenyimwa tena dhamana leo na kurudishwa Mahabusu hadi tarehe 7 ,

Ikumbukwe kwamba hawa na baadhi ya wanachama wengine wa Chadema walishashinda kesi hii na kuachiwa huru , moja ya tuhuma za kupangwa waliyobambikiwa ni kuchoma moto ofisi ya kijiji .

Mungu ibariki Chadema

View attachment 1037997
 
Ninachoamini ni kwamba hata serikali inayojiita ya awamu ya 5 ikikaa madarakani miaka 100 ipo siku itapita tu na watasahau kama waliwahi kuwa viongozi ....ushamba gani huu yani makosa yote wanafanya upinzani tu???
Wanawabambikia kesi lakini ipo siku yatawarudia na kuonja machungu ya unyanyasaji wao kwa Wapinzani
 
  • Thanks
Reactions: BAK
......
......is too late to make ze sekreti kati ya The National and serikali ....UTAWALA BORA is dasekreki .you can have the gun but I have the bullet ...the Wise bullet not the METO
Nimejikuta nacheka tu !
 
Mungu wabariki watu wote waliobambikiwa kesi za uzushi na jeshi la polisi
 
Wabunge wawili wa Chadema wa Kilombero na Mlimba Peter Lijuakali na Suzan Kiwanga wamenyimwa tena dhamana leo na kurudishwa Mahabusu hadi tarehe 7 ,

Ikumbukwe kwamba hawa na baadhi ya wanachama wengine wa Chadema walishashinda kesi hii na kuachiwa huru , moja ya tuhuma za kupangwa waliyobambikiwa ni kuchoma moto ofisi ya kijiji .

Mungu ibariki Chadema

View attachment 1037997
Hakika upinzani unataka moyo na kwakuwa mungu yu upande wa wanyonge naamini hayo mateso ni ya muda tu

In God we Trust
 
Back
Top Bottom